Search results

  1. Countrywide

    CHADEMA wanahamia lini Ofisi mpya Mikocheni? Anayejua atujuze

    Wengi tunakumbuka wiki kadhaa nyuma ilikuja taarifa kuwa chadema wamepata ofisi mpya Mikocheni. Sijui wamekodi au wamenunu, hilo hatujui maana haikuwekwa wazi. Swali langu, ni lini Wanahamia hizi ofisi mpya? Maana naona muda unaenda sana hatuoni wakihamia huko. Mwenye kujua naomba atujuze...
  2. Countrywide

    Sakata la Bandari limeisha, CHADEMA watakuja na Lipi lingine?

    Baada ya sakata la Bandari kuisha na uongo kuanza kujitenga na ukweli, hali kwa sasa ni shwari kabisa na wananchi wanafanya Maendeleo bila kelele na propaganda zozote. Maswali tunayojiuliza kwa sasa wanazuoni, ni je chadema watakuja na lipi lingine? Au ndio itakua mwisho wa hizi propaganda...
  3. Countrywide

    Chadema Kupuuzwa chanzo ni nini?

    Ninajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa nguvu zote kufanya research kwa nn chadema imepuuzwa na wananchi. Na kwa nn wananchi wameamua kuiunga mkono serikali Nitaandaa makala zote kwenye ziara zao walizozunguka nchi nzima. Naamini research hujibiwa kwa research, hivyo vijana wa ufipa kazi...
  4. Countrywide

    Nitakuwa wa Mwisho Kuamini CHADEMA wanahamia Mikocheni

    Nilisema naachana na jukwaa la siasa sababu ya kuwa busy na mrembo wangu cute wife. Lakini kwa hili la kuhama ufipa na kwenda Mikocheni lazima niseme jambo. Moja ya sifa kubwa ya hawa wenzetu ni uongo, wamekua waongo karibu kila kitu, ndio maana unaona hata kwenye suala la bandari wanaendelea...
  5. Countrywide

    Wangu Ni Mzuri, Wako Ni Mzuri? Heshima Kwa Wote Mnaomiliki Pisi Kali Kama Hii

    Moja ya kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kutowapa sifa wanazostahili hawa mabinti wazuri, ukweli wazuri wengi huwa wanaringa na inakua ngumu kuwapata maana wana masharti na vigezo vingi. Kama hata una vichache uwe unajaribu kidogo bahati yako. Nina bahati ya kuwa na jicho la kuona na kupata...
  6. Countrywide

    Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

    Oyaa to everyone here, i have somehow got this time to speak with every single one of you. Some, will probably be sleeping. Some will be not able to read this for whatever reason but for the ones of you who can. Please, you have got this People who are stupid in jf are stupid in real life too...
  7. Countrywide

    Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

    Unpopular opinions; Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana, lakini napenda kuwaambia Haaland ni mzigo mzito ndani ya Man City. City wakiwa na Haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua...
  8. Countrywide

    Waliomuunga Mkono Raisi, Wameanza Kumtukana. Hii Haikubaliki

    Hilo sakata limeibua wanafki wengi sana, nimeona wale muda wote waliokua wanamtia moyo raisi wetu wameanza kumtukana matusi. Tatizo ni bandari au kuna mengine? Mbali na uraisi, mama Samia ni mama. Nimeona yule dada wa kule USA ameanza kumtukana raisi matusi mazito. Huyu muda wote alijifanya...
  9. Countrywide

    Tanzania Football Best XI Of All Time

    Hiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania. 1) Mwameja Mohamed Mwameja 2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso" 3) Mecky Mexime 4) George Magere Masatu 5) Bakari Malima "jembe ulaya" 6) Hussein Amani Marsha 7) Said Maulid Kalukula "SMG" 8) Sunday Ramadhan Manara...
  10. Countrywide

    Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

    Mimi binafsi huwa simkubali kabisa Lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa, lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana. Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha...
  11. Countrywide

    Picha; Kinachoendelea Kigoma ni Aibu Kwa Chadema

    Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
  12. Countrywide

    Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

    Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea. Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
  13. Countrywide

    Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu

    Ukweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana. Wanaume wachache sana ambao watakataa ni wageni kwenye angle ya mapenzi na muonekano wa wanawake. Hivi vitumbo vipo sex sana, simaanishi...
  14. Countrywide

    CHADEMA yampinga Lissu

    Tukiwa tunaendelea na majonzi ya kumpoteza kiongozi wetu Membe basi tuangazie pia yaliyojiri huko kwingine. Chadema kupitia uongozi wa juu umejibu shutuma na kauli za lissu na kusema "madai yake sio ya kweli. Chadema imesema katika maridhiano Hakuna sehemu wamekubaliana na serikali kuhusu...
  15. Countrywide

    Lissu Kuendelea na Ziara Huku Taifa likiwa Kwenye Msiba Sio Sawa

    Lissu anaendelea na mikutano yake Kama kawaida huku taifa letu likiwa na msiba mzito Sana. Hii ni dharau na kukosa utu kabisa. Hatukutegemea Lissu kufanya jambo la ajabu kama hili. Kweli kabisa hata aibu tu. Ni kina nani huko chamani wanamuogopa Lissu? Kweli wanashindwa kumueleza anachofanya...
  16. Countrywide

    Tetesi: P Diddy Ameaga Mashindano, Ameleft Group

    Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani. Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe...
  17. Countrywide

    Bongo Kila Mtu Mchambuzi wa Soka. Nimehesabu Hadi Sasa kwenye Media Kuna Wachambuzi 124

    Hivi kwa nini sasa hivi kila media ina wachambuzi wengi wa soka? Kipindi kimoja wachambuzi 8? Kuanzia asubuhi, mchana na usiku kote Kuna vipindi vya uchambuzi. Kuna redio moja kipindi cha lisaa limoja kuna wachambuzi 8 Kuna media nyingine kuanzia saa 3 asubuhi ni uchambuzi, saa 5 kwenye...
  18. Countrywide

    Lissu Amekengeuka? Chama Kinaweza Kumchukulia Hatua? Ipo hivi...

    Baada ya kujificha muda mrefu hatimaye Lissu ameamua kumwaga mboga kwa kuweka wazi msimamo wake, huu msimamo haujapendwa na viongozi wenzie ndani ya chama. Mara nyingi nilikuwa nikiwaeleza hapa Ila mlikuwa mnakataa, sasa mambo yapo hadharani. Lissu Amekengeuka, Lissu anasema viongozi wenzake...
Back
Top Bottom