Search results

  1. M

    Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

    Habari Wana jamvi, Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why? Ladies take note
  2. M

    Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka. Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida. Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida...
  3. M

    Mikopo imepunguzwa kwa wanafunzi wa mwaka wa pili chuo Cha Moshi catholic university

    Sintofaham imetoke katika chuo Cha Moshi catholic university ambapo wanafunzi wanaondelea na masomo yaan second year na third year wamebandikiwa allocation mpya za mkopo Ambazo zinaonesha mikopo Yao kupunguzwa lakini vyuo vingine havijafanyiwa ivo. Mdogo angu ambae anasoma hapo anasema hawaelewi...
  4. M

    Recruitment portal

    Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
  5. M

    Hivi kwanini wanaume huwa mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

    Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu? Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!
  6. M

    Nyie niitieni George

    Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn. Mekutana na mtu anaitwa George n. Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke. Nyie nimeview profile ya George jamani am still viewing George's pic, and there's no way naweza mwambia ntaonekana kamalaya basi meishia tu kusave...
  7. M

    Tunavuna tunachopanda

    Asubuhi nilileta Uzi hapa, bout encouraging single mothers,, kwamba one day Mungu atawalipia fedheha zote walizopitia. Baadhi ya wanaume walaaniwa wamekuja juu sana... But ukweli haukwepeki na ukweli hauzikwi milele utatafuta tu njia. Kabla sijawapa vidonge vyao hawa walaaniwa let me tell you...
  8. M

    Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  9. M

    Wadada jamaeni mkuje...

    Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext. Mnachati weeeee anakuhoji maswali unajieleza shida zako halafu baadaye anakuambia kuhusu hela usiwaze...
  10. M

    Hela zetu zinauma, acheni utani kabisa

    Habari zenu wakuu, jamani new brides and grooms naomba liwafikie hili, mwaka Jana classmate wangu alikua anaoa.. nikapewa KADI ya kamati na umaskini wangu nilijipiga laki nzima. Shuwaini wendawazimu hawa jana nimeenda mahakamani kufata kiapo nilikua nabadilisha jina la laini nikawakuta...
  11. M

    Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

    Habari zenu wakuu, Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha. Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe...
  12. M

    Jamani mtupe Siri

    Habari zenu wakuu, Mi nina swali, hivi Inakuaje watu wanapendana hadi wanavaa sare hadi wanaoana? Seriously mtuibie Siri tunakwama wapi wengine ndo tunazeeka hivo.
  13. M

    Una hali ngumu, halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela

    Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!. Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
  14. M

    Overthinking/ mental health

    Habari zenu wakuu, Changamoto za maisha zipo kwa kila mmoja, kila mtu anapitia ya kwake tofauti ni uzito. Kwa upande wangu, tangu 2018 naweza sema nimekuwa nikipitia kipindi kigumu sana. Nimekuwa na sleepless nights za kutosha..naweza kaa macho mpaka asubuhi. Pakikucha naugua sana kichwa...
Back
Top Bottom