Search results

  1. Mo-TOWN

    Mapato VS Matumizi ya Serikali

    Kwa kweli juhudi zinafanyika nyingi sana ambazo kwa ujumla malengo yake ni kuogeza pato la serikali na hatimaye kuwekeza sehemu ya mapato hayo ktk utoaji huduma za kijamii husani public goods (miundombinu, afya, elimu nk). Nia ni njema ingawaje njia za kuhakikisha mapato ya serikali...
  2. Mo-TOWN

    Serikali sikivu ya Rais Magufuli sikia kilio cha wafanyakazi wa Pride

    Inawezekana vipi asasi inayoitwa Pride ikusanye michango ya NSSF kutoka kwa wafanyakazi kwa zaidi ya miaka 10 kisha isifike kunakohusika. Pia inawezekana vipi Pride ikusanye fedha za loan board kisha zisifike kwa wahusika. Taasisi husika mnasubiri raisi aje kufanya kazi zenu za kuhakikisha haki...
  3. Mo-TOWN

    Tabia ya Mamlaka Kuruhusu Biashara kufanyika barabari

    Kuna mambo huwa ni magumu sana kuelewa....Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami kisha kuifanya ni sehemu maalumu ya wafanyabiashara wadogo?. Chakula kinapangwa barabarani....mbele ya macho ya TFDA, TBS, traffic police, manispaa, jiji nk. Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami badala ya...
  4. Mo-TOWN

    Ndoto Gani Hii

    [emoji15] [emoji15] Nimetoa waenda kwa miguu wakikamatwa na kutozwa faini kwa kukatisha barabara ktk eneo lisilo na pundamilia....Ndoto huna mamlaka shindwa kabisa
  5. Mo-TOWN

    Here We Go Again...Zebra Crossing

    I had a dream...of the zebra crossing rule coming into effect in Arusha. The new road from phillips all the way to Arusha Meat would have about dozens of traffic officers read to stop and fine drivers who don't stop at the zebra crossings for 1 minute as provided in the act[emoji3] [emoji3] ...
  6. Mo-TOWN

    Hujuma Mapato ya Serikali;

    Bado kuna traffic polisi ambao wanatoa notification na kupokea hela ya fine pasipo kutoa risiti kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.....
  7. Mo-TOWN

    Waziri Jafo; Hongera kwa kupambana

    Mimi ni ushauri mdogo tu kuhusu kupanga miji. Kama hili liko ndani ya uwezo wako nashauri uwabane wahusika. Kwa kweli ni aibu....maeneo yaliopangika yale yaliopimwa na wakoloni[emoji15] [emoji15] ukiacha sehemu chache tu....Ni ushauri tu.
  8. Mo-TOWN

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Pamoja na hamasa zote hizi....Nauliza kulikoni juu ya kufunguliwa tena kilichokuwa kiwanda cha general tyre???
  9. Mo-TOWN

    Kulikoni Huduma ya Luku

    Mwenye weledi anijuze tafadhali
  10. Mo-TOWN

    Uhakiki wa vyeti

    Ni lini viongozi wa kitaifa kama RCs, DCs na Mawaziri watahakikiwa vyeti vyao vya kidato cha nne, kama walipitia mfumo wa sekondari?
  11. Mo-TOWN

    Kuelekea Tanzania ya viwanda

    To Whom It May Concern. Kwanza nimpongeze Rais wetu MH. JPM kwa style ya utawala wake na kwa hatua mbalimbali anazochukua ktk kusimamia mapato ya serikali, kuboresha huduma za jamii na kushajihisha uwekezaji ktk viwanda . Nimeguswa kushauri yafuatayo. 1. Kufanya juhudi za makusudi ktk...
  12. Mo-TOWN

    Huawei 7. Baadhi ya

    Habari. Naomba ushauri wa kitaalamu ku-unlock simu ili niweze ondoa baadhi program zinazosomeka kichina.
  13. Mo-TOWN

    Director Muhimbili, fanya haya ili kuboresha huduma ya afya

    Pamoja majukumu mengi unayopambana nayo naomba nikushauri yafuatayo. Angalia uwezekano wa kushirikisha sekta binafsi kuwekeza sehemu ya kupumzika kwa watu wanaokuja kuangalia wagonjwa wao. Kwa sasa hali si nzuri hata kidogo. Mmeajili walinzi kuhakikisha sehemu zilizotengwa maalumu kwa...
  14. Mo-TOWN

    Tatizo ni Weledi Mdogo wa Viongozi

    Mimi ni mzazi. Nauliza hoja ni nidhamu ndogo ya wanafunzi au shambulio la mwili kwa mwanafunzi wa Mbeya Day? Labda niulize hivi shambulio alilopata mwafunzi wa Mbeya Day ni haki kwa mujibu wa maelezo ya RC?? Naomba nisisitize kuwa ni weledi mdogo sana tunaoona kwa viongozi wetu. Kuongozi...
  15. Mo-TOWN

    Shujaa Bunge La Katiba ni Mwanasheria Mkuu Zanzibar

    In simple terms hakukubaliana na rasimu ya katiba ya JMT inayokinzana na Katiba ya ZNZ! Achilia mbali kanga moko, viduku, vigodoro, vijembe, kejeli nk.
  16. Mo-TOWN

    Pinda: The weakest Link.

    Saw it on TV.... PM anaelezwa kiwanda kinatiririsha yanayosadikiwa kuwa na sumu ....ujumbe wake ni kama unamfahamisha kuwa juhudi zao zimekwama ... imagine anaenda kusikikiza hotuba ya wenye kiwanda kisha anazungumzia mchakato wa kumpata mshauri elekezi eti afanye utafiti juu ya sumu iliopo ktk...
  17. Mo-TOWN

    Hivi kweli tuko njia sahihi...

    Kuelekea mageuzi ya kiuchumi? Je ni mipango, mikakati, kauli mbiu au utekezaji wake Mkukuta/Mkuza Vision 2025 Mpango wa miaka mitano Mkurabita Agricultural transformation Initiative (ATI) Kilimo Kwanza SAGCOT Na sasa .... Big Results Now What next ..... Achilia kwamba tuna...
  18. Mo-TOWN

    Ukitaka kujua kama kuna viongozi au la....

    Subiri mpaka changamoto itokee...mfano sintofahamu inayoendele huko Mtwara. Nilisikia bunge lilipiga marufuku kujadili swala la gasi... Waziri mwenye dhamana mambo ya ulinzi...tutawatafuta waliochochea vurugu Nk
  19. Mo-TOWN

    Trafiki Polisi ARUSHA...Tunaomba msaada

    Kuongoza magari Kona ya PPF na barabara mpya ya maji machafu na General Tyre. Kero ni kubwa mno. Ushauri kwa uongozi wa Jiji Arusha kufikiria ujenzi barabara ya mzunguko au taa ili kuweka utaratibu mzuri kwa magari kupita.
  20. Mo-TOWN

    Kinana; Utetezi wa Serikali na CCM

    Kufuatia utetezi wa uliotolewa Bungeni na serikali na CCM juu ya tuhuma za kuhusika kwa Kinana na utoroshaji wa nyara za serikali. Utetezi ambao umejikita ktk hoja kwa kuna majukumu mbalimbali ya vyombo na asasi ktk usafirishaji mzigo incl nyara za serikali! Kwa mantiki hiyo hiyo tunaomba...
Back
Top Bottom