Search results

  1. mwakitebe

    Huu upendeleo na ubinafsi wa CHADEMA hawawezi kubaki salama

    Ningekuwa mm ndo JPM nisingemuacha Tund lis salaama, hovyo kabisa huyu mtu yaan ningemmaliza mapema sana maana huyu mtu alishanunuliwa na Mapebari kitambo sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwakitebe

    Mtu yoyote anayeifahamu Kikomelo secondary school iliyopo Bukoba vijijini

    Mtu anauliza cha ajabu hakuna anayetoa ushirikiano zaidi ya kushambuliwa jamii forum ya sasa hovyooooo
  3. mwakitebe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
  4. mwakitebe

    Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Baba kama huna kadi ya manjano hutaingia south bora utafute kabisa hapo zimbabwe
  5. mwakitebe

    Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

    Umenikumbusha jombi ndugu, huyu bwana mkubwa alitisha sana mbeya miaka ya 90
  6. mwakitebe

    Njaa mbaya sana mweeeh

    Akili kumkichwa
  7. mwakitebe

    Uchumi wetu unaendelea kukua kwa kasi...

    Binadam wa Kitanzania wana shida kubwa vichwani mwao . Sikutegemea kama bado tuna watu wenye uelewa mdogo kama wewe. Pima mambo usikurupuke
  8. mwakitebe

    Uchaguzi mkuu ujao 2020, Mola jaalia

    Nin wasiwasi sana na uwezo wako wa kutafakari lakini pia huenda darasa pia kwako lilipita mbali sana
  9. mwakitebe

    Diploma Holders

    Jitahidini kujisomesha japo kwa kujikongoja wapo wenzenu hali ni mbaya zaidi yenu kuweni makini na wapole Mheshimiwa yuko sahihi sana
  10. mwakitebe

    Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

    Sijawahi kuona Nchi yenye watu wasio wazalendo kama Tz . Kwakweli Mheshimiwa ikiwezekana atumie viboko ndo tutakwenda
  11. mwakitebe

    Natafuta kazi ya kujitolea inayoweza kunifinance nauli na chakula tuu(Dar es salaam)

    Sidhani kama unaweza saidiwa humu ila nakushauri nenda kwenye Organization mbalimbali ongea nao moja kwa moja ukiwa na CV zako mkononi itasaidia zaidi
  12. mwakitebe

    Msimamo wa Rais Magufuli na Tanzania kwa Ujumla Suala la Syria na Urusi

    Hili ni group la wenye uwezo wa kujibu hoja sio unakurupuka kama jina lako.tatizo mnavamia mitandao hadi imefika mahali mmeharibu mvuto wa jamiiforum
  13. mwakitebe

    Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    Duuu aiseee mimi ni mwalimu lakini lazima uangalie aina ya adhabu kwa mwanafunzi kulingana na kosa na kwa kuzingatia kuwa wote ni binadam aisee
  14. mwakitebe

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina huawei y 625 nataka 150000. 0654012287
  15. mwakitebe

    Je, Unamjua huyu?

    Lizaboni ndo nanii?
  16. mwakitebe

    List ya beach nzuri DSM

    Kunduchi beach ndo top
Back
Top Bottom