Search results

  1. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  2. R

    DOKEZO Waziri Mchengerwa, nenda Nasibugani Sekondari Mkuranga, shule haina umeme, maji, madawati, walimu, vitanda wala barabara nzuri

    Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi. Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali, watoto wetu wanalala chini, umeme hakuna shule ipo gizani wakati ipo porini, shule haina walimu wa...
  3. R

    Utitiri wa viwanda vya bati Tanzania na paa za nyumba zenye bati mijini kuwa na kutu ni Udhaifu mkubwa uliopo TBS

    Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora licha ya hapa nchini Kuna taasisi ya umma inayoshughulika na ubora wa bidhaa. Utitiri wa viwanda vya...
  4. R

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) ni kikundi Cha wezi kinacholewa na Serikali

    Heslb wamekuwa wakikata hela hovyo Kwa watumishi wa umma hata Kwa watumishi wa umma wasio wanufaika au wanufaika waliomaliza madeni Yao ya Mikopo bila utaratibu.Inaonekana Hawana database ya wanufaika waliomaliza madeni hivyo hurusha jiwe,watakaolalamika ndio wanajua huyo hana hadaiwi au...
  5. R

    DOKEZO TAMISEMI iangalieni hii shule ipo Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ipo km 48 toka halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, kijana wangu amechaguliwa kusoma tahasusi...
  6. R

    Maskini Tanganyika!

    Watanganyika wanapiga kitu kizito,hawatasahau.
  7. R

    Watanganyika sio wajinga kihivyo, Serikali ijisahihishe ilipokosea kwenye mkataba wa kubinafsisha bandari

    Ukiona Serikali inapambana na hoja zinazokosoa Mkataba wa kubinafsisha bandari za Tanganyika, ujue Kuna shida. Kama tulivyopigwa kwenye gas asilia, Serikali ilitumia nguvu nyingi mno, Midahalo ilifanyika chini ya Waziri mwenye majivuno mengi Sospeter Muhongo lakini hakueleweka, mwishowe...
  8. R

    Wafanyakazi wanavyohujumu baada ya maeneo yao ya kazi kuletewa wawekezaji

    1.TRC kuuzwa Kwa Wahindi na kuwa TRL, wafanyakazi waliiba mno na waliofukuzwa waling'oa mataluma ya reli. 2.TANESCO Kwa makaburu, wafanyakazi walivyobanwa walilikausha mabwawa ya kudhalisha umeme mpaka nchi ikaingia gizani 3.Viwanda,Mali za viwanda viliibiwa na viwanda vikafa havijawah kurudi...
  9. R

    Mkataba upi Serikali ya Tanzania iliwahi kupata manufaa dhidi ya wawekezaji/kampuni za kigeni?

    Katika ukuwaji wangu sijawahi kuona au kusikia nchi yetu ya Tanzania kuingia mkataba wenye manufaa na kampuni au wawekezaji wa kigeni dhidi ya rasilimali za nchi hii. 1. Makaburu waliwekeza Tanesco, hutukuwahi kunufaika na uwekezaji huu ambao ulipelekea ukaushaji wa mabwawa baadae nchi ikawa ya...
  10. R

    Ifike mahali TUCTA muachane na sherehe za Mei Mosi, masilahi bora Kwa wafanyakazi ni mpaka serikali iamue.

    1.Mlilalamikia kikokotoo kisiwepo,serikali ikaweka 2.Mkalalamikia nyongeza ya mishahara Kwa miaka nenda rudi,nyongeza ni mpaka serikali iamue na iongeze ionavyo 3.Mmelalamikia annual increments,hakuna ushawishi wa kuishawishi serikali kurudisha,mpaka serikali iamue 4.Mnalalamikia Kwa miaka nenda...
  11. R

    Serikali irudishe Annual Increment na ipandishe madaraja Kwa wakati, iachane na nyongeza ya mishahara kwani haiwezi

    Moja ya malalamiko ya wafanyakazi wa umma ni hili la kuondolewa Kwa annual increment na serikali, ambayo ipo kisheria huku huku ikishindwa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma, inayokidhi hali ya sasa. Uwepo wa increment kwenye mishahara imetoa uzoefu kazini, nikiwa na maana kuwa hakuna...
  12. R

    Waziri wa ofisi ya Rais na Utawala Bora ongea na Maafisa Utumishi na Waziri wa Elimu, HESLB inatutesa watumishi wa Umma

