Search results

  1. S

    Makomando wa JWTZ wawazima Al Shabab, Watumia dakika 180 kuwanasa wote

    Hongera jwtz na vyombo vingine vya usalama kwa kutuhakikisha tunaishi kwa utulivu na amani
  2. S

    Magufuli awatesa CHADEMA. Wajumbe wamsulubu Mbowe

    Maoni yangu. Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
  3. S

    Spika asema baadhi ya Wabunge huvuta bangi na Unga, asema vifaa maalum kufungwa kuwabaini

    Kama unashangaa kusikia kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga kutimuliwa kwa sababu ya ulevi. Bila shaka utachoka zaidi ukisikia kuwa kuna Wabunge huingia Bungeni wakiwa wamevuta Bangi na Madawa ya Kulevya. Spika wa Bunge Job ndugai amefichua siri hiyo, Spika Ndugai...
  4. S

    Spika Ndugai Msaidie Rais Magufuli kwa kuzuia walevi wasiingie Bungeni

    Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua alizochukua dhidi ya aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya Bwana Kitwanga kwa kwa kosa la ulevi wakati wa kazi, hii imeonyesha dhahiri kuwa Rais Magufuli ni Rais wa anatembea na maneno yake ya kuwa anataka kazi tu na wala si masihala na...
  5. S

    JPM kaepusha ‘vita’- Makinda

    SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Anne Makinda amesema kuchaguliwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Awamu ya Tano, kumenusuru Watanzania na machafuko yaliyokuwa yakielekea kutokea. Huku akipongeza mtindo wa Magufuli kuweka nchi sawa maarufu utumbuaji majipu, ambao umekuwa...
  6. S

    Serikali yatoa wasiwasi uhaba mafuta ya ndege

    SERIKALI imewatoa wasiwasi Watanzania kuhusu taarifa za kutokea kwa uhaba wa mafuta ya ndege, uliokuwa ukitishia kusimama kwa usafiri huo muhimu kwa nchi. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hayo bungeni jana jioni wakati alipokuwa akihitimisha mjadala wa Bajeti ya...
  7. S

    Wizara ya Nishati yatengewa tril.1.22/-

    WIZARA ya Nishati na Madini imetengewa Sh trilioni 1.22 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 huku fedha za miradi ya maendeleo zikiwa ni asilimia 94 ya fedha hizo. Pia katika kuongeza kiwango kikubwa cha uzalishaji wa nishati, kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa, asilimia 98 ya Bajeti...
  8. S

    Keissy amwashia moto Mnyika. Asema haaswi kumfananisha Muhongo na Lowassa

    Mnyika sasa anaelekea kubaya, amekuwa anachuja kila siku katika siasa za Tanazania amekuwa akihaha akitafuta njia ya kutokea huko alipo hajui kuwa kumtusi JK ndiko kulikompoteza kisiasa, Mara nyingi nimekuwa nikiandika humu jf kuwa mnyika anaaswa kumuomba radhi JK kama anataka kuendelea na siasa...
  9. S

    Mkapa kuongoza timu ya usuluhishi wa mgogoro wa Burundi

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Benjamin Mkapa, ameteuliwa kuongoza mazungumzo kuhusu mgogoro wa Burundi ikiwa ni jitihada za viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika kuleta amani ya kudumu nchini humo. Mheshimiwa Mkapa, aliyeteuliwa na...
  10. S

    Wabunge wetu hawa wana bongo ngapi kichwani?

    Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum yenye mchango wake katika maendeleo ya taifa letu kama madaktari, mabwanashamba, wanajeshi nakadhalika. Tunapokwenda kwenye uchaguzi tunakuwa tunatafuta watu watakaofanya kazi maalum kwa maendeleo ya taifa letu. Tumechagua wabunge ili waweze...
  11. S

    Jenerali Kiwelu: Nilimnyima Sokoine siri za kijeshi vitani

    Asema katika Vita ya Kegara udhibiti wa mawasiliano na taarifa ulikuwa wa kiwango cha Raia Mwema: Hali ilikuwaje kule eneo la mapambano wakati wa vita ya Kagera? Jenerali Kikwelu: Kazi ilikuwa ngumu sana. Maana vijana wangu waliokuwa kule mbele, wale askari wa JWTZ walikuwa katika nusu morali...
  12. S

    Lowassa, Sumaye waunganishiwa makosa ya CCM, Mbowe asisitiza kama yalifanyika ni wote

    Naona Mbowe ameshashituka kuwa uamuzi wa kubadilii gia angani haukuwa sahihi, sasa anataka kumtosa Lowassa kiana anamtafutia sababu, kweli siasa ni mchezo mchafu
  13. S

    SMZ yapandisha mshahara kima cha chini hadi 300,000/-

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza bajeti ya Serikali hiyo ya Sh bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017; na kupandisha mshahara kwa kima cha chini kutoka Sh 150,000 hadi Sh 300,000. Hatua hiyo imelenga kuongeza ufanisi na kupambana na ugumu wa maisha kwa wafanyakazi wake...
  14. S

    Zitto, Mdee na Heche, wahojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge

    MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT-Wazalendo) na wenzake wawili, jana wamehojiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika kwa kufanya fujo bungeni kuhusu suala la Bunge kutorushwa ‘live’. Mbali na Zitto, wengine waliohojiwa ni pamoja...
  15. S

    Kitwanga: Serikali haifichi mkataba wa Lugumi

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema serikali haifichi mkataba wowote ukiwamo wa Lugumi Enterprises, isipokuwa wabunge wanapaswa kufuata taratibu ili kuona mikataba hiyo kama kanuni zinavyowaelekeza. Kitwanga alisema hayo juzi usiku bungeni wakati akifanya majumuisho ya...
  16. S

    Bilioni 39/- zatengwa kukabili foleni Dar

    WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeomba kuidhinishwa Sh trilioni 4.8 kwa ajili ya mwaka ujao wa fedha ambazo kati ya hizo, sekta ya ujenzi imetengewa sehemu kubwa ya fedha zitakazojenga barabara ikiwemo kuondoa msongamano katika Jiji la Dar es Salaam. Licha ya sekta ya ujenzi ambayo...
  17. S

    Magufuli ameonyesha nchi inaendeshwa na Mamlaka na si wenye fedha kama ilivyozoeleka

    Huko nyuma nchi yetu iliendeshwa na fedha (wenye fedha). Sasa ameingia Rais anayetaka NCHI IENDESHWE NA MAMLAKA. Wenye fedha wameona wakatingisha kiberiti kupitia sukari. Sio mbali watanyooka. Na wameshaanza kunyooka, sukari imeshaanza kushuka leo wengi tumenunua sukari kwa sh. 2000 tu kwa kilo...
  18. S

    Vyama vya siasa nchini vyatakiwa kuheshimu katiba na kanuni zake

    Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi amevitaka vyama vya Siasa nchini kuhakikisha kuwa Katiba na Kanuni za Vyama vya Siasa zinaheshimiwa na kufuatwa katika utendaji wa kila siku wa chama cha siasa ili kuepuka migogoro na migongano ndani ya vyama. Hayo ameyabainisha...
  19. S

    Katuni bomba ya leo

  20. S

    Samia atema cheche kuhusu mifugo ya nje, wavamia hifadhi

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameagiza wakuu wa mikoa ya Geita, Arusha na Kagera kuhakikisha wanaondoa mifugo itokayo nje ya nchi pamoja na kuwaondoa wanachi waliovamia maeneo ya hifadhi za taifa (Tanapa) ifikapo Juni 30 mwaka huu. Aidha ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya...
Back
Top Bottom