Search results

  1. Chuku chuku

    Mke kanipeleka Police, ndo natoka mida hii!!

    Tusitishane mkuu, unaanzaje kumpiga mtu mzima na fimbo a. k. a bakora, unakwama wapi mwamba?
  2. Chuku chuku

    Alitaka kuniibia mke, mzee wa hekima akaokoa jahazi

    We si ndo mzee wa kugonga wake za watu, sasa hapo wako keshaliwa mkuu we kaa kwa kutulia tu😂😂😂
  3. Chuku chuku

    Inauma sana, ila LET HER GO

    Komamanga ni jekundu rangi yake, hilo la kijani bila shaka ni bado changa, ila wewe😂
  4. Chuku chuku

    Inauma sana, ila LET HER GO

    Komamanga tena😂😂
  5. Chuku chuku

    Inauma sana, ila LET HER GO

    Tulijua tu MTAACHANA😇
  6. Chuku chuku

    Ladies hii imekaaje?

    Sijui kama sio kidukulilo huyu😂😂
  7. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Hata mi sipo serious mkuu😂😂😂
  8. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Wenyewe wanataka eti penseli ndo iwe inazunguka, hatari!
  9. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Duh, niruhusu nije pm inawezekana kuna vitu navikosa duniani mie😅
  10. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Ukinikatikia ntakuganda kama ruba niwe wako chawaaa, ila mimi kukata mauno hiyo ndo tunaita hainaga ushemegi nehi!
  11. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Mimi kukatika hapana mkuu, hayo mambo Hapana!
  12. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Weee mi napeleka moto tu mambo ya mauno unawezakuta ushawekewa kidole gumba kwa pembeni,nani anataka hayo mambo?
  13. Chuku chuku

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Taratibu mkuu, tuanze kukata viuno tena? 🙁
  14. Chuku chuku

    Nimekuja kumegewa siri hii baada ya miaka mingi!

    Umeongea, wazazi walilazimisha sister atoe ujauzito ili aendelee na shule, leo yuko ndoani miaka inakatika na hakuna mtoto, so sad😢
  15. Chuku chuku

    Mapenzi bwana

    Usilazimishe mkuu demu HAKUTAKI😂😂😂
Back
Top Bottom