Search results

  1. E

    Wizi wa kura 2015

    Wana JF habari za usiku, Imekuwa ni desturi ya CCM toka mwaka 2005 kuiba kura, mwaka 2010 ndo kabisa na watanzania tukaombwa kuwa watulivu na viongozi wetu wenye wervu wa CHADEMA na kuahidi kuwa sasa watafanya kampeni za ziada kwa miaka yote mitano na kukiimarisha zaidi chama, na ndivyo...
  2. E

    Matumizi ya deni la taifa, je ni halali?

    wana Jamii, habarini za asubuhi, Ninamuda nimekuwa najiuliza, hivi matumizi makuu ya Fedha tunazokopa nje ya nchi ni yapi? Majibu niliyokuja kuyapata baada ya uchunguzi ni haya: 1. Ujenzi wa barabara na madaraja 2.Ujenzi na upanuzi wa viwanja vya ndege. 3. Ujenzi wa bandari na miradi...
  3. E

    Mh. Pinda, sisi watanzania sio wajinga!

    Wakati unateuliwa mh.Pinda nilihisi kuna mabadiliko yatatokea Tz kwa kudhani utakumbuka umetoka wapi, lakini hii inanidhihirishia kuwa hata akae nani katika uongozi wa CCM ni lazima afanye madudu tu na atetee ujinga hata kama ufahamu wake unamsuta, unajiaibisha kiongozi wangu. Weruvu...
  4. E

    Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

    Habari za siku nyingi kidogo wana JF! Habari za mapambano ya mabadiliko wana CHADEMA wenzangu, nina swali kidogo kuhusu website ya chama chetu, Jamani nani muhusika mkuu wa hii web? mbona inatumia technolojia ya zamani hivyo? Na mbona links nyingi hazifanyi kazi? This is not fair kwakweli...
  5. E

    VIrtual Machine System

    any one Having the informations on How i can get the device which can help me to implement the virtual machine system ( using one cpu for more than one client at a time) please contact me through 0713 545113, or 9782545223 or info@ebbz.org, or ebbrah30@gmail.com
  6. E

    Wbunge wote wapewe wafundishwe Sheria

    Salaam wana JF, Jamani mimi nimekuwa nikiangalia vikao mbalimbali vya Bunge Letu, kugundua Mapungufu Mengi yanayohusiana na mabo ya sheria na Jinsi ya kutafsiri sheria, tatizo ambalo limepelekea nchi Yetu kuwa na sheria nyingi mbovu na zenye kuwabana wanyonge na zisizo tuonyesha mwanga a...
  7. E

    JK anasoma nyakati?

    Salaam great thinkers! nina swli najiuliza kila kukicha nashindwa kupata jibu kamili, " HIVI RAIS JK " anajua kusoma majira na nyakati mbalimbali zinazojitokeza hapa nchini kila kukicha? Toka alipokuwa anakaribia kumaliza kipindi chake cha miaka mitano ikulu, aliona kabisa kuwa sehem kubwa ya...
  8. E

    Nafasi za kazi TIC

    Je kuna nafasi za kazi (IT posts) katika kituo cha uwekezaji tanzania TIC
  9. E

    Chadema in dodoma

    Jaman wanajamvi, jumamosi na jumapili nilikuwa Dodoma, nikasikia tetesi kuwa CHADEMA kitakuwa Dodoma siku ya jumapili jioni, na nililazimika kuondoka kurudi Dar mchana, je kuna mtu yeyote mwenye Habari kuhusu hili?
Back
Top Bottom