Search results

  1. Madame S

    Eid Mubaraq to all Jf users

    Assalam alayqum !! Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake. Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa Half american Mtoto halali na hela...
  2. Madame S

    Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  3. Madame S

    Namna ya kuonana na Rais

    Habari wanabodi, Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata? Akiwa safarini unampigia...
  4. Madame S

    DOKEZO Kwako Ummy Mwalimu - Mbunge wa Jiji la Tanga na Waziri wa Afya

    Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill, Wanabambikia watu mnoo yani...
  5. Madame S

    Inakuwaje nikimfikiria mtu ambaye sijamuona muda mrefu, nikija kumuulizia kwa watu ninaambiwa kafariki

    Habari za wakati huu, Naombeni kujuzwa hii hua ina maana gani, yani ninakua namfikiria mtu ambae sjamuona muda mrefu mno ajabu nikikutana na mtu ninaejua anajua alipo nikimuulizia tu jibu no moja AMEFARIKI Mara ya kwanza kunitokea, kuna classmates wenzangu nilikua nikielewana nao mno, sasa...
  6. Madame S

    infinix smart 5 (x697)

    habari wanajukwaa naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
  7. Madame S

    Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Habari za muda huu, Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini. Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na...
  8. Madame S

    Msaada wa kisheria

    Habari za muda huu wanasheria, Niende moja kwa moja kwenye mada, niko na mdogo wangu hapa tunahitaj kujuzwa kutokana na kisa chenyewe kilivyo, kiko hivi Mwaka 2012 alimaliza masomo kwenye moja ya vyuo hapa Jijini Tanga, katika utafutaji wa ajira akabahatisha ofisi moja ya Kiserikali akaomba...
  9. Madame S

    Nilipomuamsha shetani wa mme wangu

    ; NILIPOMUAMSHA SHETANI WA MUME WANGU--- SEHEMU YA KWANZA. “Kwahiyo ndiyo unanirudia saa nne? Unajiona mw3anaume sana na hao rafiki zako ambao kila siku wanakudanganya? Wenzako hawajaoa lakini kila siku ni kuhangaika nao, unazunguka nao kama vile hujaoa, saa nne mimi nikufungulie mpango?”...
  10. Madame S

    Msaada: Namna ya kuandaa mbegu za maboga kwa ajili ya uji wa mzazi

    Assalam alayqum, Jamani ni matumaini yangu mko salama. Naombeni kujuzwa/ kufahamishwa namna ya kuandaa mbegu za maboga zichanganywe kwenye uji wa mzazi. Nazifanyaje baada ya kuziosha? Je, nazianika nizikaange kidogo ndipo nisage unga wake nichanganyie kwenye uji au nizioshe nianike nikasage...
  11. Madame S

    Mkasa was kweli: Nilioa jini pasi na kujijua

    MKASA WA KWELI NILIMUOA JINI PASINA KUJUA NA ZUBERI MARUMA Whatsupp no 0759527654 No 01 Mungu muumba,aliumba majini na binadamu hili wa muabudu,katika uumbaji wa majini kuna majini wema wanao mtwihi Mungu na pia wapo majini waovu ambao pia uenda kinyume na maagizo ya Mungu,pia Katika...
  12. Madame S

    Kaondoka na Moyo wangu

    MKASA WA KWELI KAONDOKA NA MOYO WANGU MWANDISHI; ZUBERI MARUMA WHATSUPP 0759427653 Sehemu ya kwanza UTANGULIZI Ni mwanamke nilompenda toka ndani ya mvungu wa moyo wangu, Nikayabeba matatizo yake na kuyafanya yangu, Sikutegemea kama angekuja kuondoka na moyo Wangu, Siku mbili kabla Mimi...
  13. Madame S

    Mkasa wa kweli: kazi ya kulinda maiti mochwari ilivyonishinda

    MKASA WA KWELI KAZI YA KULINDA MAITI MOCHWARI ILIVYONISHINDA MWANDISHI: ZUBERI MARUMA Whatsupp: 0759427653 i Jina langu naitwa Joseph Matombeko ,mzaliwa wa Nairobi nchini Kenya naishi na familia Mke na watoto wa tatu,ni mfatiliaji mzuri tu wa stori zako,nikaona nikutafute nami nikupe mkasa...
  14. Madame S

    Utajiri wenye uchungu

    NYEMO CHILONGANI. UTAJIRI WENYE UCHUNGU. Sehemu ya Kwanza. “All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your colleague,” (Watu wote mnaoishi katika ufukwe mnatakiwa muondoke haraka iwezekanavyo kwa sababu tsunami...
  15. Madame S

    Shambulio la damu

    NYEMO CHILONGANI. SHAMBULIO LA DAMU 0718069269. Sehemu ya kwanza. Dunia nzima ilikuwa kimya kwa muda, hakukuwa na mtu aliyeamini kile kilichokuwa kimetokea. Waliokuwa mbali na televisheni, wakazisogelea, waliokuwa na simu zilizokuwa na uwezo wa kuingia kwenye huduma za internet, walifanya...
  16. Madame S

    Mkasa wa kweli : Kilichonikuta Iyole sitakaa nisahau

    MKASA WA KWELI KILICHONIKUTA IYOLE SITOKAHA NISAHAU MWANDISHI: ZUBERI MARUMA Whatsupp: 0759427653 01 "Jina langu kamili ni Samson Ezekiel ila wengi upenda kunihita Sir Ezikiel, tahaluma yake ni ualimu, Bado sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto miaka yangu ni 28 Baada ya kumaliza...
  17. Madame S

    Muda sahihi wa kuanza clinic

    Assalam alayqum, ni matumaini yangu mu wazima alhamdulillah Jamani madokta wa jukwaa hili ninaomba msaada ni wakati gani mama au msichana akishajigundua yu mjamzito yafaa kwenda clinic? Kuna mtu ananambia niende mimba ikifika miezi sita mume anambia kesho asubuh inshallah niamkie huko lakini...
  18. Madame S

    Ufugaji wa layers

    Habari za muda huu wanabodi Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani Nimejaribu kusoma threads mbali mbali japo sijazimaliza sjapata iliyoainisha ni mtaji au gharama kias gani natakiwa...
  19. Madame S

    Penzi lenye Maumivu

    PENZI LENYE MAUMIVU-01 Mtunzi:Juma Hiza 0712988278 Katika maisha yangu yote ya ndoa sikuwa ni miongoni kati ya wale wanaume waliyotulia. Licha ya kuwa mke wangu, Lillian alinionyesha mapenzi ya dhati, alinijali pamoja na kunithamini lakini hilo sikuonekana kujali, isipokuwa nilikuwa bize...
  20. Madame S

    Konstebo Nguzu

    RIWAYA: KONSTEBO NGUZU NA: George Iron Mosenya "Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipatia timu yangu ushindi lakini nikashindwa. Nilishindwa tena na tena na tena katika maisha yangu NDIO MAANA...
Back
Top Bottom