Search results

  1. L

    Data centre: Kifo ninachoenda kuua benki za kigeni nchini

    Habari za muda, Naomba nichukue fursa hii niyaseme machache sana ambayo naona kama hayataangaliwa kwa kina kirefu kuna hatari sana ya Banks nyingi sana kufunga biashara zake hapa nchini. Nadhani kwa wale wanaofatilia, siku za nyuma Benki Kuu ilitoa maelekezo kwa Commercial Banks zote nchini...
  2. L

    LINE ZA MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY

    Hello wana jamvi. naomba mwenye namba za mpesa, tigopesa na airtel money tuwasiliane, unaweza kuni pm nikajua price kwa zote alafu tuanzie hapo, This is for serious person only.
  3. L

    Paschal Mayalla, Mheshimwa Rais alishakujibu?

    Nakumbuka siku ambayo mtukufu rais alipofanya mkutano wa waandishi wa habari, wewe ulialikwa kama mwandishi huru na ulimpongeza sana Gerson Msigwa, mkuu wa kitengo cha habari Ikulu kwa kukualika na ulisema ni mara ya kwanza mwandishi wa style yako kualikwa ikulu, Ulimuuliza mheshimiwa rais...
  4. L

    Lawrence Kego Masha, umenisikitisha kuliko Kafulila na Katambi

    Salamu wanajamvi, Ni kipindi kirefu nimekuwa nikfatlia yanayojiri kwenye ulingo wa siasa, nimetafakari nikakumbuka nukuu ya moja ya Great thinkers Bwana Socrates, aliposema watu wengi wapo kwenye giza, wanahitaji mwanga, akawa anatembea na taa mchana akiwa ameiwasha, watu hawakumuelewa. LEO...
  5. L

    Msaada: Natafuta mfanyabiashara wa Comoro

    Habari wanajamvi, namomba msaada wa namba ya mfanyabiashara yoyote wa Comoro, anaweza kuwa mtanzania ila anachukua bidhaa Tanzania au akawa mkomoro anayekuja kununua bidhaa hapa Tanzania, nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. luckman member JF.
  6. L

    Kubakwa kwa uhuru wa habari-wanahabari mtusaidie

    Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu za dhati kwa namna ya kipekee ambavyo mmekuwa mkifanya kazi zenu, ni jambo jema sababu katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia mapinduzi makubwa katika kupashana habari mbalimbali. Pili nitoe malalamiko yangu juu ya kitendo cha serikali/Bunge kuminya uhuru...
  7. L

    Ninajuta kwa niliyoyafanya

    .
  8. L

    Waraka kwa mheshimiwa Rais na bodi ya mikopo

    Kwanza kabisa nichukue fursa hii kukupongeza kwa kazi ngumu ambazo umekuwa ukizifanya, naelewa baada ya kukalia hicho kiti umekutana na mambo mengi sana na ya hovyo lakini hiyo ndo nchi yetu ilipofikia, ni Watanzania wazalendo wanaoweza kuikwamua kutoka hapo iliponasa, lakini kikubwa...
  9. L

    Mkurugenzi Mtendaji Metropolitan Insuarance mnaboa sana

    Mimi ni mwanachama wa Metropolitan insurance company kwa miaka mingi kidogo, lakini kuna mambo ambayo siyaelewi kwa kiasi kikubwa sana juu ya huduma na TAT (Turn around time) Naona kama ubora wa huduma yao inadolola sana kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya mambo ambayo siyaelewi ni kama ifuatavyo...
  10. L

    Metroplitan Insurance mnaboa sana

    Mimi ni mwanachama wa Metropolitan insurance company, hii kampuni mwanzo niliamini kuwa ni moja ya makampuni mazuri ya bima hapa Tanzania, lakini kila kukicha hii kampuni inazidi kupoteza mwelekeo kwa kias kikubwa. Moja ya taratibu ambazo zilwekwa ni kwamba, iwapo utaenda hospitali fulani au...
  11. L

    Kama kweli serikali imedhamilia kuibadilisha TRA na TPA naomba mfanye haya-Mwl Magufuli na Majaliwa

    Binafsi nasifu kwa nguvu zangu zote kwa speed ambayo mmekuja nayo hasa kwa kuangalia maeneo ya TPA, TRA Naona sasa mmeamua kwenda TRL Ingawa ningependa msogee zaidi muende na muimulike TANESCO TANAPA, MADINI, N.K Ni wazi kuwa suala la kuajili wafanyakazi kumegubikwa na matendo ambayo yako...
  12. L

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    Mabasi yanayomilikiwa na UDA yamekamatwa leo na trafiki wakishirikiana na jeshi la Polisi kwa kosa la kukwepa kulipa kodi.
  13. L

    Ombi langu kwa wamiliki wa TV stations

    habari ndugu wanajamvi na wamiliki wa vyombo vya habari (TV STATIONS) Mimi ombi langu ni moja, tumekuwa mashuhuda wazuri sana wa namna DSTV wanavyotumaliza na bei zao, premium unalipa more than 270+k per month. huu ni mshahara wa mtu Nikiangalia sababu ya kupandisha bei hizi sanasana ni mpira...
  14. L

    Rai kwa wamiliki wa tv stations

    habari ndugu wanajamvi na wamiliki wa vyombo vya habari (TV STATIONS) Mimi ombi langu ni moja, tumekuwa mashuhuda wazuri sana wa namna DSTV wanavyotumaliza na bei zao, premium unalipa more than 270+k per month. huu ni mshahara wa mtu Nikiangalia sababu ya kupandisha bei hizi sanasana ni mpira...
  15. L

    Ni aina gani ya mwanamke wa namna hii?

    11111111111111111111111111111111111111
  16. L

    Mwenye namba za aunt sadaka

    Habari wanajamvi, naomba msaada kwa mwanajamvi yoyote aliye na namba ya simu ya aunt Sadaka, nina shida nayo sana, asanteni sana.
  17. L

    Nauliza tu- kulikoni rangi ya chama kwenye vituo vya magari ya mwendo kasi?

    Nimekuwa nikifatilia sana ujenzi wa barabara ya mabasi ya mwendo kasi, sijajua sababu hasa ni kwanini kila kituo kinachojengwa lazima kipakwe rangi ya kijani ambayo ndo rangi ya CCM? Nakumbuka matatizo yaliyotokea Musoma juu ya kivuko ambacho kilileta mtafaruku baada ya kugunduruka kimepigwa...
  18. L

    Dr Harrisson Mwakyembe tunaomba Ufafanuzi juu ya YONO Auction Mart -ni Kero kubwa kwa Watanzania

    Kuna Mambo mengi sana yanayowachanganya watanzania, inawezekana ni kutojua haki zetu kwa sababu hatushughuliki kuzijua, au zimebanwa na wanataotakiwa kuzitoa au mfumo wa ncho uko hivo? kuna watu wengi wanafanya kazi lakin tunashindwa kujua hasa utaratibu na mipaka yao ni ipi, nadhani suala hili...
Back
Top Bottom