Search results

  1. Lipijema

    Tumepita kwenye kipindi kigumu mno, Hongera Rais Samia

    Nimeona nami leo hii nimpe kongole Mh: Samia, Watanzania tumepita kwenye maisha ya mashaka makubwa sana, roho zetu zilikuwa mikononi mwa serikali ya hawamu ya tano, wengi wetu hasa sisi wapinzani tulionekana kana kwamba hapa Tanzania tupo kwa bahati mbaya sana na hatukuwa na thamani yeyote ile...
  2. Lipijema

    Wakubwa mmeziba masikio na macho yenu kuhusu suala la bando!?

    Hali ya maisha imekuwa tait mno, kila kitu kinapanda bei bila mpangilio, mkumbuke hii nchi ni yetu sote. Waziri nape upo wapi haya yanapofanyika? Pamoja na kwamba unachokiburi cha kuwa unajiamini kwa asilimia 90 kuwa Mama anakunyali kwa kukulipa fadhira, hivyo sivyo huwezi kujua kesho yako haya...
  3. Lipijema

    Tuungane ili tutumie hii fursa iliyopo

    Habari wanajamii? Nimeonelea nikushirikishe kuhusiana na hiki kinachopatikana hapa nilipo. Kwanza njna uenyeji takriban zaidi ya miaka 25 hapa kisiwani, hivyo basi ninao uwezo wa kukusanya samaki sato/ sangara na tukaweza kuzifikisha kwenye soko popote lilipo kutoka hapa kisiwani. Samaki hawa...
  4. Lipijema

    Nimeushuhudia mwezi

    Naam, nawapasha na weNzangu kuwa kwa macho yangu nimeshuhudia mwezi mtukufu umeandama. M/Mungu awajaalie funga njema.
  5. Lipijema

    Hali imeanza kuwa shwari mifukoni, ingawa bei za kila bidhaa zipo juu

    Nawasalimu nyote, Mimi si muhumini wa chama tawala tangu nilipojitambua. Ukweli hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya sana kipindi cha awamu ya tano, kuna madhira mengi mno yalokuwa yamejificha ambayo Watanzania wengi wasingekuwa wanajua nini kinachoendelea sehemu nyinginezo. Utitiri wa kodi...
  6. Lipijema

    Geita: Mvua imenyesha muda. Wenye tofali za udongo tuna kilio

    Nawasalimu, nilipo ni wilaya yetu ya Geita jimbo la Mbunge wetu machachari anayejulikana kama Kasheku Musukuma. Mvua ambayo huwa sisi wakulima huwa tunaita"Mvua ya kuaribu matofali" au " Mvua ya kuotesha nyasi" Leo imenyesha kuanzia asubuhi ya saa mbili hadi mida hii ndipo imeanza kupunguza...
  7. Lipijema

    Unapo safiri na mtumbwi majini/usiache boya(Life jacket)

    Nawasalimia nyote, ninachotaka kuzungumzia hapa ni usafiri wa mitumbwi wa kutumia injini, joshi na aidha kasia hivi vyaweza kuwa kundi moja ukiviacha Feli na Meli. Unapo safiri kwa mara ya kwanza/pili unaitajika ufanye maandalizi ya kujihami usipatwe na kizunguzungu kutokana na msukosuko wa...
  8. Lipijema

    Uchaguzi 2020 Wavuvi tusifanye kosa hiyo siku ya tarehe 28/10/2020

    Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki haramu, bila shaka hakuna asiyeguswa na kadhia hii ya serikali ya awamu ya tano. Ukweli ni mengi mno...
  9. Lipijema

    Miundombinu mibovu ya barabara vijijini

    Serikali inatuimiza tujiajiri kila uchao, wengi wetu tumekuja vijijini kwa kutafuta fursa hiyo, lakini tunakumbana na changamoto ya barabara mbovu ajabu! Si hilo tu, hata huduma nyingine kama za afya ni mtihani mkubwa sana.
  10. Lipijema

    Wachawi

    Nyakati za usiku wanaweza wakataka kukutesti unapotembea wanakukinga mbele ili wajue kama unawaona kwa jicho lako la tatu au la! Kama ukiwawaona waweza washtukia au kuwasemeza, endapo uwaoni utahisi kama utando wa buibui machoni nawe utaupangusa na kuendelea na hamsini zako. Nimeonelea niwatonye...
  11. Lipijema

    MSAADA KUHUSIANA NA SIMU: HUAWEI Y360.

