Search results

  1. M

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Wa kwangu ana kemia S. Biology E Geography D je matokeo hayo anaweza kusoma kwa D hiyo moja shahada ?
  2. M

    Wasanii wangu bora wa reggae hawa hapa

    Steel purse na third world .Black uhuru
  3. M

    Fahamu maana ya uchawi...

    Ni kweli ni mambo ya imani lakini uchawi upo na wachawi wapo na wazee na vijana wasomi kabisa wapo
  4. M

    Maalim Seif ajiunge na CHADEMA, hana cha kupoteza

    Ni kweli kina bwaashee yaani mchaga na mpemba wanaushilikiano mkubwa sana ktk utafutaji lakini kila mmoja akiwa dukani kwake
  5. M

    Maalim Seif ajiunge na CHADEMA, hana cha kupoteza

    Kwa taarifa tu mpemba na mchaga ktk mambo ya pesa wako pamoja sana na wanaitana bwaashee na wanaushilikiano mkubwa sana kuliko ktk kupata mali au pesa popote au mazingira yoyote ndio maana kona zote wapo ktk utafutaji bwaasheeeeeeee upo
  6. M

    Utamu wa mabasi ya mwendokasi

    Sasa buji nakusubiri ktk hiki kitaa unachopenda kupita utanilipia tu hahahahhhh
  7. M

    Iko wapi sukari iliyoagizwa serikali?

    Hapa magomeni mwebechai sukari leo tumenunua kilo kwa 2800 hatareel 4, post: 16414740, member: 346519"]WANA JF HESHIMA KWENU WOTE Kwa muda sasa kumekuwa na tatizo la sukari kutopatikana maeneo mengi kutokana uamuzi wa serikali kuzuia vibali vya kuagiza sukari bila kujipanga. Mwenzi uliopita...
  8. M

    TCRA, tujuze kwanini Azam TV haiwekwi kwenye ving'amuzi kama Local channel

    Hata sie wa EASY TV ambazo zinabaki hewani TBC na CHANNEL 10 hii sheria cjui inasemaje
  9. M

    Unajua nini kuhusu mnyama aitwae "Kakakuona"?

    Bro mshana hebu tusaidie hii makitu
  10. M

    Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

    Bro Mshana katika ubora wake
  11. M

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Bi faiza...nimeanza kuumpa bint yangu hiyo tiba ya pumu kama ulivyo elekeza ya karafuu leo ni siku ya 5 na alhamdulilah leo ameanza kwenda shule. inshaallah iwe tiba kwa bint yangu na wengine pia amin
  12. M

    Ndondocha na utajiri

    bro mshana ktk ubora wake
  13. M

    Kijiji hatari cha Wachawi Tanzania

    bro mshana habari ndo hizo ongeza bonge la nyama hapo
  14. M

    Mabibo tupo gizani! Kwenu je?

    Magomeni mapipa na mwembechai gizani tangu jioni
  15. M

    Mchaichai (Lemon Grass) na faida zake kwa matumizi ya mwanadamu

    Sawa mkuu je jinsi ya kuutumia kama tiba elekeza mkuu
  16. M

    Simu niibiwe mimi hasira zikushike wewe na kumponda mwizi kwa mawe na kumwagia mafuta na kumchoma.

    Mkuu mi walikaba nikapoteza fahamu ili wachukue sim tu naludisha fahamu najikuta nimejitafuna ulimi sana na hali ikawa mbaya sana kama wiki siwezi kula vizuri ulimi umevimba na maumivu makari sana.sasa nikimuona kibaka najua ndio yuleee nashughulika kikamilifu.
  17. M

    Kwanini Jazz sio maarufu kwetu TZ?

    Wazee wa jazz tupo mkubwa, tunawajua kina George Benson, Earl Klugh ,Grover Washngton Jr, Carlos Santana , George Howard wako wengi me ninazo jazz nyingi tu.
Back
Top Bottom