Search results

  1. beautifulonyinye

    Nauza dagaa nyama nono fresh kutoka Mwanza

    Habarini zenu wakuu, karibuni mjipatie dagaa safi wa kukaanga kutoka Mwanza, Wana viungo vya kutosha, watamu sana, wana radha ya kipekee. Tunapatikana Dar_ Ubungo, delivery zipo popote unaletewa, tunauza kwa jumla na rejareja. Bei zetu ni rafiki sana, package zetu zinaanzia tsh 3,000 na...
  2. beautifulonyinye

    Kupigiana simu kwa wanandoa

    Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2. Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo...
  3. beautifulonyinye

    Natafuta kazi ya Hotel kama Waitress au usafi maofisini

    Habari za asubuhi wakuu, Ninapenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya jukwaa hili kwa maana ninaamini linawasaidia wengi wenye uhitaji. Mimi binafsi nimekuja kwenu nikiomba msaada wa kazi ya hotel, restaurant, au usafi wa maofisini. Mimi ni msichana, Nina elimu ya kidato cha 4 na certificate ya...
  4. beautifulonyinye

    Natafuta Kazi za yoyote halali

    Habari za wakati huu waungwana, Mimi ni binti wa miaka 25 nina elimu ya kidato cha NNE,na nimesomea hotel, natafuta Kazi yoyote iwe ya waitress, usafi mahotelini, maofisini, majumbani ,Viwandani, dishwasher ,kuuza duka au hata kwa wenye apartment wa kutaka wa kuwafanyia usafi na Kazi zote za...
  5. beautifulonyinye

    Dagaa wa kukaanga kutoka Mwanza kwa bei nafuu ,Karibuni

    Habari za asubuhi wakuu kama picha zinavoonekana ni dagaa wa kukaanga kutoka mwanza tunauza kwa bei nafuu sana , ndoo tunauza sh 50,000 na kwa kilo moja ni 8,000. Tunapatikana dar na unaletewa popote ulipo kwa maelezo zaidi njoo Pm. KARIBUNI SANA
  6. beautifulonyinye

    Sagas wa kukaanga kutoka Mwanza kwa Bei nafuu karibuni

    Habari za asubuhi Wakuu, kama mnavoona picha tunauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei nafuu kabisa, Ndoo ni sh 50,000 , kilo moja ni sh 8,000 na unaletewa popote ulipo, Tunapatikana dar kwa maelezo zaidi njoo Pm. KARIBUNI SANA
  7. beautifulonyinye

    Natafuta Kazi nisaidieni

    Habari za asubuhi ndugu zangu, Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha 4, natafuta Kazi kwa Mara nyingine Kazi ambazo naweza kufanya na ambazo Nina uzoefu nazo, ni: Hotel Duka la simu/spea n.k Slot mashines Sports betting. Hizo ni baadhi ya Kazi ambazo naweza kufanya. Naomba Msaada...
  8. beautifulonyinye

    Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

    Habari wakati huu, Mimi naombeni ushauri nitamjuaje mtu mwenye HIV carrier au ni dalili zipi zinaonyesha mtu mwenye HIV carrier. Nasubiri ushauri
  9. beautifulonyinye

    Natafuta kazi ya waitress

    Habari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
  10. beautifulonyinye

    Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

    Habari zenu wakuu.. Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii. Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye amemzaa akiwa shule na kudanganya umma kwamba yule ni mdogo wake. Sasa mambo yameharibika mange...
  11. beautifulonyinye

    Millard Ayo wa 2005-2008

    Habari wakuu, Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane. Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.
  12. beautifulonyinye

    Natafuta kazi msimu huu wa sabasaba

    Habari zenu Wakuu Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Ninaomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia Kazi yoyote katika msimu huu wa sababu , Kama kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali na Kazi nyinginezo zitakasokuwa zinahusika Sabasaba. Nina uzoefu wa miaka miwili as a brand Ambassador wa...
  13. beautifulonyinye

    Natafuta kazi, nisaidieni

    Habari zenu wana JF. Mwenzenu naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote ya halali ispokuwa ya baa. Umri wangu ni miaka 24, elimu yangu ni kidato cha nne, Nina certificate in hotel management na Nina uzoefu kama receptionist for almost a year. Lkn pia kazi niliyowahi kufanya ni sales and promotion...
Back
Top Bottom