Search results

  1. C

    Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

    Matako yako ndiyo gaidi kenge mkubwa we we,
  2. C

    Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

    Bila tume huru ya uchaguzi hakuna kupiga kura wala hakuna haja ya kuanza mchakato wa uchaguzi,tayari tunamkoloni mweusi,huyu ameshajihakikishia ushindi,na hataki kubughudhiwa,Kwa vitendo vinavyofanywa na wanaccm,hakuna haja ya kushiriki huo uchaguzi Kwa tume hii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

    Jamani kama hali ipo hivyo hakuna sababu ya kushiriki huo uchaguzi kama vipi tudai kwanza tume huru ndipo tuingie kwenye uchaguzi,tujue tunamkoloni mweusi ccm atatusababishia machafuko Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

    Hujitambui,bunge ndiyo wanawakilisha wananchi,bunge lilijadili lini matumizi ya fedha za matibabu na kutuma ndege kubeba box 11,NDIYO maana watanzania yunadharaulika sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

    Na ndiyo maana tunasema ukishakuwa na akili za kiccm unakuwa kama chizi au zuzu hivi, uliwahi kumsikia Mbowe akipanga njama zozote za kuwadhuru wanachama wake? Acha akili ijiamulie la kusema siyo tumbo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    CCM ni mkoloni mpya Kwa Tanzania

    Bila shaka kila Mtanzania wa leo ambaye anampenzi mema na nchi yetu Tanzania amejiridhisha pasipo shaka kuwa babu zetu na wazee wetu walifanikiwa kupambana na utawala wa mzungu ambaye tulimuita mkoloni Kwa sababu ya matendo yake kwa waafrika, Ukitazama malengo ya kumtoa mkoloni yaklikuwa ni...
  7. C

    Wabunge waliohama Chadema mwaka 2015

    Unapoandika kana kwamba upo chooni unajiaibisha,ulitamani CHADEMA watekeleze ujinga wa ccm,hebu tuambie mlimpa simon group uda na akakopa kupiti a Mali za uda hilo deni ni LA uda au simon group,mbona ccm mnaendekeza njaa,maufuli amekopa Kwa siri mkopo wa kibiashara,unataka kutuambia mwenyeakili...
  8. C

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Huu ugonjwa ni hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

    Mtoa post wewe ni mtanzania kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

    Nafuatilia taratibu za kumfungulia kesi polepole kwa kauli yake hiyo,aje atuthibitishie mahakamani,vinginevyo aombe radhi
  11. C

    Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    Hii nchi imelogwa au kuna mtu tumemdhulumu hivyo analalamika,Hakuna mwaka tunatoka hapa tulipokwama,tumeleta makocha karibia nchi zote,kuanzia Brazil mpaka Denmark lakini wapi,nchi imelaaniwa hii
  12. C

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hivi inakuwaje watu wanapanga mipango ya utekaji na hadi inafanikiwa,wanamchukua mtu na kumpeleka kusikojulikana na usalama wapo tu,au wapo kwa ajili ya usalama wa chama cha mapinduzi kama polisi
  13. C

    Tutegemee lolote wakati wowote kutoka kwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika na na Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea

    Acheni kufanya kazi za kina marehemu shekhe yahaya Hussein,vijana wa kitanzania ni wapuuzi sana,hivi unakaaje unafurahia mbinu za kipuuzi za ccm za kuwahonga wapinzani vyeo ili kuendelea kukaa madarakani,kijana huna ajira,wala biashara,huna nyumba wala kiwanja,kila Sikh unamtegemea shemeji ili...
  14. C

    Msaada TCU waendelea kunitesa

    Siyo wewe tu,kuna vijana wengi tu mpaka Leo hawajui hatma yao,akiwemo mean an go
  15. C

    Ansbert Ngurumo: Wauaji wa Akwilina Akwiline, Daniel John wanajulikana

    Hili lilijulikana tangu siku nyingi kwamba mauaji yote yanaratibiwa na ccm na mwenyekiti ndiyo anaamrisha
  16. C

    Tetesi: Lissu adaiwa kumponza Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji

    Yawezekana ccm ikawa ni genge la wahalifu na wapambe wao
  17. C

    UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Hayo maagizo yametoka mbinguni au ni hapo Lumumba?,hawa kenge wanalazimisha kuongoza walisahau kupeleka jeshi LA polisi na jecha,aibu sana
  18. C

    Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    Sasa mada inamahusiano gani na mbowe
  19. C

    Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea apeleka hoja binafsi bungeni ya kudai tume huru ya uchaguzi

    Mijitu ya Tanzania bana, eti daini katiba mpya,au we we unaishi Libya?
  20. C

    Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea apeleka hoja binafsi bungeni ya kudai tume huru ya uchaguzi

    Kenge we kwani tume ni ccm kwa hiyo unahofu ikibadilishwa?
Back
Top Bottom