Search results

  1. W

    Gari la Chenge lagonga tena, LAUA!

    Chenge amrudie MUNGU wake.ili auepushe na hayo mabalaa.
  2. W

    Ni mwanadada mwenye mvuto. Haya ni yakweli?

    Mmh! kama ni kweli hiyo ni mbaya sana!kuna njia nyingi za kujipatia kipato si lazima kujidhalilisha kiivyo.
  3. W

    Mavazi mengine bwana!!!!!

    Akina dada wanaotembea uchi ni mazuzu tu,hawajui thamani ya miili yao.Hivi hawajiulizi mbona wanaume huwa hawakai uchi?mwingine ukimuuliza atakwambia eti mpenzi wangu anapenda nivae hivi.Huyo ni mpenzi gani anaekutembeza uchi?mbona yeye hatembei uchi?huoni kama unajidhalilisha?Amkeni huo ni...
  4. W

    Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

    Eee MWENYEZI MUNGU MWINGI WA HURUMA.TUNAKUOMBA UMPONYE NDUGU YETU MZILAY.AMENI
  5. W

    Elections 2010 Kikwete anachanganya wapiga kura

    kuna msemo usemao,UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU.
  6. W

    Mwizi akamatwa kwenye Box

    Du! hiyo kali,angeweza kuf KW kukosa hewa huyo.jamani tujitume kwa kufanya kazi kwa bidii,wizi noma.
  7. W

    Kweli kipendacho roho hula nyama mbichi!

    aaa wapi,mapenzi ya kuumizana ya nini siku hizi?jamaa atakuwa na matatizo tu huyo.
  8. W

    Elections 2010 Machozi ndani ya daladala

    Ahamishe nafsi.tufanye mama salma ndo mjamzito,halafu amebebwa kwenye bajaji,yeye Kikwete angejisikiaje.???????
  9. W

    Mpaka fulani!!

    Jamani kaka jirekebishe,hebu chagua mpenzi mmoja tu.acha kuwafanya wanawake kama sehemu tu ya burudani.ugekuwa wewe mpenzi wako ndo yuko hivyo ungejisikiaje?jambo usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.
  10. W

    Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

    Hongera sana na unayo kila sababu ya kumshukuru mwandani wako.Miaka mi3 ni mingi katika ndoa.MUNGU awasaidie msonge mbele mkitumaini yeye katika kila jambo.
  11. W

    Hii kali

    Du! hiyo ungeipotezea tu,iko kimatusi Zaidi.wala haichekeshi.
  12. W

    Gharama za Mafuta kuwa juu nchini.

    kwa kweli serikali yetu imekithil kwa wizi,huo ni wizi tu.yaani hata haya hawana .utadhani wanaongoza watu wasio na akili.hebu wajilekebishe jamani.wanataka nini kifanyike ndo wajue kuwa watanzania wanaelewa kila kitu?
  13. W

    Kwa nini imekuwa hv

    Nadhani ni kuiga mambo ya kizungu tu.mana siku hizi mtu ukiwa na watoto zaid ya wa3,unaonekana wa kizamani,ni mambo ya kwenda na wakati tu.
  14. W

    Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Safi sana umemuelewesha vizuri sana,kama ni muelewa,atakuwa ameelewa.
Back
Top Bottom