Search results

  1. Mwanahabari Huru

    Freeman Mbowe mbeba maono asiyepoteza mwelekeo

    Sasa wewe unajiona upo sawa?
  2. Mwanahabari Huru

    Freeman Mbowe mbeba maono asiyepoteza mwelekeo

    Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu. FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa ushirikiano na wadhamini wake wa ubatizo Mwl. JULIUS NYERERE (baba wa taifa) walisubiri hadi siku...
  3. Mwanahabari Huru

    Ujumbe wa wazi wa Mwenyekiti Bavicha taifa kwa Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba

    Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi. Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
  4. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Nitakuja na pic mda si mrefu tuko huku
  5. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Tupo nyumbani kwa mgombea urais wa Ccm Chato wamesema wao watamchagua Tundu Lissu
  6. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Asante sana Kamanda Mtifu Molemo, tumeingia usiku sana hapa na asubui ya leo ni shamra shamra sana hapa Dodoma.
  7. Mwanahabari Huru

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  8. Mwanahabari Huru

    Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  9. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Lissu aahidi kufumua madudu ya Magufuli

    Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta sheria zote zinazominya uhuru wa habari na haki za kiraia zinazotumiwa na Serikali iliyopo...
  10. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama. Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalim, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi...
  11. Mwanahabari Huru

    Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

    Kauli kama hivi nizawale binadamu wanaotembea bila kuva nguo za ndani
Back
Top Bottom