    Ninayo aina ya simu tajwa hapo juu. Unapo iwasha inawaka kama kawaida, ila inapotaka kuingiza mtandao tu, inajizima na kujiwasha tena. Mwanzo nilizani ni tatizo linalo sababishwa na betri kuwa low, lakini hata nilipo weka nyingine tatizo halikuisha! Nime format...
  12. Lipijema

    Mlio na mitaji midogo kwa minajiri ya kilimo

    As'laam alyekum, Nakushauli endapo mtaji wako ni mdogo hata kama wa kuanzia laki tano na kuendelea tuwasiliane ili nikupe ishu ya kilimo ambacho waweza endeleza maisha yako vizuri tu. Unapata shamba la kukodi kwa msimu wa mwaka mzima, mazao yanayokubali eneo nilipo ni pamoja na mahindi...
  13. Lipijema

    Msimu wa mvua umeanza

    Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
  14. Lipijema

    Atimaye matumaini yamekuwepo kwa mke wangu

    Kuwa uyaone, hii Dunia imebeba mambo mengi yenye mtihani wa maisha kwetu binadamu. Ni mwezi uliopita tarehe kama hizi za leo, mke wangu alibadilika ghafla na kuniambia maneno ambayo yalinichukiza na kunifanya nifunge safari ya ghafla ili kutokuwepo karibu naye, fahamu nina makazi ya mji zaidi ya...
  15. Lipijema

    Mvua kubwa kanda ya ziwa!

    Hii mvua imeanza kunywesha mida ya saa kumi ya usiku ikiwa na radi na upepo mkali sana, imeezua nyumba zetu na kutufanya wengine tuoge bila ya kutarajia. Bado atujajua majaliwa ya wale wenzetu wavuvi waliopo ziwani kwa shuguli za uvuvi. Hadi mida hii nikiandika uzi huu mvua ya wastani yaendelea...
  16. Lipijema

    Naomba mnijuze kuhusu wapangaji wangu.

    Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu mnishauli/ munieleweshe kisheria kuhusu mimi na wapangaji wangu. Hawa wapangaji wapo kwangu sasa ni miaka mitatu tangu nimewapangisha ndani ya nyumba yangu hii, kwa ujumla ninaishi nao kwa amani tu, tatizo lao kubwa kati yao na mimi ni ulipaji wao wa kodi...
  17. Lipijema

    Nipo Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni, napata majaribu sana kwani naota ndoto za ajabu mno

    Leo nipo sehemu hii ya Kahunda wilaya Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni inaitwa Mtula G.H. ni gesti ya muda mrefu Sana! Nilikuja hapa mimi na mke. Kuna kunguni wengi tu, hadi niliomba nibadilishiwe chumba, nilibadilishiwa lakini hali bado ni ile ile! Mida ya saa saba tulipitiwa na...
  18. Lipijema

    Kijijini kuna mambo!

    Yapata mwaka wa tatu sasa tangu niamie kwenye kijiji hiki ambacho M/Mungu amekijalia neema nyingi sana yanayositawi kila zao la chakula na biashara ni kanda ya ziwa. Kuna huduma kadhaa muhimu za kijamii, Kama vile umeme maji na nyumba za ibada. Kinacho nishangaza kwenye hiki kijiji ni...
  19. Lipijema

    Je, maafisa Kilimo huwa wana ofisi zao vijijini ambapo kuna Wakulima wengi?

    Binafsi nimeamua kujiajili kwenye sekta ya Kilimo, nimejikita kwenye zao la Mahindi na Karanga. Changamoto mbalimbali zinanikuta kutokana na wadudu waharibifu wa mazao, kuna dawa ambazo wanatuuzia hawa wahudumu wa haya maduka lakini ukifuata maelekezo yao ya mdomo unakuta sivyo kabisa Mara...
  20. Lipijema

    Nawezaje kupika chapti za kufungia sambusa

    Naomba maelezo ya kutengeneza zile chapati za kufungia sambusa, Ni kwamba hiyo kitu nilikuwa nikijua siku nyingi zilizopita nikiwa bado kijana enzi hizo nipo hapo Pwani ya Tanzania, kwa sasa nipo huku bara miaka kadhaa nimesha sahau! ila zile process nyingine za kusaga nyama mixer na vitunguu...
Back
Top Bottom