Search results

  1. nabbingo

    Nani kamuuzia Manji ufukwe wa Coco?

    Diwaniiii..............tumesahau matrekta ya kuzolea taka aliyowauzia Manispaa ya Kinondoni?
  2. nabbingo

    TFDA be proffesional. Mtachomaje kemikali wazi namna hii?

    Mdau katika nchi ambayo watu wananunua vyeti hicho ni kitu cha kawaida
  3. nabbingo

    Profesa Kitila Mkumbo jaribu kuchambua vitu kwa usahihi

    Kitilla alisha-jitoa FUSE muda mrefu
  4. nabbingo

    Ndugu aua mdogo wake baada ya kumkuta akijamiana na nguruwe

    Pamoja na hayo yaliyotokea ni kwamba katika masuala ya afya ya akili inawezekana Marehemu alikuwa na SEX ADDICTION, ambayo ni maradhi na yanatibika so alihitaji huduma ya ushauri nasaha na fasaha jinsi ya kukabiliana na issue hiyo na si kumpiga na mwisho wake ndo huo MAUTI...RIP KIJANA
  5. nabbingo

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Inaweza ikiwa ni vigumu kwa wewe kukubali kuwa umekuwa na utegemezi wa uvutaji wa sigara (addict) kutokana na sumu ya nicotine iliyomo ndani ya tumbaku ambayo husababisha UTEGEMEZI (ADDICTION) Njia ya kukusaidia kuacha ipo unaweza kuwasilinana Narcotics Anonymous (N.A) ambao ni ushirika wa...
  6. nabbingo

    Airtel Tanzania, huu ni wizi

    Nami yemenikuta walilamba zote sms 300 na kifurushi cha Internet
  7. nabbingo

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kweli kabisa "It works if you work it" Alcoholics Anonymous (A.A)
  8. nabbingo

    Jamani mwenzenu DSTV imenishinda

    Mmmmm.......ndo sababu?
  9. nabbingo

    Telekinesis

    Huko sahihi kabisa kuna programe nayoitumia kwa masaa 24 ili niweze kukabiliana na ADDICTION niliyonayo so kila asubuhi lazima uanze na MEDITATION AND PRAYER
  10. nabbingo

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Spencer Lameck songa mbele...
  11. nabbingo

    Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

    Ufoo yeye anataka anachokijua yeye ndo yawe maoni yako...shame
  12. nabbingo

    Kagasheki umeyatamka haya kweli?

    Kagasheki Msamehe manake kesha ona ngoma nzito ndo maana hata kale kaji-FM kanakufa taratibu keshaona maji ya shingo...Lwakatare anamnyima usingizi, katika ilani yake ya 2010 aliahidi kutoboa uwanja wa ndege wa Bukoba Mjini kwa chini (tunnel) ili wananchi wasipate adha ya kuzunguka uwanja wa...
  13. nabbingo

    Mramba wa TANESCO hueleweki, kazi imekushinda, jiuzulu!

    Huyu jamaa anapelekwa pelekwa na MA-CCM ili angalau mpaka wakati wa uchaguzi angalau umeme upatikane wakati ki-uhalisia haiwezekani. Isije kuwagharimu..
  14. nabbingo

    Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

    Bado Samwel Maratoooo....
Back
Top Bottom