Search results

  1. J

    Maombi kupitia ajira portal

    Kuanzia 70% ndo itaanza kukubali
  2. J

    Wakuu Yetu Microfinance Bank Wameshaita watu?

    Waliita zile kka,watu wako kazini
  3. J

    Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    unataka ukweli gani?kwakuwa mshazoea kudanganganywa basi yatatoka leo saa6 usiku
  4. J

    Wakuu Yetu Microfinance Bank Wameshaita watu?

    Jamaa tulihustre wote huyo miaka ya 2015-2017 Lastly alilamba ajira TRA,then after kila nikimtafuta akawa ananitema,ila tulikua washkaji sana
  5. J

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Kwa namna hii kiswahili kuandika ni shida,je ile lugha iliyofika kwa meli utaweza kuandika kwa usahihi?harafu mkifeli Interview mnasema kuna watu wamewapanga
  6. J

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Someni katika tovuti ya Sekretariat ya Ajira kuna ufafanuzi wameueleza leo
  7. J

    Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Jipe muda kiongozi,Mambo mazuri hayahitaji presha na haraka
  8. J

    Matokeo ya MNH ya usahili uliofanyika Duce: Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano

    Nilikua namba moja kusifia Utumishi wako fair ila kwa ili sitaki kuamini hata kidogo No fair Competition saiz uko PSRS
  9. J

    Matokeo ya MNH ya usahili uliofanyika Duce: Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano

    Mi binafs kwenye post ya Assistant Accountant siyaamini majibu yangu kabisa Pepa maswali yote nayajua hakuna hata nisichokijua tena n kwa usahihi Swali moja tu la Kwanzaa kipengele kimoja ndo nimekosa ila mengine yote nimeyajibu na nikaja kuangalia kwenye vitabu majibu n yale yale hakuna hata...
  10. J

    Fursa ya Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu

    Nina rafiki yangu ana D tatu alianza certificate chuo kinaitwa Seki kiko Dodoma had Diploma akamaliza apo mwisho wa siku aliomba kujiunga na shahada Taasisi ya Uhasibu Tanzania na akadailiwa leo hii kamaliza kwenye Taasisi iyo na ana shahada yake ya Usimamizi wa biashara (BBA) kutoka chuo na...
  11. J

    Update Oral ya tax officer

    Kachezee wanawake wenzio acha wanaune tujadili ya msingi KIMA wewe
  12. J

    Update Oral ya tax officer

    Wewe huwa siku zote unawasha uko nyuma sikushangai
  13. J

    Update Oral ya tax officer

    Wanajamvi mwenye updates yoyote ya oral kwa waliofanya post ya tax Leo naomba watupe ABC wamebase sehemu gan n professional au report za Ossoro na Mruma tena
Back
Top Bottom