Search results

  1. Tz mbongo

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Sasa hayo unamuuliza nani? Nachojua mimi imani hailazimishwi ni vile ukiona umeshawishika nayo unaamini na ukiona hujashawishika hujaelewa unaachanayo nayo. Kama mfumo wako wewe umejiwekea kwamba ili uamini kitu lazima umjue aliyebuni na lengo lake mbona kuna imani nyingi tu ambazo waanzilishi...
  2. Tz mbongo

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Hebu toa mfano kvp inazuia?
  3. Tz mbongo

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Ishu sio hizo habari unazopewa hawazijui vizuri bali hapa kuna ishu ya uwepo wa maswali ya ziada kuhusu Mungu ambayo unataka ujibiwe, na ni maswali ambayo hayazuii wewe kuelewa na kuamini hizo habari unazopewa na hao watu.
  4. Tz mbongo

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    W Wewe mkuu ambaye unaona kwa sasa Serikali inafanya vizuri na tena ina kasi zaidi kwenye maendeleo kuliko wakati wowote kisa tu ipo chini ya Samia ndio unataka kutuambia ukiwa Rais utafanya makubwa kwenye maendeleo ya nchi? Mkuu si kwamba hawa viongozi tunaowalaumu humu hawana maneno mazuri...
  5. Tz mbongo

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Ndio maana mie naona hii nchi inahitaji fikra mpya na na sio kuishia kufikiria sijui et tatizo ni ccm na hayo mnayo orodhesha, hiyo ccm ni matokeo ya tatizo na si kwamba ndio tatizo lenyewe kiasi cha kufikiria kwamba et ikitoka madarakani ndio kila kitu kitakaa sawa ni kujidanganya sioni hizo...
  6. Tz mbongo

    Makonda hakutakiwa kutamka lile tamko mbele ya Rais

    Hafai kuwa kiongozi wa wapi au akina nani? Hilo ni la msingi kujiuliza, kwa nchi kama Tanzania sidhani kama Makonda hafai labda ingekuwa nchi nyengine. Ndio maana hapo wengine wanakwambia pengine Rais mwenyewe ndio anamtuma Makonda kufanya hicho anachofanya.
  7. Tz mbongo

    Makonda hakutakiwa kutamka lile tamko mbele ya Rais

    Pamoja na yote hayo unadhani kwanini Samia alimchukua huyo Makonda?
  8. Tz mbongo

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Sasa ukijua hilo ndio usianze kusema kuwa hujibiwi maswali yako na kuelekeza lawama kwa watu huku ukijua hawawezi kuwa na hayo majibu ya maswali yako.
  9. Tz mbongo

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Vizuri kumbe unajua swali hilo kuhusu shuka la Samia kuna watu maalumu wa kuulizwa na si yeyote tu atakuwa na hilo jibu, sasa na hayo maswali kuhusu Mungu pia utizame ni yupi sahihi atakuwa na jibu ya hayo maswali.
  10. Tz mbongo

    Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

    Matumizi mabaya ya serikali kwa kodi zetu hupoteza kabisa uhalali wa kutumia nguvu kukusanya hizo kodi. Yani itumike nguvu ili ipatikane pesa ya kuwalipa akina Salma Kikwete pasina kufanya kazi yeyote si sawa kabisa.
  11. Tz mbongo

    Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

    Lipa kodi mkuu tukanunue magoli ya simba na yanga.
  12. Tz mbongo

    Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

    Nawaza tu hii kauli ya mtangulizi wake Magufuli unaweza kukuta hadi Samia atamaliza muda wake na kuingia mwengine ila bado tutaendelea kusikia mtangulizi Magufuli.
  13. Tz mbongo

    TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Mimi nakuhusia ukiwa bado upo hai ili ujitizame kama una dhambi upunguze kama si kuacha kabisa wala sisubiri hadi ufe ndio nianze kukusema, muhimu ni kwamba kutokuwa ccm au kutoshiriki uchaguzi wa mauwaji hakukufanyi kuwa wewe ni mtakatifu maana haya mambo ya siasa kuna wakati tunajikuta tunaona...
  14. Tz mbongo

    Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

    Ajabu hata wewe unatumia nguvu zaidi kulaumu uongozi uliyopita kuliko kutumia nguvu hizo kuzielezeka kwa uongozi uliyopo uachane na kutumia siasa katika mambo ya kitaalamu. Uzi umejaa mabishano kwa jinsi gani uongozi uliyopita ulikosea kujenga hilo bwawa kuliko kushauri ni vp tunaweza kupata...
  15. Tz mbongo

    TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Hayo ya kwake nawe umeyatizama yako? Maana wewe kutoshiriki huo uchaguzi wa mauwaji haukufanyi kuwa wewe si mkosaji kwa Mungu na ndio maana nikasema Mungu hana chama. Yaweza kuwa na wewe una maovu kibao kwenye jamii ila hapo unajifanya mtakatifu sana na kuona wenzio ndio wenye maovu kisa ni wana...
  16. Tz mbongo

    Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

    Hivi kumbe JF hakuna wataalamu ambao wanaweza kutoa michango yao kitaalamu? Maana naona hakuna mwenye kueleza kitaalamu kila mtu anabwatuka kivyake yani mada inajadiliwa kisiasa zaidi.
  17. Tz mbongo

    TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Popote huko alipo, muhimu ni kwamba Mungu hana chama.
  18. Tz mbongo

    TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Kwa Mungu hakuna chama huko.
  19. Tz mbongo

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Sasa hapo kwenye usahihi ndio tunataka kupajua maana usahihi hauwezi kuwa et kisa mababu zetu, walikuwa binaadamu nao tusiaminishane kwamba walikuwa sahihi tu.
Back
Top Bottom