Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima inaisha mwezi wa 5 2021
Matengenezo:
Matairi 2 ni vipara kubadilisha
Bei Milion 5,000,000 negotiable...
Haidaiwi kibali chochote.
6 Cylinder
Gari tajwa hapo juu ni nzima haijawahi funguliwa injini.
Taa za mbele nzima na nyuma ni kubadilisha sababu ni za muda mrefu.
Inahitijika kuchomelewa kidogo upande wa nyuma kushoto na milango chini sababu ilisimama matumizi kwa muda mrefu.
AC inafanya kazi...
Naamin kila mtu ameamka salama siku ya leo. Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kutupa uzima na afya tele katika maisha yetu ya kila siku pamoja na changamoto zote tunazokutana nazo kila uchwao. Wana JF wenzangu mwaka umeisha tayari na 2017 ipo kwenye kona, hatuna budi kuishi maisha...
Toyota Corola Dx Details
Cc: 1500
Color: White
Transmission: Manual
Engine: 3A-U
Taarifa za Ziada
Tairi: Nzima na Mpya
Body nzima ila Kuchomea sehemu chache (angalia picha)
Vioo: Vyote vizima (angalia picha)
Taa: Mbele ni 4 Seal Beam nzima zote ila moja haiwaki.
Nyuma: Nzima zinahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.