Search results

  1. Gamba la Nyoka

    Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Hata Bashiru Ally anaamini kuwa bila katiba mpya hakuna muafaka wa kitaifa!
  2. Gamba la Nyoka

    Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Dr Slaa kaongea ukweli. Ni muhimu kupigania katiba mpya, bora, inayolinda misingi ya haki. Bila haki hakuna maendeleo
  3. Gamba la Nyoka

    Kuigiza Maisha kunavyowatesa watoto wa masikini vyuoni

    Vile vipesa vya boom navyo mnaviona hela? Sasa hivi kuna inflation ila vipesa vya boom viko vilevile. Watoto wanasema kweli, vijipesa havitoshi!
  4. Gamba la Nyoka

    Tazama upendeleo wa wazi anaofanyiwa Messi kwenye Kombe la Dunia

    Hata Messi aliposhiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza 2006 midomo ya watu ilikuwa kwa akina Ronaldinho na Ronaldo De Lima. Messi ameshajaribiwa na kujidhihirisha kuwa ni bora ndiyo maana anakuwa appreciated. Hao wengine hatujui kama kweli wako njema kivile au wamebahatisha!
  5. Gamba la Nyoka

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Ukraine imelipua daraja lililopo katika barabara namba M-14 huko Melitopol, matokeo yake vikosi vya Urusi vilivyo msitari wa mbele vitakosa supplies, na operesheni ya Urusi huko kusini mwa Ukraine inazidi kuwa ngumu. Wakati huohuo, Ukraine inakusanya vikosi na vifaa kuanza counter offensive ya...
  6. Gamba la Nyoka

    Sauti: Uchambuzi wa kisomi juu ya hotuba ya Mbowe huko Marekani

    Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse. Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa...
  7. Gamba la Nyoka

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  8. Gamba la Nyoka

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Kubusiana siyo siyo sawa na kushare glass moja watu msiofahamiana. Huo utamaduni haujawahi kufanywa na rais yeyote Tangu mwalimu, sisi tumeliona jambo hili sasa! Kama hili jambo ni la kawaida naomba incident yoyote katika dhifa ya viongozi inayofanana na hii.
  9. Gamba la Nyoka

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Asingewza kubadilishiwa glasi halafu ishu ikabaki hivihivi. Ingeonekana labda alikuwa na nia ya kumdhuru rais wa Msumbiji. Hajabadili glasi bali alienda kugonga cheers!
  10. Gamba la Nyoka

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani Putin kwa ujinga wake anadhani eti akishafanya referendum na asilimia 100 ya kura zikasema kuwa wanataka kujiunga urusi eti basi hiyo itafanya Ukraine iache struggle za kuikomboa hiyo miji! Sanasana Urusi itafukuzwa kwenye UN na automatically itapoteza kiti katika UN. Figisu hizo za...
  11. Gamba la Nyoka

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Kabadilishiwa glasi wapi wakati kaenda kugonga cheers akarudi. Unadhani kidiplomasia ingemkalia sawa yaani ampe rais wa Msumbiji kinywaji halafu yeye akibadilishe hicho kinywaji?, si wangesema alikuwa na nia mbaya na rais wa Msumbiji?
  12. Gamba la Nyoka

    TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Hiyo ndo michezo ya TBC. Ni very unreliable. Wanaendesha chombo hicho kisiasa!
  13. Gamba la Nyoka

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Kiprotokali hivi hii kitu huwa ni ya kawaida au ni ugunduzi wa SSH?
  14. Gamba la Nyoka

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    What if Rais wa Msumbiji ana ugonjwa wa ini (Hepatitis B)? What if Rais wa Msumbiji akaanza kuumwa let say wabaya wake wakamtenda vibaya huko msumbiji, si itaonekana sisi ndo tumemtenda?
  15. Gamba la Nyoka

    Waigizaji bora wa muda wote India

    Achana na Amitbhacchan wewe. Yuko kwenye gemu toka mwaka 1970 mpaka leo.
  16. Gamba la Nyoka

    Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

    Kwa nini asishinde wakati Chadema wameshasema hawashiriki
  17. Gamba la Nyoka

    Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

    Wewe kwani hujamsikia Lissu Star TV akisema kuwa mama anapiga kazi nzuri?
Back
Top Bottom