Search results

  1. nyamatala.

    Naitaka CHADEMA ya mwaka 2014 kurudi nyuma

    Ukweli ni kwamba wamekua watu wa kulialia tu hamasa hakuna hawajengi tena hoja imebaki kuokoteleza tu yaani imekua matatizo mfano miaka uliotaja movement for change m4c opalation sangala kweli walikua wanapendeza Leo mmmm ujinga mtupu tuhoja twa kuokoteza wamefeli wamebakiza mipasho tu kama...
  2. nyamatala.

    Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

    Kilichoandikwa hapa mmezidi kujilegeza zaidi ya wasichana tunatamani tuzae watoto wa kike kuliko nyinyi wa kiume kwani mnaaibisha zamani shoga tulikua tu najua hakusoma leo hii na wenye vyetu bora wa kike kuliko hii mijitu inayo kazwa kutwa kucha haiwezi kazi ngumu inabeba mabegi mchana kutwa.
  3. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Wapiga mzinga wake ndiyo huwa wanamuelewa ila sisi subuutu.
  4. nyamatala.

    Nashangaa Jumuiya ya Kimataifa wanasubiri nini kuhusu Rais Magufuli na utawala wake?

    bora ukalale kabisa wazungu hao unaowatakwa kwao wanaandamana kila siku kupinga nchi zao keapa waafika misaada wana sema waafrika wavivu hawataki kufanya kazi Leo wanaona kabisa mnavyofanya kazi harafu waweke vikwazo ili mkawaombe subutu hapa kazi tu wewe kila rangi utaiona safari hii ila umoja...
  5. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Toka lini mtu akajijiua yeye ni mpumbavu haiwezi kutokea ila tunamtambua mtu mpumbavu kwa vihoja vya kuokoteleza tumewaambia 16%hapo hakuna kitu kilicho fanyika?nyie wapiga mizinga .
  6. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Hisa inakua hisa kwahiyo unataka kusema siyo hisa tuiteje ambacho sijaelewa hapati mgao? au anapata dalaja kitu gani?mdaraja yote nimadaraja tu hadi f nidaraja hapo hoja hakuna kuna 16%swali lilikua wewe hujaona kitu kimefanyika?
  7. nyamatala.

    Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

    Bila unafiki kutoka rohoni apige kama baba wa taifa hili naona nia njema aliyonayo ya kutupereka tunakotajia naunga mkono hoja.
  8. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Porojo mnazo nyinyi 16% kira mgodi hapo hupati kitu kivipi?acheni kufanya watanzania wajinga kiasi hiki.
  9. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Kila mgodi hisa 16%×3=48 haya siyo mafanikio? unajua tupo sisi tuliokua tunafanyakazi kmcl badae barrick badae accacia Zito ni porojo hana jipya ukiona ana piga kelele hivi njaa imempiga hapewi tena bahasha kama zamani Rais magu kathubutu na anaweza.
  10. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Jipya kwa zitto hakipo tofauti na porojo na ndiyo maana watu hawastuki wanamjua vema ,hata kwenye hoja ya buzwagi aliitosa chadema nao wakamtosa siyo wa kumuamini hata kidogo.
  11. nyamatala.

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Hawezi kujibu wala kurudi humu wamuulize hoja ya mgodi wa buzwagi ikufa vipi?huyu hana jipya .
  12. nyamatala.

    Jicho la tatu: Utenguzi huu ni mkakati wa kuua ndege wawili kwa jiwe moja

    Kwanza nakupongeza sana salary slip kwa mtazamo wako najua kesho unaweza kua pay slip swali langu kwako mgodi huu ni mpya au ni wa zamani?kama ni wa zamani na kuna hisa 16 kila mgodi hujaona kazi imefanyika hapo kama ni hapana ungekua wewe ulitamani wazungu hawa wakupe nini?
  13. nyamatala.

    Kada wa CCM Anauliza; CCM Inapenda Wasio Uwezo au Wasio Uwezo Ndio Wanaipenda CCM?

    Aliyewaambia hari mbaya nani?wewe ni mwana ccyemu.
  14. nyamatala.

    Tanzania Says Acacia Mining Won't Be Allowed Role in Country

    Unachosema kinaweza kua au la kwakua barrick anataka kununua his a za Acacia akashia hataki kwako wewe usiye mpumbafu kati ya Barrick na Acacia nani anatambulika na serikali jibu ni Barrick kwa maana hiyohiyo hapa Acacia anamshitaki nani?povu limekua jingi kweli nikadhani huyu mwakilishi wa...
  15. nyamatala.

    SWALI LA KIZUSHI: Kwa nini aliyepata Divisheni Ziro azuiwe kujiunga Chuo?

    Yule ziro mbona alimaliza miaka kumi kulikua na shida gani ? na kama zero in janga kwa nini na yenyewe iitwe division hoja ipo hapa hakuna mwenye division zero anaetembea uchi huyu nae asome chuo.
  16. nyamatala.

    Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Mtoa hoja namba 2/au pili kasema tuwe tunaweka Uzi wakumshauli rais ili nchi yetu upige hatua kuelekea uchumi wa kati tumegundua anasoma sana huku jamii f tuache Kubeza ,matusi sasa imeonekana hakuna maana yeyote ile naungana na mtoa hoja,Leo hii mtatiro anakopesheka.
  17. nyamatala.

    Tanzania Says Acacia Mining Won't Be Allowed Role in Country

    Acha ujinga na roho ya husuda kesi ndiyo nini acacia haitambuliki basi aje barrick tuongee sisi niwenye nyumba Mpangaji hapangi ukarabati wa nyumba pasipo mwenye nyumba kufahamu.
Back
Top Bottom