Search results

  1. T

    Elections 2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

    In part I agree with Mr Generali, except on one point that "religion has never been based on rationality". The examples he gave of Copernicus and Galileo were victims of the time. Religion as revelation unfolds little by little. If you continue reading history would come to see those who...
  2. T

    Elections 2010 Dr. Slaa aongoza kwa 73% - CACT

    Hizi kura za maoni zisikupe pressure, CCM wamezoea kuchakachua kila kitu. Lakini mwaka huu tumesema hatudanganyikiiiiii. REDET ni wakala wa chama tawala! Hapa maswali mengi yanajitokeza kuliko majibu. Ni vipi chombo cha kisomi namna hiyo kinakubali kununuliwa? Jibu: kulinda maswalihi binafsi. In...
  3. T

    Kura nyingine za maoni hizi hapa

    Kazi kubwa iliyobaki ni kuelimisha watanzania walio wengi kuwa CCM ilfariki na Mwalimu. Kilichobaki ni usanii wa Vuvuzela. Kipindi cha kampeni ni kipindi cha kutoa hoja za msingi na kuruhu mijadala ya kuuza sera. Wapiga kura wanataka kufahamu, tena ni haki yao, kwa nini hata baada ya miaka...
  4. T

    Elections 2010 Nilichokiona kwenye mikutano ya Dr. Slaa

    Wanahabari tunawashukuru kwa kazi nzuri. Lakini shukrani hizi zitakuwa na maana tu kwa wale wanahabari wasioburutwa, wanaofuata kanuni za maadili ya habari. Wale wanaochakachua habari wanasasiliti 'profession' yao. Endeleeni kuelimisha jamii umuhimu wa kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
  5. T

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    You can fool people sometimes but you cannot fool them all the times. My fellow Tanzanians use your citizen right to vote for the presidency of your choice, whom you are sure that he will not compromise our nation and the dignity of Tanzanians.: llama:
Back
Top Bottom