Search results

  1. menyidyo

    Mshindi wa Nobel Soyinka aamua kurudi kwao..

    Amezeeka huyo, he is simply retiring.
  2. menyidyo

    Serikali Isikurupuke, Rais Kikwete Alisafiri

    Nafikiri hii warning ya serikali ingekuwa kweli hakuna tatizo, Gazeti la Mtanzania angechukuliwa hatua. Ila kwa sababu msemaji katoa viticho bila adhabu yoyote, inaonesha kuwa inajaribu tu kuficha jambo flani.
  3. menyidyo

    ITV bana, Gavana anaeleza hali ya Uchumi wa nchi anapewa dak. 1, Mbowe anaeleza UKUTA, dakika 4

    Angalia TBC ww, acha kupoteza Muda wako na ITV. .
  4. menyidyo

    Msaada: Camera inayotoa picha na kuzuia vitu vya nyuma na pembeni

    It's simply a shooting techniques, kuna kitu kinaitwa focus. Na imegawanyika aina mbalimbali, ambapo impact yake ndio hiyo. Ila camera yoyote yenye micro na macro rings ndio inakuwa rahisi.
  5. menyidyo

    Tukisema Clouds Fm wapigaji wanabisha, ona Fiesta vs tetemeko Bukoba

    TBC taifa ina fanya kazi gani? Fungua radio yako
  6. menyidyo

    Mnaomkosoa Rais Magufuli, hii inawahusu wote CHADEMA

    Sijailewa au sipati msingi wa hoja yako. Ni kama vile moja jumlisha moja unalazimisha iwe Tatu. Garbage in Garbage out
  7. menyidyo

    Mauaji ya Abraham Linkolin

    Huyo aliyeuliwa kwenye gari ni John F Kennedy
  8. menyidyo

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr nina tatizo la kuwashwa baada kutoka kuoga hasa nyakati za mchana au jioni. Nikioga asubuhi sana kuwashwa kunakuwa hakupo. Je tatizo ni nini hasa? Dawa ni nini? Kuwashwa huku hutokea sehemu mbali mbali mwilini kama miguuni, kwenye mapaja, mikono, mgongoni na tumboni. Na hudumu kwa dakika...
  9. menyidyo

    Upotoshaji wa Malisa juu ya hali ya kiuchumi nchini wajibiwa kwa umahiri mkubwa

    Yaani kama haya ndio majibu ya umahili, you will be tabled kukuonyesha kodi ilipoongezeka, kusitisha kwa ajira mpya, tamisemi kupunguza wafanyakazi na kadhalika. Am waiting for Malisa akujibu. It's good shindanisheni hoja, sisi tutajua ipi sawa ipi si sawa....
  10. menyidyo

    Kwanini Sumaye asishitakiwe kwa mauaji ya Mwembe Chai na Pemba?

    Sawa ashtakiwe tu, ila na mkuu wa majeshi kipindicho atakuwa hausiki?
  11. menyidyo

    Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

    Mkuu unavitabu umeandika, ningependa kuvisoma.
  12. menyidyo

    Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

    Zanzibar wamerudi eeeh, sio kila mtu mchumia tumbo
  13. menyidyo

    Zitto Kabwe: Fedha za Marekani ni porojo, Bajeti ya mwaka huu hakuna hata senti ya kutoka Marekani

    Ungekuwa umesoma ukaelewa povu lisingekutoka soma tena ndugu.
Back
Top Bottom