Search results

  1. lexur16

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Ni kweli naona organizations nyingi zime’opt Land Cruiser hasa 70 series ingawa bado kuna wachache wanaendelea kutumia Defender Old model kama hapa bongo TASAF na jeshini naziona sana wanatumia kwa Safari za remote areas. Nadhani ni gari zinazohitaji uangalizi wa karibu sana ili iweze ishi muda...
  2. lexur16

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Hii LR Defender mpya inaonekana kabisa haitaki shurba, ngoja tuwape nafasi TFL wafanye review yao tuone, labda ile ya kwanza ilikua na tatizo kipindi cha production maana si mara ya kwanza kwa baadhi ya matoleo mapya kuzingua na kuwa recalled nakumbuka kuna kipindi Hilux & Fortuner za diesel...
  3. lexur16

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Hao jamaa wa TFL channel naona wamepewa Defender mpya baada ya ile ya kwanza kuzingua, ngoja tuone review yao.
  4. lexur16

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    VPN naitumia katika mambo yangu ndio maana sikutambua kama mtandao upo down hadi baada ya kusikia kwa watu na kuzima vpn ili nihakikishe.
  5. lexur16

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Naelewa mkuu, muhimu ni kuwa mdadisi tuu haijalishi unatumia platform ipi.
  6. lexur16

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Upo sahihi, na mimi kwa data zangu watu wanaonizunguka wa Android bila kuwasaidia walikua washakubali matokeo.
  7. lexur16

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Hapo kuwa wa upande flani wamezidi hatuna hesabu kamili au la, kwa hiyo tukubaliane tuu kuwa Ios na Android bila kuwa mdadisi huwezi kuwa hewani mida hii.
  8. lexur16

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Nadhani hujamuelewa mkuu...ukiwa mvivu wa kujifunza hata kitu rahisi kitakushinda. Jana ofisini nimewa’hotspot watu watatu na kuwadownloadia Vpn kupitia browser na hao wote ni watumiaji wa Android. Sasa pamoja na huo urahisi lakini kuna watu wa Android bado hawana hizo simple basics za...
  9. lexur16

    Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    It'd be so nice If you didn't have to feel so lonely It'd be so nice If I could sneak you for a moment I know you like to get away, go away, far away To a place where there's just us two Got a busy day, everyday but not today Cause I'm Here to take that stress from you So you can just chill And...
  10. lexur16

    Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    No one else comes close by Joe No one else comes close to you No one makes me feel the way you do You're so special girl to me And you'll always be eternally Every time I hold you near You always say the words I love to hear Girl with just a touch, you can do so much No one else comes close..
  11. lexur16

    Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    Truly Madly Deeply I'll be your dream, I'll be your wish, I'll be your fantasy. I'll be your hope, I'll be your love, be everything that you need. I love you more with every breath, truly madly deeply do I will be strong, I will be faithful 'cause I'm counting on a new beginning. A reason for...
  12. lexur16

    Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    Freak me by SILK Let me lick you up and down till you say stop Let me play with your body, baby, make you real hot Let me do all the things you want me to do 'Cause tonight, baby, I wanna get freaky with you..
  13. lexur16

    Msaada: Jinsi ya kukomesha meseji toka Tigo

    Hapo select hiyo namba yao ya huduma kwa wateja kisha nenda kwenye option ya “Block this caller”. Hutopata tena hizo sms.
  14. lexur16

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mkuu inawezekana yeye ndiye Hellen mtoto wakimeru [emoji3][emoji3]
  15. lexur16

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Another Hush Puppies [emoji190]
  16. lexur16

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hush Puppies [emoji190]
Back
Top Bottom