Search results

  1. A

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    ni kweli wabunge wengi ccm ni vilaza lakini wezetu wa opposition kuna vilaza wengi tu so nguruwe shambani hawezi kumcheka wa porini wote tabia zao zile zile
  2. A

    Kazi maalumu ya kumchunguza mzee wenu imekwisha na majibu yaonyesha mnatolewa kwenye wagombea

    Peter Snowden Mkuu nakushukuru sana kwa post hii ambayo naiamini kwa asilimia 100.taarifa hii ni faraja kwa watanzania wote wanaoipenda nchi yao kwa dhati.huu mradi wa kutafuta urais kwa huyo mgombea kila moja anayefikiri vizuri ungeipeleka nchi kwenye "bonde la mauti" labda ni kumbushe wapambe...
  3. A

    Tatizo la Afya la Lowassa na Ushauri wa Daktari Wake: Vyote Vyabainishwa!

    lowassa aliwahi kufanya kazi sana lini na wapi?mbona messi,ronaldo na eden hazard wanaoikimbia kila siku na kila wiki haumwi huo ugonjwa!!!!
  4. A

    Malaigwanan wazidi kumbana Lowassa

    mkuu monduli hali si shwari hata kidogo wananchi hawakubaliani na hatua ya lowassa kutembea na "jina la mbunge kwenye mfuko wake wa shati" wanataka demokrasia ichukue mkondo wake kila mwenye uwezo agombee na sanduku la kura liamue nani awe mbunge. lakini pia wamechoshwa kuchaguliwa viongozi kwa...
  5. A

    Investigative Journalism Tanzania ni tatizo kubwa!

    yes raia mwema wanajaribu coz ni kampuni iliyoanzishwa na waandishi wenyewe hivyo wanajua umuhimu kwa kuwa na waandishi wenye uwezo ili habari zinazoandikwa zikubalike na wasomaji.nature ya habari ni kama biashara ya chakula ukiwa na wapishi wazuri utauuza ukiwa na wapisha wasioweza kupika...
  6. A

    Investigative Journalism Tanzania ni tatizo kubwa!

    Mkuu una mawazo mazuri lakini media za tanzania kwanza hazijawekeza katika biashara ya habari na zinamilikiwa na wamiliki wengi "wahuni" kama mengi,mbowe na wengineo ambao wanalinda maslahi yao ya kibiashara na kisiasa. wameshindwa kuwaajiri waandishi wenye basic knowledge ya journalism kwa...
  7. A

    Lowassa ashindwa kwendana na kasi ya Kinana Jimboni kwake

    asante we mwenye akili nyingi ziliko "makalioni" akili hiyo hiyo unayohoji wewe ndiyo inayokupa nguvu ya kuwa kama rambo na jamaa wa WWE
  8. A

    Lowassa ashindwa kwendana na kasi ya Kinana Jimboni kwake

    Katika gazeti la Raia Tanzania toleo la jana Jumatatu liliripoti kuwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahaman Kinana wilayani Monduli, mwishoni mwa wiki iliyopita Edward Lowassa (Mbunge) kama mwenyeji alishindwa kujitokeza "kubeba tofali" kushiriki ujenzi wa wodi ya hopitali ya wilaya...
  9. A

    Mchungaji huyu anasakwa kwa uhusika na mauaji ya Albino

    mchungaji gani wa makanisa ya kilokole anamiliki benki? hapo ndipo tunapopaswa kuanzia!
  10. A

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    duh aisee ukiona post ya el unawashwa "kigololi"
  11. A

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    Mwenyekiti wa UV-CCM Taifa Sadifa JUma leo mjini Arusha amewatoa hofu wfuasi wa msaka urais EL kuwa hakuna mgombea atakaye katwa jina "kijinga". amesema yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama EL akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua EL...
  12. A

    Lema, Nasari na Sugu: Tutamng'oa Prof. Muhongo bungeni kinguvu

    we hovyo kweli pima kwanza yako halafu na ya profesa KJ ambaye amekausha hazina ya nchi kwa safari zaidi 400 kwenda nje ya nchi, amesaini mikataba ya hovyo ya gesi na mafuta amekuwa dhaifu pamoja na serikali yake, ameshindwa kutimiza ahadi alizotoa kwa wananchi na blah blah nyingi full uswahili
  13. A

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    we miruko unatia aibu mi picha ya lowassa kufanya mazoezi ni newsworth kweli wahariri wa tz ni majanga makubwa. haya tuambie el alikutana na mpiga picha wenu wapi? na je mlipanga katika kikao cha uhariri kuwa picha hiyo inahitajika au alikutana kwa bahati mbaya tu?nyie mwananchi ni wababaishaji...
  14. A

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    labda simba wa makaratasi we hovyo kabisa
  15. A

    Chama cha wanahabari (TEF) Chatoa tamko

    tasnia gani tanzania haijaingiliwa?siasa?sheria?uhasibu?udaktari? usiwalaumu waandishi tu angalia kwanza mifumo yetu ilivyo! matatizo yaliyopo ni ya mfumo mzima so tumia kichwa chakko vizuri
  16. A

    Mzee Farijala:"Ngoja sasa wawaonyeshe kazi waliyosomea"

    polisi wanalinda rasilimali ipi?dhahaba,tanzanite,fedha za iptl (escrow),epa au......aisee we umefikiri kwa kutumia ile kitu yetu! "masaburi" teh teh
  17. A

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    EL anawakilisha tabia halisi ya watanzania kwamba ukishakuwa na ukwasi we ndo mwenye akili za kutosha kuliko wote hakuna anayehoji ukwasi umepatikanaje na ushahidi ni jinsi wengi watakavyotoa maoni yao hapa jamvini
  18. A

    Viongozi wa Mbeya Press Club watwangana ngumi ni kati ya Mwandishi wa NIPASHE na MWANANCHI

    Tz kuna waandishi wa habarileo??? Tz kuna vyombo vya habarileo??? Tz kuna wamiliki wa vyombo vya habarileo???
  19. A

    Tume ya Uchaguzi itafanya maboresho daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia BRV

    unagopa mipasho? kwa taarifa yako mi ni MZARAMO. we ni mgeni masuala ya siasa nadhani, ukipiga hesabu uchaguzi unawezaje kufanyika?kwa Katiba ipi?ya zamani au mpya ambayo mchakato wake umekwama?unadhani mchakato wa Katiba mpya kukwama unafanyika kwa bahati mbaya? Brother THINK,THINK THINK!!!!!!
Back
Top Bottom