Search results

  1. mbere

    Phone4Sale Tuna simu used almost sawa na mpya toka Dubai

    1. Samsung A12 memory GB 128/4 Bei 350000. 2. Samsung A11 memory GB 32/2 Bei 250000 3. Samsung A10s memory 32/2 Bei 250000 4. Samsung A51 memory GB 128/4 Bei 450000 5. Samsung A03core memory GB32/2 Bei 230000 6. Samsung A21s memory Gb 64/4 Bei 320000 7. Samsung A20s memory GB 64/4 Bei...
  2. mbere

    Picha za leo

    Weka maneno
  3. mbere

    Ajira: Tunatafuta mfanyakazi

    Kazi; kutafuta wateja na kutangaza tiba ya meno , haswa mtandaoni. Sehemu ya kazi: Korogwe Tanga Mshahara: 200000/= , na commission za mauzo ya kila siku Elimu: awe na elimu ya chuo kikuu , haswa Usimamizi wa biashara , na network marketing au zaidi. Jinsia: msichana Dini;: yeyote Uwezo wa...
  4. mbere

    Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    1. Mabasi yanajaa 2. Wamewekewa hadi treni nayo inajaa 3. Ndege ndo kabisa 4. Njiani foleni kama yote 5. Makosta na Rosa na mabasi madogo nazo kwa msafara, zikipeleka hawa watu kwao Sasa swali langu, huwa unapata hisia gani ukiona hayo maandano ya wachaga wakikazana kwenda kwao kwa nguvu hivyo...
  5. mbere

    Ushauri: kupitishwe sheria ya dharura ya kuvaa maski nchi nzima kabla huu ugonjwa haujaenea kwetu?

    Sisi ni taifa changa sana bila shaka, Hatutaweza kumudu mtikisiko utakao tokanana na majanga ya huu ugonjwa, mfano kusimamisha kazi kama wenzetu walivyofanya. Sasa kwanini serikali isipitishe sheria ya dharura ya kuvaa maski nchi nzima , usipo vaa jela miezi 6 au faini milioni kadhaa. Hii iwe...
  6. mbere

    Ni zipi fursa za corona kibiasha kwa Watanzania wafanya biashara?

    Binafsi nimeona bidhaa zinazotoka china zimepanda bei, wauzaji wakisingizia, au labda ni kweli kwamba viwanda vimefungwa, hivyo wanauza stock wakiwa hawajui mwisho wa tatizo , kuna watu watatajirika kutokana na huu ugonjwa. Wadau Ni nini kingine unakiona kama fursa kutokana na na huu ugojwa...
  7. mbere

    Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Ni swali, naomba kueleweshwa. Huyu mchana Kurani, mlevi, akiwa nje ya kazi, akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea. Ghafla kasimamishwa kazi kwa kuchana Kurani. Waziri amefanya sawa...
  8. mbere

    Naomba kuunganishwa na mtu anayefanya michezo ya aina mbalimbali, kama kusimama na ngongoti, ili kukusanya watu nitangange biashara yangu.

    Naomba mtu aniunganishe na mtu mwenye jambo lolote, linaloweza kuvutia watu na kuwakusanya nikatangaza biashara yangu. Sarakasi Ngongoti . N.k Malipo maelewano. Please njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mbere

    Uzi wa kurushia picha na mawazo mbalimbali ya foleni za vitambulisho vya NIDA

    Huu ni uzi maalumu wa kurushia walau neno na picha za sehemu mbalimbali nchini kuonyesha uhalisia wa tatizo / foleni kubwa ya kupata vitambulisho ili kusajili laini, kuna watu wanaumia wanaona imekuwa kama adhabu, maana watawala wanasema zinafungwa , foleni nayo imesimamia kucha. Mawazo yangu...
  10. mbere

    Uzi wa kutupia vinywaji na vyakula Christmas na mwaka mpya 2019

    Tupia hapa shoonga, na vinywaji vyote ulivyokula sikukuu hii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mbere

    Watu wa south Africa nawaona kama wavivu, na wasiofikiri ipasavyo.

