Search results

  1. mbegubora29

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Nyie vijana ndo maana mnaliwa tigo kwasabb nn dhana ya kutoboa? Maana mtu akiwa na nyumba yake ina nafas haijalish style ilivyo ana usafir ana watoto wake na ana mkewe safi na wakiumwa wanaweza kununua dawa sasa unataka awe kama mo au hiyo kitu dunian haiwezekan wote tukawa na status sawa maana...
  2. mbegubora29

    Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    Wewe kijana selection tyr wahi shule mada hizooo
  3. mbegubora29

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Huyu naye mleta amepuyanga mbona na wewe elim yako kama muft hivyo ulikuwa na haja gan kukimbilia kuleta mada hapaa ovyoo na kutuaminisha kuna bifu kumnee bure kbs na wewe
  4. mbegubora29

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    ndugu yangu pole saana kubwa unapaswa kuamini ya kuwa wote sisi ni wa mwenyez mungu na kwake ndo marejeo hivyo unapaswa kutambua we unaweza tangulia au hata mie hapaa nayekuandikia kwahy kuwa na subira ktk hili unalopambana nalo
  5. mbegubora29

    Nimeamini Maisha sio kombolela nimepata akiba 14.7ml Mwaka huu!

    Waswas wangu unaweza kuwa haupo dunian
  6. mbegubora29

    PAPA: Sijaruhusu ndoa za jinsia moja ila kubariki vitu vyao kama magari, Nyumba, Mashamba ni ruksa Misingi hii ya Kanisa Katoliki iliwekwa na Mungu

    Miongoni mwa andiko la hovyo' kishoga na kikafir ndo hili kwahy mnataka mtuaminishe nn mashoga nyie kama kupitisha mlishapitisha muda tu kikubwa msiwe na mashaka kuna maisha baada ya hapaa duniani! Lkn kwa dunian mtafanikiwa saana au mmefqnikiwa tyr lkn hamtamkomesha aliyeumba ulimwengu huu!
  7. mbegubora29

    Msaada kuhusu Mkopa

    Salamu wandugu, Naomba kuuliza hawa Mkopa ni wa kweli au kama waongo tu wanasema wanafanya biashara ya kukopesha bidhaa basi wakanilainisha nikakubaliana nao lakini naona kama wana dalili ya utapeli. Mwenye ufahamu nalo naomba mnifahamishe ndugu zanguni.
  8. mbegubora29

    Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Aisee hkn muislam anatakiwa afanye nje ya dini yake kuacha ni halal na kuongeza mke ni halal isipokuwa lazima asbb ziwepo sio tu una mkera mwenzio ndo umuache unaweza ukawa huna mapenz naye ukamuacha ni ruksa kbs
  9. mbegubora29

    Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Ni kawaida Kwan uliyonayo moyoni ni makubwa kuliko unayoyadhihirsha lkn haki itabakia tu
  10. mbegubora29

    Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

    Ndugu sema ngoja uchaguliwe wewe sio wachague wanaowataka.
  11. mbegubora29

    Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

    Ameumia kusikia waarab maana alitarajibasikie Roma au Israel dah
  12. mbegubora29

    Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Wala usitoe povu saaana mzee kubali tu yaishe dini pekee ambayo itamjali kiumbe chochote kile akiwemo huyoo binadam ni UISLAM,hivyo usitumie nguvu nyingi kuwajib waislam wkt UISLAM upo pale pale na utakuwepo kwahy tutumie fursa hii kukubalisha ktk UISLAM.
  13. mbegubora29

    Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    Wameziea masanam walitaka wakufanye na wewe Sanam ya shoga Ami bila hata kumjua duh wanashangaza Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  14. mbegubora29

    Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    Aaagh ni aibu saana mungu gan huyo aliyeruhisu viumbe vyake vimfanye vile wanavyotaka Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  15. mbegubora29

    Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    Umeshindwa hoja ndo maana umechagua matusi Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom