Search results

  1. Lipijema

    Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Kafir ni mtu anayemshirikisha Mungu zaidi ya Mungu mmoja (Allah)
  2. Lipijema

    Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Mhhh! Miaka hiyo ya 90 nikiwa na wazazi wangu wapo hai huko Kilosa Morogoro kulikuwa na choo cha familia cha hivi, binafsi nilikuwa napanda juu yake na kuchuchumaa. Ukweli vinaleta kinyaa kukaa.
  3. Lipijema

    Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    Polisi hatuwaamini mara kadhaa wao ndiyo wahusika.
  4. Lipijema

    Paul Makonda: Ukimchukia Rais Samia unamkosea Mungu

    Mmeanza kumdhiaki tena Mungu, bado mjaridhika alipowatwalia jiwe wenu! Makonda na wenzake ni mashetani, Makonda alitaka kumtanguliza T.Lissu yy na washilika wake lakini ALLAH aliepusha hilo ingawa Mh: L, hadi leo tukimuona tunabubujikwa na machozi, Leo hii nami nikimshuhudia Makonda na washirika...
  5. Lipijema

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Makonda awe Rais!? Wee ni takataka kabisa.
  6. Lipijema

    Ni kweli alikuwa na ubaya, lakini na uzuri alikuwa nao

    Ni ukweli usiopingika, kuna machache umeyasshau, aliweza kutatua matatizo ya ardhi pia kwa waislam kule Sumbawanga ambayo tangu enzi za Nyerere yalishindikana.
  7. Lipijema

    DOKEZO Uvuvi haramu umeshamiri Ziwa Victoria. Mamlaka chukueni hatua!

    Acha tuvune hizi mali alizotujalia Muumba, uvuvi haramu alishaumaliza Luhaga na Mwendazake.
  8. Lipijema

    Tuombe Mungu wa mbinguni Mafuta yasipande Bei Jumatano!

    Hili ni la ukweli, maisha yetu Watanganyika ni magumu mno kwa hii hawamu ya sita, matajiri ndiyo wanaofaidika.
  9. Lipijema

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    Haya aliyoyasema ni sahihi kabisa, hili tunaliona wananchi lakini je, tufanyaje? Mwambukusi hana chama lakini kiukweli namkubali sana. Hivyo sauti ya huyu mwamba itaeleweka pasipokuwa na chama!?
  10. Lipijema

    Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Nashangaa hadi mida hii huu uzi bado upo! Hawa modereta wameshafuta nyuzi nyingi tu zenye mlengo wa kushoto.
  11. Lipijema

    Hivi Rais Samia anatambua hali ya umeme nchini kwa sasa? Mbona kimya kama hayamhusu?

    Maeneo mengi tu hayana umeme! Hii ndiyo Tanganyika.
  12. Lipijema

    Kwa Huyu kipa Simba tumepigwa na kitu kizito

    Hapo ssc hatuna kipa.
  13. Lipijema

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari ndiyo hiyo, wajeshi nao yasemekana wanataka ukweli kuhusu bandari kwani ni jukumu lao kulinda mipaka.
  14. Lipijema

    Uwekezaji Bandari Serikali yazidi Kuchanja mbuga.

    Muhimu angelivunja huu mkataba na wala c vinginevyo! Huyu Mama nchi hii imemshinda kabisa, ona mafuta yanavyopaa bei na mwanzoni mwa mwezi yanapanda tena.
  15. Lipijema

    Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    Aliye tufirisi wavuvi!?
  16. Lipijema

    Hatma ya Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude bado Giza Totoro

    Labda watanganyika wote tugeuke kuwa mazezeta.
Back
Top Bottom