Search results

  1. Njanga Tz

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Wazungu wametuharibu sana!! Ila hii teknolojia ya misukule hujaigusia kabisa hadi Leo Ina prevail.
  2. Njanga Tz

    Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Tuache kukurupuka!! Nyumba ya Mkuu wa Mkoa ilikua inakaliwa na mtangulizi wake hvyo ni lazima mtangulizi wake aondoke kwanza na ukarabati ufanyike ndipo ahamie. Halaf mlitaka akakae kwenye lodge ya elf50 acheni zenu bana
  3. Njanga Tz

    East Africa Radio ombeni radhi kwa hiki mlichopost kwenye page yenu

    Acheni kupotosha!! Huu ni mwezi wa Wanawake ndomana wameuliza swali la namna hyo Ili kufaham ni jinsi gani Wanawake wanatambua mchango wake kwao. Hilo swali liko vizuri kabisa isipokua generation Z mnamatatizo ya akili
  4. Njanga Tz

    Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Huyo mbwa mkubwa kama Simba wanini? Na anaonekana Yuko strong hatari
  5. Njanga Tz

    Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Achana na Subaru, chukua Toyota utakuja kunikumbuka. 1. Mafundi wa kubahatisha. 2. Viti vya Subaru viko chini, Yan Dereva unadumbukia sijui ndo sport car wanasema. 3. Spare ni ishu nyingine ya kukatiza tamaa. Chukua Klugger au ongeza pesa chukua Harrier wanaita tako la nyani. Bora...
  6. Njanga Tz

    Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  7. Njanga Tz

    Unaweza ukashangaa Makonda kateuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

    Kwa hali inavyoendelea Kwa Sasa ni vyema CCM tukajitafakari. Ukweli ni kwamba hatuna watu wenye 'energy' ya kutosha, hatuna mtu ambae anaushawishi Kwa wananchi si tu Kwa muonekano ata Kwa kuongea. Nimetafakari upande wa Serikali mawaziri wetu wamekosa nguvu na ushawishi Kwa wananchi...
  8. Njanga Tz

    Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

    Wewe hujui mpira wala sheria zake, jaribu kujieleimisha kwanza ndo urudi hapa tena
  9. Njanga Tz

    Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

    Hakuna pumba hapo?? Wenzetu serikali zao zinawatuma kuvamia! Zinawawezesha kwenye technolojia na mitaji then wanavamia wanatunyonya hasa. Sisi tumezubaa
  10. Njanga Tz

    CRDB wiki mbili hawajaingiza mkopo

    Toka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani. Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu. Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa...
  11. Njanga Tz

    Msaada tafadhali wa hili la ardhi

    Nikushauri siku nyingne usinunue eneo lolote hasa mjini especially DAR na miji mikubwa bila kuwashirikisha watu wa ardhi kwamaana ya kwenda kuangalia eneo unalotaka kununua limepangiwa matumizi gani.Kwa kesi yako inawqezekana kuna mtu alikuwa anahitaji eneo lake lipimwe hivyo akaamua kuchora...
  12. Njanga Tz

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Jini hili nyonya damu dah sina hamu
  13. Njanga Tz

    Adha karibu na geti la Ikulu Dar!

    Jamani namii niseme,Buguruni mnyamani Vingunguti kuibukia barakuda daaah nmeacha gari aisee, hv yale mahandaki inakuwaje jamani serikali ya mtaa ipo kweli najuta nimepita juzi had nikahisi homa
  14. Njanga Tz

    Diamond, unatakiwa kujua kuwa wanakuonea wivu

    umesahau kitu kimoja, sikuzote ukifanikiwa usiweke kiburi na majivuno kumbuka ulikotoka, kinachomcost Diamond ni kiburi na dharau, mfano mmoja ni alichofanyiwa Bob junior juzi kati.
  15. Njanga Tz

    Tujikumbushe Dr Ndumbaro na Malinzi kuhusu Ufujaji wa Pesa za TFF

    Ni ndefu mno soma kwenye red kujua mapigo yalipoanzia. Tujikumbushe 31 October 2014....Stanley Chungu,Anwar Anuary Mkama,Amini Amini Mgheni,Ramadhan Ramadhani Sendah,Lameckism Tanzania, MWANASHERIA Dk. Damas Ndumbaro, amefichua kuwa amekata rufaa kupinga adhabu ya miaka 7 aliyopewa na Kamati ya...
  16. Njanga Tz

    Mbeya long time kitambo

    Mbona Wane hujamtaja mkuu? au wewe ulikua humkimbilii na mangongoti yake? Dah kitambo enzi hzo Sugu anavalia suruali matako nje
  17. Njanga Tz

    Mbeya long time kitambo

    Ahaaaa hujalitaja chama langu Saitama pale kiwanja ngoma lazima pachimbike.
  18. Njanga Tz

    Utajiri kutoka JamiiForums

    Wanasemaga fanya unachokipenda lakini kwangu mimi hata nisichokipenda nakifanya kama kinamanufaa, amua kipi kitakua na manufaa kwako na ufanye.
  19. Njanga Tz

    Utajiri kutoka JamiiForums

    Nilianza kwa kununua Tandika ila mafuta niliagiza toka Singida direct,ila kutokana na kukutana na watu wengi pale Tandika now i have a connection naweza kuagiza gunia zangu mbili tatu kwenye gari direct from Mbeya or Shinyanga. Biashara ni kucheka na watu na kujifanya mjinga lakini mwenye...
Back
Top Bottom