Search results

  1. Jodeo

    Kwanini baba hatajwi, kwanini amepuuzwa?

    Wadau habari? Hii dhana ya kumuona mama ni wa thamani sana zaidi ya baba mbona inaendekezwa sana! Sisemi tuwatelekeze mama zetu, hapana! Lakini jiulize kwa nini mama mama?!!! Wala hakuna mahali baba anaongelewa. Ikitokea basi ni kwa mabaya tu! Husikii popote baba akitajwa,kutumiwa pesa ya...
  2. Jodeo

    Madini

    Wadau,, habari ya weekend? Poleni na corona! Wajuzi wa madini na vito,, naomba kujuzwa hizi ni mali gan? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jodeo

    Naomba kujua namna ya kuweka Inline images

    Wakuu salamu. Naomba maujanja namna ya kuweka inline images kwenye email ikiwa unatumia android. Nangoja msaad wenu. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jodeo

    Ofisi za DHL zipo wapi Mbeya?

    Habari wadau? Naomba kujuzwa kama DHL wana branch Mbeya na ofisi zao ziko wapi? Kama wahusika wanasoma uzi huu basi acheni namba hapa. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Jodeo

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Wadau habari? Kuna mdau anahamia mkoa wa mbali kikazi na kwa sababu hiyo ameamu kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani kama ifuatavyo: 1. Sofa (za watu wawili*3), 2. jiko la gesi la kioo (2 plates) 3. Mtungi wa gesi (Mihan 15Kg) 4. Flat screen Tv (32" TCL), 5. Kitanda cha chuma (6*5 ), 6. Godoro...
  6. Jodeo

    Kuhusu kuhamisha email...

    Habari waaalamu? Naomba kuuliza…Unapohamisha email labda kutoka kwenye "trush" folder, ukaiweka kwenye "sent" folder, hii itafanya email hii kutumwa automatically hata kama ilikuwa haijatumwa kabla? Kama ni ndio, kuna mechanism gani hapo? kama siyo, kwa nini email hiyo ikubali kukaa mahali...
  7. Jodeo

    Nani amefanikiwa kupata mafao yake yote NSSF baada ya agizo la Rais?

    Wadau salamu! Siku kadhaa zilizopita Rais Magufuli aliutangazia umma ya kwamba watu wapewe pesa zao kutoka mifuko ya hifadhi ya jamii mpaka 2023 kama sijakosea. Sasa lengo hapa ni kufahamu kweli jambo hilo limefanikiwa? Maana malalamiko ni tele kila mahali kwamba hawa jamaa hawatoi pesa kama...
  8. Jodeo

    Tahadhari: Wakazi wa Dar jihadharini na matapeli hawa

    Watu mliopo dar, maeneo ya mbezi mwisho hadi goba na Dar yote kwa ujumla, mjihadhari na watu hawa wenye hizi namba, 0769975059 0654508349 0673188233 0658029994 0653583296 Hawa watu ni matapeli na wezi wakubwa. Hawa jamaa wanatumia gari aina ya brevis namba T 188 DHR. Sina mengi ila Wahusika...
  9. Jodeo

    Kama hii ndo dream Car, tia neno

    Tia neno twende sawa
  10. Jodeo

    Kitabu kipya mjini

    Hiki hapa...
  11. Jodeo

    Fremu inapangishwa

    Habari wadau? Kuna fremu nzuri inapangishwa katikati ya mji wa morogoro. Opposite na Vodashop morogoro. Ni fremu ya nne kushoto mwa exim bank. Kwa maulizo piga no. 0744537265. Karibuni.
  12. Jodeo

    Inaweza Waajiri kukulipia NSSF lakini wasilipe kodi (PAYEE)?

    Habari wanasheria? Katika pitapita zangu leo, nimekuta jambo likijadiliwa mahali. Kwamba kuna waajiri wanaweza kukulipia NSSF lakini wasilipe kodi (PAYEE). Nikajiuiza jambo hili linawezekana vipi? Kwahiyo basi nikataka kujuzwa, kwamba ni kweli hili jambo linawezekana? Na kwa wale wanaopewa...
  13. Jodeo

    Hii nayo!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jodeo

    Utachagua nini kama ni wewe?

    Habari? Fikiria unafanya kazi mahali fulani, labda unalipwa chini ya 700K kwa mwezi na huna mkataba na hao waajiri japo una zaidi ya mwaka kazini, kitu ambacho si salama sana kwako, na waajiri wako hawana kabisa mpango wa kuingia contract na wewe. Halafu familia inakukalisha chini wanakwambia...
  15. Jodeo

    TUJITAFAKARI HAPA

    Zamani zile wakati YESU KRISTO, Yesu aliwalisha mara kadhaa watu zaidi ya elfu tano(5,000) bila kuhesabu wanawake na watoto,. Lakini katika zamani hizi za kina Nabiii,, mtume nk, Kinyume kinatendeka, kwamba watu zaidi ya elfu tano wanamlisha mmoja aliyenona! Ni mawazo tu yamenijia. Halafu...
  16. Jodeo

    Nafasi ya kazi Chemical technician

    Habari! Chemical technician anatafutwa kusaidia shughuli za kiwanda. Kama upo hapa. Njoo PM Asante.
  17. Jodeo

    Kuhusu bima za afya na mikataba

    Habari wana Jf? Kuna professionals wanafanya kazi kwenye private sectors ambazo ni "Profit seekers" na ni taasisi au makampuni makubwa tu. Lakini waajiriwa wao ambao si vibarua bali ni professionals hawana mikataba ya kazi. Yaani ukimuuliza mtu mkataba wako unasemaje hana la kusema. Pia pamoja...
  18. Jodeo

    Ni kweli Tanzania imemfukuza balozi wa EU?

    Serikali imempa masaa 24 Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer kuondoka nchini Tanzania. Van de Geer anatakiwa kutokuwepo ndani ya mipaka ya Tanzania ifikapo saa sita usiku wa kuamkia Novemba 4, 2018. Swahili Times on Twitter
  19. Jodeo

    HII NDO DAWA YENU

    Unajifanya intellectual siyo?
Back
Top Bottom