Search results

  1. falcon mombasa

    Vikwazo dhidi ya urusi

    Vikwazo vilivyowekwa dhidi ya urusi na viongozi wa juu wa taifa hilo ni kwakias gani vitaiathiri urusi na maisha ya warusi kwa ujumla...?
  2. falcon mombasa

    Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

    Habari za siku nyingi Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio makubwa ya ugaidi zaidi pengine kuliko hata ilivyowahi kutokea Taliban wao walipokuwa wanapigana...
  3. falcon mombasa

    Serikali iliwaza nini kuondoa Hiace na kuruhusu Bajaji?

    Wakuu habari, Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji. Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni. Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12...
  4. falcon mombasa

    Masharti nafuu tunayopewa na China

    Wakuu habari: Mara kwa Mara viongozi wetu wamekuwa wakituambia tumepata mkopo kutoka China wenye masharti nafuu. Swali langu ambalo natamani kila Mtanzania ajiongeze na aweze kufikiria nje ya box je mkopo wa masharti nafuu ukoje je masharti nafuu ni yapi? Mara nyingi tumesikia kauli kuwa...
  5. falcon mombasa

    IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

    Habari Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu. Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji. Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu. Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa...
  6. falcon mombasa

    Kuna mgombea aliwahi kufika kisiwani Mafia?

    Wakuu nimewaza tu nje ya box je katika historia ya campen za 2015 na 2020 je Kuna mgombea urais aliwahi kufika kule kisiwani Mafia? Inavyoonekana wilaya hii ya mkoa wa Pwani ni kama imesahaulika kuwa ni sehemu ya Tanzania.
  7. falcon mombasa

    Tusio na chama tukutane hapa

    Kwa namna moja au nyingine binadamu hatufanani kila kitu. Mimi nimeamua nisiwe mshabiki wa chama chochote. Naamini tuko wengi ambao tumeamua kuwa mrengo wa katikati Sababu iliyonifanya nisiwe mshabiki wa chama chochote ni kuwa wanasiasa wetu hawaaminiki. Watu wengi wamepoteza maisha yao...
  8. falcon mombasa

    Wazalendo tusaidiane kuishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha utalii

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi sio mtaalamu sana wa masuala haya ila naamini bado sio sababu ya kushindwa kukusanya maoni kuishauri serikali kupitia wizara ya utalii nini kifanyike kukuza utalii. Nasisitiza tuweke uzalendo kwanza kwenye thread hii. Hii ni nchi yetu sote sisi na...
  9. falcon mombasa

    Nilichokuta majimbo ya Kilombero na Ulanga

    MHE. GOODLUCK A. MLINGA: Mheshimiwa Naibu Spika, ahsante sana, kumekuwa na matumizi ya hovyo kabisa katika halmashauri zetu na kupelekea halmashauri hizo kupata hati chafu. Kwa mfano, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga imepata hati chafu kwa mwaka mmoja, mimi najiona kama natembea bila nguo, lakini...
  10. falcon mombasa

    Tetesi: Marufuku ya kuzidisha abiria ili kupambana na Corona, Daladala zimeanza kugoma Dar es Salaam

    Wakuu, Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar. Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala...
  11. falcon mombasa

    China iokoe jahazi basi

    Nimekaa nimejiuliza mbona China ipo kimya kuhusu kuisaidia Tanzania Dola million 500? Tumeaminishwa vya kutosha kuwa China ni ndugu zetu lakini hadi sasa ukimya umetawala toka kwa ndugu zetu hawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. falcon mombasa

    Wapi Amerika imetunyonya sisi Tanzania?

    Wakuu habari!! Jioni hii nina swali dogo tu naomba kujibiwa ipasavyo. Kuna baadhi ya Watanzania wachache wamekuwa wakilalamika kuwa Marekani ni wanyonyaji wa rasilimali zetu Tanzania. Naomba kufahamishwa ni wapi America imeinyonya Tanzania. Je, kati ya Tanzania na USA ni nchi gani inaomba...
  13. falcon mombasa

    Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

    Mzukaaaaaa!!!! Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio nakujuza Barabara zote Tanzania zinaligi,ispokuwa ligi maarufu Tanzania ni ligi ya Dar Mbeya kwa miaka...
  14. falcon mombasa

    Leo nimetembelea jimbo la Ukonga, ni kama hakuna Mbunge

    Wakuu habari. Baada ya kutembelea Jimbo la Juma Nkamia na kujionea hali mbaya kabisa ya miundo mbinu huku umaskin ukiwagubika haikuwa kikwazo kwa Juma Nkamia kutaka rais aongezewe muda huku wananchi wake wengi wakiwa wamejikatia tamaa ya kuishi na hawana namna ya kumtoa Juma Nkamia kutokana na...
  15. falcon mombasa

    Waziri Lukuvi mpe Rais Magufuli ujumbe wangu

    Wakuu heri ya mwaka mpya Naomba nisiwapotezee muda wenu moja kwa moja niende kwenye hoja. Thread hii sitaiandika kisomi ili angalau kila mtu aweze kuielewa kiurahisi. Baada ya kukaa na kufanya uchunguzi juu ya namna ya upatikanaji wa nyumba kwenye shirika la nyumba la taifa hatimaye nimeona...
  16. falcon mombasa

    Airbus welcome back party kufanyia mwenge

    Ni wimbo gani ungependa dj aupige kwenye party hii
  17. falcon mombasa

    Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

    Wakuu kwa pamoja tujadiliane nini haswa kifanyike kupunguza foleni au msongamano mkubwa was magari kuanzia ubungo hadi mlandizi .. Barabara hi inaongoza kwa msongamano wa magari kupita kiasi katika nchi yetu Je mamlaka husika zilaumiwe kwa kushindwa kupunguza msongamano huu. Muda huu...
  18. falcon mombasa

    Haka kamchezo hakana mjanja

    Noma sana
  19. falcon mombasa

    Nguvu ya pesa

    Wakati moto unaendelea kuwaka
  20. falcon mombasa

    Threesome inazidi kupendwa kwa kasi

    Estoy bien!!! Naam nimerudi tena mzee wa tafiti za mambo ya kikubwa Baada ya research niliyoifanya sehem tofauti kushirikiana na wadau tofauti tofauti Nawasilisha rasmi matokeo ya utafiti Utafiti huu nimeufanya sehem tofauti ikiwa na pamoja vyuo karib vyote Dar es salaam Mabint wenye umri...
Back
Top Bottom