Search results

  1. Jodeo

    Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

    Ndo mtueleze kwa nini mnakubali kuwa michepuko
  2. Jodeo

    DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    Hao watu kwanini wasitusaidie kuangusha minara ya simu[emoji23]. Maana siyo kwa utapeli huu na wizi wanaotufanyia. Siyo voda, tigo, airtel, halotel wote wanajichukulia tu pesa zetu.
  3. Jodeo

    DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    Na nyinyi wenyewe acheni kuibia watu, nguzo zinatoka hapo mafinga zinauzwa kwa bei yote hiyo? Na bado zikinunuliwa zinabaki kuwa Mali ya Shirika?! Bila rushwa kuunganishiwa umeme ni muujiza! Acha na nyinyi muhujumiwe mjue uchungu wake.
  4. Jodeo

    Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Kuna uwezekano pia hiyo mimba si ya jamaa
  5. Jodeo

    Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Wanawake ni pretenders wa standard gauge. Kuwajua ni kazi nzito. Tunasema kila siku...acheni kujihusisha na single mothers
  6. Jodeo

    Mauaji ya visasi

    Mwanzo 6:2 "wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua." Wana wa Mungu = Malaika(Hao waasi)
  7. Jodeo

    Mauaji ya visasi

    Aise! Kuna Bible version ya shetani ishatoka ama?
  8. Jodeo

    Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Ni bora wasiseme no wakiwa single,,lakini upo na mwanaume ndani..jamii yote inajuwa huyu ni mke wa fulani..mnapika mnapakua. Then unatongozwa unadanganya hujaolewa?!
  9. Jodeo

    Mahakama za Tanzania zijifunze Mahakama za Kenya

    Tanzania ina wenyewe, kama si mmoja wao watakuoneshaji mambo yasiyokuhusu!
  10. Jodeo

    Hakuna haja ya kuandika Wosia kama Mahakama inaubatilisha

    Christ= English,, Christus= Latin
  11. Jodeo

    Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    My friend, wadada/wanawake hata waliojiriwa wanafanya ukahaba na umalaya kuliko. Sidhani kama tatizo ni ugumu wa maisha
  12. Jodeo

    Padri wa Kanisa Katoliki aliyefukuzwa afunguka

    Nilitaka kwenda kwenye upadre 10Years ago baada ya kutoka chuo kikuu. Hata hivyo maombi yangu hayakujibiwa kwa zaidi ya mwaka mzima. Leo sijutii kutoenda huko..maana ningekuwa miongoni mwa mapadre wa hovyo ama wangenifukuza kwa kupinga waziwazi tabia mbaya zinazoendelea huko. Niliwahi kwenye...
  13. Jodeo

    Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

    "Mimi na yeye ni kitu kimoja"
  14. Jodeo

    Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Na ieleweke Mali zote ni za Mtanzania.
  15. Jodeo

    Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Nitaenda mahenge nikafanye field project
  16. Jodeo

    Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    Itakuwa hupendi kula wewe! Kama unapenda kula kaulize mimea kwanini inatoa mavuno na kisha yenyewe inachomwa kama mabua n.k Shabash! Sasa si ufe ili usimyonye mzazi wako kiuchumi?
  17. Jodeo

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kwamba kuna roho ya kiume na ya kike?
  18. Jodeo

    Zitambue benki kuu za nchi mbalimbali zilizo kiganjani mwa familia tajiri duniani

    Itoshe kusema, jamaa wanamiliki dunia
  19. Jodeo

    Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

    Kwani MAJALIWA K anasemaje? Angalau yeye huwa tofauti na wengine kwenye mambo kama haya ya kitaifa. Hebu atupe neno la faraja
Back
Top Bottom