    Kwa mtazamo wangu hawa watu wanaitaji msaada . Hawa jamaa ni watu waliotawaliwa kwa muda mrefu na wazungu, Hivyo walikuta barabara za wazungu hawajawahi fanya biashara au kazi wakakatwa kodi zikajenga barabara mashule , hospital n.k , Mataasisi mengi nchini mwao walijenga wakoloni...
  12. mbere

    Panya wa sasa hivi hawakamtiki kirahisi ni huku kwangu tu au?

    Wakuu Mitego: Haiwakamati Dawa yao: Wanakula ila sii kama zamani wengi wao hawali Ni huku tu ama?
  13. mbere

    Zamani bwana ukionyesha dalili za kuandika na shoto utachezea fimbo za kufa mtu, wa zamani mpo? Hebu tukumbushane nini chanzo?

    Aisee kuna jamaangu alikuwa anachezeaga fimbo kinoma noma , unakuta kila ticha akiingia tu akitoa kazi analoooo Hebu tukumbushane chanzo ni nini?
  14. mbere

    Nani anaweza kututathiminia miaka ijayo kati ya 30 na 50 ya moshi kutakavyokuwa?

    Moshi wazee wanakaribia kuzeeka na kufariki. Hiyo Generation inapita hatimaye. Nyumba nyingine tayari zimeanza kuishi wafanyakazi, rombo,machane,marangu,kobosho, moshi yote kwa jumla, wazee washaondoka, au wapo mbioni kwenda. Sasa hawa wafanyakazi wapo wakitunza kahawa, ng'ombe n.k, hii ni...
  15. mbere

    Hivi kuna rekodi ya Tanesco inayoonesha watu waliouliwa na umeme?

    Leo tarehe 10. 06.2019 nimesikia kifo cha kijana aliyekuwa anafanya kazi kiwanda cha tambi huko Mbagala, kafa kwa kupigwa shoti. nimewahi pia kushuudia kijana kwenye kiwanda cha chakula cha kuku huko kitunda R.I.P na wengine wengi Wanaouliwaga na umeme. Hivi taadhari zinatolewa kweli? Maana...
  16. mbere

    Kwa mafundi simu na wauza Spare za Simu Tunauza tach na lcd kwa bei nafuu zaidi wx3 tunauza kwa 3600 tu.

    Makava mapya na glas 5D NA ZA KAWAIDA 1. SAMSUNG A2CORE 2. SAMSUNG A10 3. Samsung A20 4. Infinix note5 5. Infinix hot6 6 .infinix hot7 7. Oppo 15proo 8. Oppo f7 9. Tecno pouver3 10. Tecno spak3 11. Tecno spak2 12. Tecno w3 13.tecno wx3 14.tecno f1/f2 15. Iphone zote 16.samsung zote 17. Itel...
  17. mbere

    Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

    Bei nimeweka kwa jedwali hapo chini Wasiliana nasi 0625868296 Pia tunauza jumla 1. glass za kawaida jumla 700 2. Glass za 3D 3000 3. Makava ya autofocas 1500 4. Chaja 3000 5. Earphone 2500 6. Makava ya urembo 3000 7. Usb 1500 n.k Tupo Tanga Tunaweza kutumia popote Tanzania
  18. mbere

    Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

    Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa. Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu. Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia, Nani amewasikia? Nimewaza au...
  19. mbere

    Mawingu yakianzaga na uwepo wa ongezeko la vichaa mjini hutokeaje?

    Nimekuwa nikiona kwa miaka kadhaa, Mawingu ya mvua vikianzaga tu, vichaa nao huchomoza wa zamani hawatulii ndani, na wengine wapya hujitokeza wakizurura, bila shaka hukimbia makwao na kwenda sehemu kutenda na kusema maneno mbalimbali ya ukichaa wao. Mahusiano yamekaaje kwa anayejua atujuze...
  20. mbere

    Ushamaliza sh ngapi hadi sasa kwenye Biko, 3 mzuka, dakapesa na wanawe?

    Aisee ile mwanzomwanzo wakati biko tuu na tatu mzuka vinavuma zaidi nilicheza kama 100000/= hivi . Nikajaacha kabisa, naona Asubuhi Saa sita mchana Jioni Saa 2 usiku Saa sita usiku Aisee ni jumbe mbilimbili za kuniimiza nicheze Tena sijui wanaambiana maana hata yale makampuni ambao sikucheza...
Back
Top Bottom