Search results

  1. Mchumi90

    Lodge nzuri Magomeni

    Naombeni msaada wakuu Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  2. Mchumi90

    Bia zinauzwa kuanzia saa ngapi?

    Habari wakuu, naona kuna bar bado wanakatzwa kuuza bia mida ya kazi. Tunaotaka kuzibua mbona tunanyanyasika hivi na hela ni ya kwangu mwenyewe. Yaani kama leo nipo off eti nisubiri mpaka saa kumi.
  3. Mchumi90

    Ofisi za Utawala UDSM zinakuwa wazi siku ya Jumamosi mpaka saa ngapi?

    Wakuu nataka kwenda kuchukua cheti changu UDSM kesho. Sasa sina uhakika kama kesho ofisi zinakuwa wazi maana cha mwanzo walikosea majina yangu. Shukrani. Naombeni mnijuze wakubwa. #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu
  4. Mchumi90

    Maswali yangu kwa wana-CCM

    Nimeona maandiko mengi sana siku za karibuni ya kuishambulia CHADEMA na Mbowe. Hawa na watu maalumu walioandaliwa na chama pinzani kwa CHADEMA yaani CCM na washirika wake. Lakini ukiwabana kooni kuhusu weakness za awamu ya tano wanaishia kurukaruka na kukosa majibu mara oohh "Kwa hiyo Mbowe na...
  5. Mchumi90

    Mademu wanakula Safari Lager hatari Mbagala

    Aisee nipo Mbagala huku, mamanzi wanakamua Safari Lager kama maji. Naogopa hata kuopoa hapa aiseee.... Hawa wanaeza kukuua kitandani kabisa. Me nakunywa Senge nyeusi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mchumi90

    Ushuhuda wangu leo Kanisani (Vyuma vimekaza)

    Tumsifu Yesu Kristu (TYK) Ndugu wanajukwaa niwatakie heri na Noeli. Tunasherehekea kuzaliwa kwa mfalme wa amani Yesu mwana wa Mungu. Leo katika sali yangu katika moja ya parokia, nimeona na kujifunza haya. :: 1. Hakuna nguo mpya. Watoto wengi hata watu wazima kwa mwonekano tu nguo walizovaa...
  7. Mchumi90

    Kwako raisi wetu Mpendwa

    1. Sisi wamachinga tukikosa wateja wa bidhaa zetu agiza jeshi lije kununua ili tusipate hasara 2. Mama Ntilie wakikosa wateja agiza wanajeshi wanunue msosi wote 3. TFF wakiandaa match mashabiki wasipoingia taifa, agiza wanajeshi wanunue tiketi zote ili TFF wasipate hasara 4. Wenye mabasi...
  8. Mchumi90

    Naweza badili route wakati niko kwenye Uber?

    Naweza anzisha route nyingine wakati nipo tayari nipo kwenye ubber. ? Yaani nataka kuchukua Ubber x mbili maana eneo nililopo XL hamna.
  9. Mchumi90

    Sophia Houses ni mali ya nani?

    Wakuu ndani ya jiji la Dsm naona kuna hizi nyumba nyingi sana. Mmiliki wake ni nani?
  10. Mchumi90

    Ambao mshavunja amri ya sita mwaka 2017 , njooni hapa mtubu.

    Nashukuru Mungu tangu huu mwaka uanze sijavunja amri ya sita kabisa. Kwa mliokwisha kuvunja amri hii njooni hapa mtubu. Msiwe wabishi maana Mungu anawaona. Mods naomba mu edit ni 2018.
  11. Mchumi90

    Tushirikishane Dating Apps nzuri

    Wakuu naomba tupeane uzoefu kwenye dating apps nzuri na tupeane uzoefu wa ke
  12. Mchumi90

    Kwa mwenendo wa Mwakyembe, Richmond tuna mashaka nayo

    Wakuu, Naomba nikiri kati ya mawaziri niliowaamini kwenye awamu hii ya tano ni huyu Mwakyembe. Kinachotokea sasa nabaki mdomo wazi, yeye ni mtu wa kuwaza tumbo lake tu (anauwezo wa kukataa hata jina lake huko tunakoenda). Kwenye bunge la katiba alianza kuonesha haya mambo ya ajabu, alikuwa...
  13. Mchumi90

    Mgeni aingia Dar, wenyeji wamfurahia

    Hatimae jiji la Dar es Salaam limepata ugeni mzito kutoka kanda ya ziwa. Ugeni huu umewafurahisha wakazi wengi wa jiji la DSM na viunga vyake na wengi wao wakimtaka abaki nao kwa muda mrefu zaidi kwani anawapa faraja sana kipindi hiki wanavyojaribu kupambana na HAPA KAZI TU. Mgeni huyo...
  14. Mchumi90

    Naomba namba za wabunge wote wa kuchaguliwa.

    Wakuu naomba namba za wabunge wa kuchaguliwa zisambazwe kwa wananchi ili kila mwananchi awe na namba ya mbunge wake. Lengo hapa ni kuwaamrisha hawa wabunge kufanya kazi kwa maslahi ya taifa na siyo ya chama. Mfano kwenye huu muswada wa habari tuwachane live hatuutaki ikiwezekana wauchane...
  15. Mchumi90

    Kamanda Siro jiji limekushinda?

    Huyu kamanda anajulikana kwa umahiri wake wa kupambana na wahalifu. But practically kwa jiji la DSM yamemshinda na waliomshinda ni vitoto vidogo vinavyojiita PANYA ROAD. Hawa watu ni kero sana kwa wakazi wa maeneo ya nje ya mji. Leo nilimtembelea ndugu yangu maeneo ya Mbagala Kiburugwa...
  16. Mchumi90

    Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

    Za asubuhi wakuu. Jana nilihudhuria mkutano wa demokrasia wa chama hiki cha Act Wazalendo na lengo langu lilikuwa kujifunza na kuona jinsi watu wanavyoichambua demokrasia yetu. Yafuatayo ndio niliyoyaona. 1. Act Wazalendo bado ni chama kichanga sana, hata kwenye mipango yao tu wanaonekana...
  17. Mchumi90

    Mzumbe selections 2016/17

    Pitia link hii uangalie kama umechaguliwa First Batch of Students Selected to Join Masters programmes at Main Campus, Dar-Es-Salaam Campus College, Mbeya Campus College and Mwanza Centtre for Academic Year 2016/2017
  18. Mchumi90

    Swali: Je naweza kusoma degree upya baada ya kumaliza ya kwanza?

    Mfano nimefanya Bachelor of Accounting nikamaliza mwaka huu, je mwakani naweza kutumia matokeo yangu ya form six kuapply upya tena TCU nikafanya degree tofauti, labda degree ya ICT.
  19. Mchumi90

    JKT kwa mujibu wakopwa na serikali

    Walioenda Jkt kwa mujibu wa sheria wameshindwa kulipwa stahiki zao na serikali kwa ahadi watatumiwa baadae. Hizi taarifa nimepewa na ndugu yangu aliye kwenye kambi moja huko Kigoma. Pia tukumbuke mwaka huu wamechukua wachache sana na wengi waliomaliza form six hawajaenda but issue nadhani ni...
Back
Top Bottom