Search results

  1. D

    Nafasi za Kazi TANAPA

    im on it
  2. D

    Nafasi ya kazi: IT Assistant...!

    ok...tuma bana ....i
  3. D

    Habari na Picha Nape, Mwigulu ziarani Sumbawanga

    Lets be honest,ni watanzania wangapi hawana kadi za chama? na wangapi hawajishughulishi na mchakato wa iasa(vyama)? tukishajua hayo mawili ndio tupime kwa CCM kupata kadi Za CDM inawasaidia nini? kwani isije ukawa ikawa unavua samaki kwenye beseni badala ya bahari...fikirini,fuatilia kwa...
  4. D

    Ni bora CCM wafanyie mikutano madarasani

    ile yaleo ni kali kuliko,,,eti wanzunguka kufafanua kujivua gamba...watoto kibao...
  5. D

    DIDEO : CCM Vipande vipande huko Dodoma

    Beki zimekatika alafu kampteni anaumwa...hiii kaliiiiiiiiiii
  6. D

    Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

    Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini inachuja, ikaja uhaini na sasa pamoja na kushinda eti kwa kishindo wamevunja secraterieti yao wenyewe jiulize mwanakijiji, kweli walishinda? na kama walidangaya je kwa nini tuyaaamini maadai hayo yote juu CDM? More...
  7. D

    Kikwete amwambia Magufuli aache Ubabe kwenye bomoa bomoa; Magufuli ataaminika tena?

    ni huyu huyu JK aliyeomba viongozi wadini waombeee mvua.... hiyo yote inaonyesha ni mtu wa short plans not long plans....kanyaga twende staili ....aangalie asije akafanya taifa lisilotoa mawazo mbadala .... tunaenda wapi? na kwa faida ya nani?
  8. D

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Mh kama ana mashabiki{wapiga kura} mil 8 uoga unatoka wapi kwa chama chenye kura 3mil?
  9. D

    JK kaacha kishindo Dar?

    Point baaab
  10. D

    Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

    Isifikie mahali kila hoja hata kama ina maslahi ya kitaifa tuanze kuangalia mtoa hoja ni dini gani! Je shida ni kuwa rais ni mwislamu!je angekuwa mpagani hapo ndipo tungeamua kuwa kitu kimoja kulinda taifa letu? Watanzania tusibishane kwa kuangalia nani katoa mbiu ya mwizi badala ya kumkimbiza...
  11. D

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    R.i.p mashujaa bila shaka
  12. D

    Watwala wanafaidika na udini na ukabila wetu!!!

    Sijui kutawaliwa sana na wakoloni kumetufanya kutozingatia kukusanya jamii na kuwa kitu kimoja na badala yake kuzingatia kutawanya watu kutokana na misingi ya itikadi , jinsia,kabila,koo,rangi,na hasa dini. Imekuwa ikifumbiwa macho na watawala kwa muda mrefu mambo haya yakiwagawa watu mfano...
  13. D

    Serikali ya CCM ni janga la taifa

    ukweli mupu
  14. D

    Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

    hata mimi waache si wametaka wenyewe
  15. D

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Chanzo ni taarifa ya habari ya tbc1 ya saa 1 asubuhi ambapo wameonyesha mkurugenzi akitoa matokeo hayo usiku wa manane kuamkia leo.
  16. D

    Elections 2010 Mh Slaa amkoromea Kikwete: Disco au Sera?

    ujue hapa kuna vitu viwili mmoja antumia uwezo wake wa kutoa hoja na sera ambazo watu ndizo (wananchi) wanazifuata na mwingine anatumia umarufu wa msanii kuita mwananchi ...... Sasa jiulize hivi leo umarufu wa raisi umeshuka mpaka ukamuhitaji msanii kama diamond ambae seriously ametoa albamu...
Back
Top Bottom