Search results

  1. B

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Nina softcopy ya hiki kitabu ni kizuri also vitabu vingine vya Joyce Meyer kama 30 ivi ni mwandishi mzuri sana
  2. B

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    1-Holy bible(best of all time) 2-power of postive thinking-Norman VP 3-stop worring and start living-DC 4-jinsi ya kutoka kwenye umasikini adi mafanikio cha Erick James Shigongo
  3. B

    Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    Ni Kazi isiyo na stress sana hasa unashinda na watoto na unajua kukaa na watoto its fun lakini pia walimu wengi ni waadilifu wasio na matukio ya kiarifu...nawakilisha pipo
  4. B

    Kanuni ya Nguvu ya Umakini/Focus (Kanuni za Ulimwengu na Akili)

    Mkuu aw usual be blessed sana aisee ubarikiwe mno
  5. B

    Hongera FastJet sasa Dar-Lilongwe

    Please fast jet mi naomba waanzishe route ya mwanza to mbeya...
  6. B

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Wish kumuona live le mutuz live aiseee
  7. B

    Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

    Kuna sababu nyingi na faida za kuomba usiku wa manane hasa saa 9 na 8 mkuu jaribu kufuatilia
  8. B

    Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Ram angalau iwe 4gb processor iwe kuanzia duo core kuendelea also hard disk angalia wewe uhtaj Wako waksave data eg 500gb z better
  9. B

    Bajaj za MO ni kizaazaa

    Hahahahahahaha
  10. B

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    Mi pia nilikua nacheza hasa FIFA assassin creed GTI vice city Project IGI euro truck simulator Nashauli aendelee kucheza Maana asije akawa mlevi au mpenda ngono Let him refresh brain
  11. B

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Flerimo aka mitaa ya watu nimekaa pale two years akat nasoma collage ruco
  12. B

    Hawa ndio wasanii wa Bongofleva wenye sauti mbaya

    mkuu Michael sound pitch yake ni ya juu sana no body anaweza imba vile Ndo Maana akaitwa king ila nilimsahau Whitney Huston
  13. B

    Hawa ndio wasanii wa Bongofleva wenye sauti mbaya

    Kuna watu wafuatao kwangu mimi ni mavocal nakali Barnaba Maunda Zorro Banana Zorro Vanessa Mzee Angel Bernard (GwT) Ben Paul Danny kibambe (GWT) Paul clement (GWT) Vumi Usher Raymond Chris brown Catherine mphece Celin Dion Rihana Michael Jackson alikua best of best jesca (GWT)...
  14. B

    LUMIA lumia lumia nokia lumia inahitajika

    Iwe ya bei pouwa window yoyote ila price iwe ya kawaida na affordable 0762778385
  15. B

    Wakuu, nahitaji Flatscreen TV kuanzia inch 28 used

    Nahitaji flatscreen TV kwa bei ya chini, used, kuanzia inch 28. Kampuni yoyote, Samsung, LG, Sony and others. Ni PM or call 0762778385.
Back
Top Bottom