Search results

  1. S

    Anasema ananipenda ila ana mtu

    nahisi mwanamke anayezungumziwa hapa ni smile lkn muanzisha uzi hakujua kama anayemzungumzia ni memba MMU
  2. S

    Ushauri; nyumba ndogo imeathirika mi mzima

    Habari! Mi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, nina mpz nje ya ndoa yangu ambaye anakaa kwao. nimekuwa na uhusiano nae kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa; sijawahi kwenda nae kupima licha ya yeye kudai mara ya mwisho alipima mwaka 2007 na alikuwa safi lakini mimi huwa napima mara kwa...
  3. S

    Napata kero (kupungua / kukonda)

    kaka mkubwa anataka shavu
  4. S

    Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    adui mwombee njaa naona hii ni nzuri coz ime balance pande zote na itasaidia kuleta ugomvi CCM hivyo kuifanya CDM ing'ae zaidi
  5. S

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    Wizara ya Maji mpaka sasa hakuna kitu nikiuliza salio kwa njia nmb mobile yangu jibu ni salio lako halitoshelezi nadhani hiyo ni negative balance
  6. S

    Ni muda gani mtoto aanze kula chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama

    Wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja ambae anamiezi minne sasa na jirani yangu pia anamtoto ambae umri wake unapishana na wangu kwa siku tatu lakini jirani yangu alianza kumnywesha mtoto uji wakati anaumri wa miezi miwili. mtoto wangu sasa hivi nahisi kama ananjaa sana kwani mara nyingi hunyonya...
  7. S

    Nakula kiasi kidogo cha chakula, sipendi nataka kula sana nifanyaje?

    Kwa muda mrefu sasa nakula chakula kidogo sana matokeo yake sinenepi, kama unanijua uwezi kunitofausha wakati nipo shule na sasa ninavyofanya kazi naomba kusaidiwa mawazo.
  8. S

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Lengo la mafisadi awe spika ili azuie mijadala ya kifisadi, Wakicheki watu wanaoingia mjengoni wanajiandaa kuwazuia. Chenge kwanza ni Mtuhumiwa wa mauaji.
  9. S

    Elections 2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Ni bora ukae kimya tumekuchoka umeshaiba vya kutosha, ndio zenu hata kuhusu Richmond, EPA mlikataa na mkabisha lakini ukweli ukajulikana. Taarifa kama hizo wape Wamasai wenzako wa uko Monduli ndio wanaweza kukuelewa
Back
Top Bottom