Search results

  1. Last emperor

    Tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa

    Salamu wana Bodi.. Hii ni tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa... YANGA SIMBA
  2. Last emperor

    Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

    Wanabodi nawasalimia... Kumekuwa na kumfananisha Clatous Chama na Fei Toto siku za hivi karibuni. Takwimu hizi hapa:
  3. Last emperor

    Wizara ya michezo na TFF impe tuzo ya heshima daraja la kwanza Salim Bakhresa kwa mchango wake mkubwa kwenye michezo

    Greetings Wana JF! Kwa kila mpenda michezo nchini Tanzania atakubaliana na mimi kuwa Kampuni tanzu ya Azam (especially Azam TV) inayomilikiwa na Salim Bakhressa, ina mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya michezo nchini. Tukianzia upande wa soka, Azam TV imefanikiwa kuleta mapinduzi makubwa...
  4. Last emperor

    Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

    Greetings! Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi...
  5. Last emperor

    Simba sasa hivi inacheza mpira makande

    Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
  6. Last emperor

    Mwisho wa mwisho wa CCM

    Kwa heshima nawasalimia wana jukwaa la Jamii forum! Wakati akifunga mkutano wa 8 wa CCM, tarehe 13/11/ 2012 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, alisema" Nataka mfahamu ndugu zangu tukiishi kwa kutegemea jeshi la polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli". Hiyo ilikuwa ni...
  7. Last emperor

    Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
  8. Last emperor

    Kumbukizi: Profesa Kabudi akimwita Magufuli Mheshimiwa Mungu

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers. Nimekuwa nikitafakari umuhimu wa katiba mpya, na mapungufu ya Katiba iliyopo, ambayo inampa Rais madaraka makubwa ya kufanya anachotaka bila kuhojiwa wala kuwajibishwa na chombo chochote mpaka anakuwa na ukuu kama wa Mungu katika nchi yake. Na hiyo...
  9. Last emperor

    Enzi za Dkt. Bashiru kabla hajaonja ladha ya Madaraka

    Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers! Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
  10. Last emperor

    Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  11. Last emperor

    TANESCO Arusha tangazeni kama kuna mgao wa umeme

    Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza. Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
  12. Last emperor

    Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

    Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
  13. Last emperor

    Serikali ichunguze makampuni ya gas

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani. Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale...
  14. Last emperor

    Mfumo wa Lechantre vs Masoud Djuma upi ni bora zaidi?

    Salaam wakurugenzi, Nimekuwa nikifatilia kwa makini ligi ya vpl toka ianze,hususani timu ya simba. Toka ligi ianze timu ya simba ilianza kufundishwa na Omog, chini ya Omog timu ilicheza mpira wa kasi na pasi fupifupi.Tatizo likaonekana kuwa timu haishindi kwa goli nyingi,ushindi unakuwa wa tabu...
  15. Last emperor

    Yupi ni mchezaji bora kwako katika msimu huu wa ligi Tanzania?

    Habari wakuu, napenda kupata maoni ya ni nani ni mchezaji bora wa ligi ya Vodacom Premium League,kutoka katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hii hapa Tanzania.Naomba unitajie mchezaji mmoja tu.Kwangu mimi naona Kichuya ni mchezaji bora zaidi mwaka huu.
  16. Last emperor

    MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

    Habari wakuu, Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha...
  17. Last emperor

    Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

    Wazito wa JF nawasalimia, Carlos The Jackal, kwa jina la kuzaliwa anaitwa Ilich Ramirez Sanchez,alizaliwa mwaka 1949 huko Venezuela. Carlos alizaliwa katika familia inayojiweza kiuchumi,ambapo baba yake alikuwa ni mwanasheria mahiri mwenye itikadi za kikomunist,hata jina la Ilich alilompatia...
  18. Last emperor

    Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

    Nawasalimia wakuu wangu, Ningependa tuangalie nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya binadamu wenzao kwa misingi ya rangi za ngozi zao,hali ya kiuchumi,dini,jinsia na asili (nationality). 1) MAREKANI Marekani ndio kinara wa nchi inayoongoza kwa ubaguzi katika vigezo...
  19. Last emperor

    Avatar inayokufurahisha zaidi..

    Wakuu wangu nawasalimia, Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia huwa ninabaki nacheka au ninawatafakari wenye avatar.. 1) Fisadikuu 2) Chizi maarifa 3) Jingalao 4)...
  20. Last emperor

    Ijue Club 27: Club ya wanamuziki maarufu wanaokufa wakiwa na umri wa miaka 27

    Nawasalimia wakuu wangu, Baada ya kuangalia Documentary ya Kurt Cobain inayoitwa Montage of Heck (2015), nimeshawishika kuandika kuhusu Club 27, ambayo inawakilisha namba ya wasanii maarufu 34 ambao walikufa katika umri mdogo wa miaka 27 kwasababu mbalimbali. Sababu kubwa ya vifo vyao...
Back
Top Bottom