Search results

  1. T

    MPIMA ARDHI ANAPATIKANA,

    Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni...
  2. T

    Mpima ardhi anapatikana

    Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni...
  3. T

    Msaada :Soko la soya hapa nchini.

    Wakuu mwenye uelewa naomba kujuzwa,kuna kaka yangu yupo nchi jiran ya malawi anafanya biashara ya kuuza nafaka,sasa kule soya inapatikana kwa wingi kwahio sahv ameniambia nimuulizie huku sehemu gani wanakua wananunua kwa wingi?anataka alete tanzania maana ameambiwa kuna viwanda wananunua kwa...
  4. T

    Nahitaji msaada wa haraka

    Wakuu nina matatizo makubwa hapa..ngoja niwape scenario halafu mnishauri,mwaka huu jana kama tarehe 24 december ambayo ni jumamosi nilipata cm rafiki yangu yupo kituo flan cha police ana matatizo anahitaji udhamini,nilipotoka kazini nikaenda hadi hapo police,kufika nikakuta ana kesi ya mtandao...
  5. T

    Usafiri gani mzuri wa kwenda Kigoma (basi au treni)?

    Wakuu nataka kwenda Kigoma na sijawahi kwenda safari ndefu kama hiyo. Watu wananishauri nipande treni mpya, wengine basi. Naombeni msaada wenu upi usafiri mzuri hapo. Shukrani sana
  6. T

    Chuo cha hali ya hewa kigoma

    Kwa yeyote ambae aliechaguliwa na anaekijua hiki chuo naomba anieleweshe maana mdogo wangu kachaguliwa humo ila anaogopa akimaliza kama hajaajiriwa ndio amekaa nyumbani maana hakuna kujiajiri katika hali ya hewa
  7. T

    Sim banking postal bank

    Wakuu naomba kujuzwa code za sim banking za postal bank,
  8. T

    Msaada wenu wakuu, nimekwama kujilipia ada

    Wakuu nawashukuru wote kwa msaada wenu wa hali na mali,nilifanikiwa kupata laki na 85 humu na pia kuna inservice mmoja hapa chuo akaniazima laki moja na nusu,nililipa hizo na hela iliobaki watanikata katika hela ya fild(tunapewa laki 2 na 95)nilikosa mitihani miwili ya jumatatu ila jumanne...
  9. T

    Nimekwama kulipa ada, naomba mniwezeshe

    Wakuu mimi ni mwanafunzi wa Ardhi Institute Morogoro, registration number ARIMO/MG/GMT201585. Tunaanza mitihani ya mwisho ya semister tarehe 20/06/2016 lakini tatizo langu nimekwama ada ya semister hii ya pili mpaka leo nimshindwa kukamilisha kutokana na hali yangu maana najisomesha mwenyewe...
  10. T

    Natafuta mkopo nimalizie ada ya chuo, nimekwama

    Wakuu mimi ni mwanafunzi nasoma chuo cha ardhi morogoro katika fani ya geomatics(land surveying), Najisomesha mwenyewe kutokana na mitihani ya maisha niliopata hapo nyuma, tunaanza mitihani tarehe 20 mwezi huu,hapa tumepewa mpaka tarehe 17 mwezi huu tuwe tumemaliza ada, otherwise hatutoruhusiwa...
  11. T

    Nimeona jina leo la mkopo na chuo sijaenda

    Wakuu naomba mnisaidie, mimi nimechaguliwa bachelor ya statistics UDOM lakini nilishindwa kwenda kwa sababu nilikosa mkopo batch zote zilizotoka. Sasa leo naingia katika account yangu nimeona nimepata mkopo,nsasa naomba ushauri nifanyeje sasa hivi, nikienda UDOM watakubali nighairishe ili nije...
  12. T

    Laptop yangu haikubali kuingia microsoft word

    Kila nikijaribu kuweka Microsoft Word 2007 au 2010 ikifika karibu na mwisho inaleta error 1935 na inaroll back. Naomba mnisaidie..
  13. T

    hivi kama nina cerificate napia nina principal mbili naweza kuomba degree bila kumaliza diploma?

    mdogo wangu anasoma diploma ya geomatics sasa anataka akimaliza mwaka huu aombe degree atumie cerficate of geomatics na cheti cha form six(SDE PCM 2009),je nacte wanakubali au mpaka amalize diploma?
  14. T

    wale waliofanya 2nd,3rd na wanaofanya 4th round naomba mnisaidie kwa hili

    mdogo wangu amechaguliwa statistics,lakini anaona atakosa mkopo anataka afanya trasfer aweke education.,swali langu ni hili jee kuna course yyt ya education science au education mathematics ambazo zinahitaji watu mpaka sahv?..kama zipo naomba mniambie na chuo gan?maana alikua ameprefer aende teku
  15. T

    Msaada: Taratibu za uhamisho wa shule, aliyopangiwa hairidhishi kabisa

    Wakuu nipo Sumbawanga kwa muda huu, juzi nimetoka nilimpeleka mdogo wangu shule (amepangiwa Mambwe sec school) ila kwa kweli mazingira hayaridhishi kabisa, hakuna walimu na umeme pia hakuna, sasa nimeambiwa hapa Sumbawanga kuna shule inaitwa Kantalamba, nataka nijaribu kumfanyia mpango wa...
  16. T

    Tab s yangu inanitesa

    wakuu kama last week nilipost tatizo la tab yng kujerestatrt mfululizo..jana jion ilitulia kidogo so niliweza ku-update software kutoka kitkat to lolipop..so ucku mpaka asbh nilikua natumia vzr tu..ila leo kama sa4 hv tatizo limerudi tena..na pia hvy ikirestart hata kama chaji ipo 80 ikiwaka...
  17. T

    Tabs s inajirestart mfululizo

    Wakuu nina samsung tabs s 10.1 32gb cellular nililetewa mwaka jana, imeanza tatizo la kuwa inajirestart fluently yaani ikisha jirestart ukiigusa tu screen inajerestart tena..nimeihard resert but still tatizo lipo na naogopa kuwapelekea mafundi wa vichochoroni wasije wakazidi kuiharibu..mm nipo...
  18. T

    shule ya secondary ya mambwe

    wakuu anaijua hio shule na jinsi ya kufika huko..ipo mkoa wa rukwa ila ndio hatujui hata pa kuanzia..dogo ana merit ya 3.3 na b+ zote za pcmb ila katupwa huko pcm
  19. T

    msaada ku upgrade android version

    wakuu nilikua nataka ku upgrade software vision kutoka 4.2.2 jelly bean kwenda lollipop inaniletea msg hii..cm yng ni lg g2
  20. T

    Kupotea kwa result slip

    Wakuu mdogo wangu amepoteza result slip yake na tunategemea atakwenda chuo na kule itatakiwa, nauliza kuna utaratibu gani wa kupata nyengine. Dogo alisoma Bukoba na sisi tupo Zanzibar kwa saa hivi?
Back
Top Bottom