Search results

  1. Lenana

    Majibu Mujarabu Kutoka Kwa Wakili Lawrence Kego Masha kwa Waziri wa Sheria Ndugu Mwakyembe

    Katika kile kinachoonekana muendelezo wa Mawakili kutetea tasnia yao ya Sheria Wakili Lau Kego Masha amemtaka Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumshauri Rais vyema kuhusu maswala mazima ya sheria na kuitaka serikali kutoingilia mchakato wa uchaguzi wa Chama Cha Wanasheria...
  2. Lenana

    Mkenya auawa katika maandamano ya CHADEMA Arusha

    Polisi imeua raia mmoja wa Kenya Ndugu Paul Njuguna Kaiyehe (Polisi walitumia jina la uongo kuficha uraia wake - George Mwita Waitara). Huyu ndugu ni raia wa Kenya kwa uthibitisho wa balozi mdogo wa Kenya anayehudumu jijini Arusha Ndugu Mathenge raia huyo wa Kenya aliyeuawa ni Mwanaume umri wa...
  3. Lenana

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    Hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa...
Back
Top Bottom