    Kumekuwa na Uzi mbalimbali humu JF zinazoonesha malalamiko mbalimbali ya jinsi bodi ya mikopo Elimu ya juu (HESLB) Kwa kushirikiana na maafisa utumishi kuingiza makato kwenye mishahara ya watumishi wa umma hata ambao hawajawahi kukopeshwa na HESLB ama wengine kumalizana na bodi miaka kadhaa...
  13. R

    Wakati sensa na makazi ikiibua siri ya wazazi kulala chumba kimoja, Wapo watumishi wa umma wanalala chumba kimoja

    Kada zenye watumishi wa umma wenye kutoa huduma maeneo ya vijijini mfano afya,elimu na kilimo,kada hizi zinaongoza Kwa watumishi hao kulala chumba kimoja, kutokana na ukosefu wa nyumba za watumishi hao wa umma. Utakuta nyumba moja ina vyumba vitatu na ni maalum Kwa familia moja lakini kutokana...
  14. R

    Bodi ya Mikopo yaleta taharuki kwa watumishi wa Umma, yaanza kukata pesa kwenye mishahara hata waliomaliza madeni

    Katika hali ya kushangaza baadhi ya watumishi wa umma,waliokuwa wanufaika na mikopo ya elimu ya juu na mikopo Yao kumalizika na wale wasionufaika kabisa,wamejikuta katika taharuki kubwa baada ya kukuta mishahara Yao ya mwezi Machi 2023 imekatwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Wengi wao...
  15. R

    Kwenye hili waziri wa ofisi ya rais Jenista Mhagama na katibu mkuu wake wangefutwa kazi

    1.Taaharuki na kushusha morali ya kufanya kazi kwa watumishi wa umma baada ya ongezeko kiduchu ya mishahara 2.Kumchonganisha Mh Rais na watumishi wa umma kuhusu ongezeko la mshahara. 3.Ofisi ya rais utumishi kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kibaguzi,kwani baadhi ya watumishi wa umma...
  16. R

    Siasa iachwe kwenye soko la wamachinga Karume baada ya kuungua

    Naunga mkono Serikali kuunda kama ya kiuchunguzi kujua kiini cha kuungua soko la mchikichini la Karume na kuja na mapendekezo yake, japo kuwa kamati zinazoundwa huwa hazitow taarifa kwa umma,ila serikali inajua kiini na mapendekezo ya kamati na hufanyiwa kazi baadhi. Binafsi siungi mkono...
  17. R

    Intelejensia ya polisi kwenye uunguaji wa masoko ni zero ila kwa vyama vya Upinzani ni 100%

    Police wana uwezo wa kudetect uvunjifu wa amani iwapo vyama vya Upinzani wanataka kuitisha mikutano lakini mikusanyiko ya CCM na kwenye masoko hawawezi. Miaka ya hivi karibuni masoko yamekuwa yakiungua mara kwa mara mfano Mwanjelwa Mbeya, Kariakoo, Karume n.k, lakini hutakuta wakitoa...
  18. R

    Katiba ya 1977,imepitwa na wakati mapungufu ni mengi

    Spika anajiuzuru anaandika barua kwa katibu mkuu wa ccm na sio Katibu wa Bunge.Katiba haioneshi chochote. Spika anapendekezwa na mwenyekit wa chama ambaye ni mkuu wa mhimili wa dola.Katiba inasemaje. Katiba inaonesha upatikanaji wa spika baada ya uchaguz mkuu,haioneshi akijiuzuru atapatikana...
  19. R

    Baada ya anguko la Mhimili wa Bunge,Tujikite kwenye nguvu ya mhimili wa dola

    Ninaamin na wengi wanaelewa kwa katiba hii ya 1977,tuna mhimili mmoja tu hapa Tanzania,hii mingine ya mhimili wa mahakama na mhimili wa Bunge ni formalities tu,ipo lakini haifanyi kazi. Nimegundua katiba ya 1977 Ni mbovu kuwah kutokea ulimwenguni,umeipa nguvu kubwa mno mhimili wa dola. Kwa...
  20. R

    Walimu na maaskari Hal mashauri ya Mkuranga wasota bila hela ya kujikimu.

    Wakati zoezi ya mitihani ya kitaifa kidato cha pili FTNA ikimalizika leo Ijumaa na michache kumalizika wiki ijayo,wasimamizi wa mitihani hiyo ambao Ni walimu na askar polisi wameshindwa kuondoka vituoni wengine wakitembea kwenda makwao baada ya kukosa hela ya nauli na posho ya kujikimu.Hii...
Back
Top Bottom