Search results

  1. C

    Mmiliki wa kampuni ya Northern Engineering ya Arusha hawajalipa mishahara wafanyakazi wake

    Wewe ni Kiazi, mshara umechelewa 10 days unapiga kelele mtandaoni. Kaulize polisi, walimu, TRL wakupe uzoefu wao. Huyu ni mzawa anapigana sana ss kuchelewa few days mnaanza andika umavi wenu, nini zaidi ya wivu? I hope angekupata akulipe hata mshara wa mpaka June kisha akuonyeshe mlango wa...
  2. C

    Wabunge 10 bora na dhaifu katika kuchangia bajeti kuu ya serikali 2012/2013

    Mtoa Mada umetoboa hata standard 7 kweli?!!? Upuuzi mtupu
  3. C

    Bernard Membe hahusiki na MODSPAN

    Membe haitaji Kuwa ktk tenda board, inajulikana nchi yetu ki-memo kinamaliza yote. Membe ni moja ya jamii ya panya. Hatuitaji ushahidi kwani ndivyo wanavyofanya wakijua hakuna material evidence ya kuwatia hatiani, but just common sense he did I it.
  4. C

    Wabunge kulipwa 160m kiinua mgongo: Sheria na Kanuni inayotumika hii hapa

    Katika hili hakuna cha cdm, ccm, cuf au viwavi wengine, wote tulikatae na kila chama chenye uwakilishi bungeni kitoe tamko la msimamo wake juu ya huu ufisadi wa mchana kweupe. Hii inaonyesha jinsi wanasiasa wanatuona watz mazuzu. Aanze nape, mnyika, matatiro tunataka kujua vyama vyenu...
  5. C

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    im speechless.....Hii ndiyo sababu haswa tunahitaji Katiba mpya ambayo itahitaji Bunge li-approve uteuzi wa viongozi wa juu kama hawa. Ukiangalia CV ya Saada(Fedha) na huyu Mhagama ni kama utani lakini ndio hivyo tena. I dont know what they are thinking.
  6. C

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Wewe ni shabiki mbuzi. 1. Jaribu kutofautisha "R" na "L". 2. Hapa hatuongelei CDM tunaongelea waziri wa fedha mwenye dhamana kubwa katika maamuzi ya uchumi wetu. Elimu yake imepinda lakini ww unamweka sahani moja na Sugu. Katika wabunge 200+ wa ccm huyu ndie most suitable?? JK aliambiwa Mulugo...
  7. C

    Kilichowaangusha 'wasaliti' ndani ya CHADEMA hiki hapa

    Wakuu msimwogopeshe zzk jamani.
  8. C

    Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    Wewe kama huna point ya kuchangia humo JF kaa kimya, inaonyesha ulivyo na fikra dhaifu, na umashuhuri wako wa kutumia ma------ kufikiri.
  9. C

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Wewe kweli una akili finyu January ana uwezo gani wa kuwa raisi au ni hizo kelele anapiga hapo Bumbuli zinakutia nyege? Bumbuli kwenyewe amepita kwa kulazimisha, walimfanyia unafiki mzee wa watu kumpa makamba. Bungeni zaidi ya kuwa kama bendera hakuna la zaidi analofanya zaidi ya kufuata upepo...
  10. C

    CCM acheni unafiki ...!

    Wewe unashabikia upuuuuzii, ukifuatilia Mambo ya ndoa Mkuu wako wa nchi mwenyewe utamgusa tena sanaaaa. Kwahiyo unataka ajiuzulu? vikaza ndoa(nyumba ndogo) ni vitu vya kawaida acha kujifanya SAINT. Siasa ni siasa, zzk anaona kafumaniwa kwenye unafiki na usaliti anaibua mambo ya ndoa za watu...
  11. C

    CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

    Hakikisha mnavua werevu magamba na kuwavalisha magwanda. Big up t.a.
  12. C

    Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    nguvu ya zito ulyoiona wewe ni ipi,? wewe ni moja ya washamba katika siasa, uko kwa ajili ya watu/mtu badala ya kufuata sera za chama husika. use your head to think not ma------. hata mahakama itoe uamuzi gani tunachojua huyu mnafiki sio MEMBER WA M4C TENA! kama ni ngumu sana kuamini jitundike.
  13. C

    Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

    Hujawahi kuwa CHADEMA, uko CUF kunakufaa ukawe Bi mdogo mwingine wa ccm.
  14. C

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Mfa maji haachi kutapa tapa, zitto kushnei. Kashfa ya kupewa magari, hajaikubaliwa wala kuikataa, badala yake anajufanya kutoa the same. Mbowe ameshakanusha, yeye? awe mstaarabu kama Wenzake wamekubali makosa na adhabu yeye anajifanya Mungu mtu.? Zito anaonyesha utovu wa nidhamu na lack of...
  15. C

    OFFICIAL: CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba...

    Viva CHADEMA, Zitto anavyopenda sifa, cheo, ukubwa, kulabwa labwa, walahi sasa hivi atakuwa analika kuliko rafiki yake Kafulila. atemwe please mahakama j3 imtose tumtose.
  16. C

    Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Chadema wanapaswa kupongezwa kwa ujasiri walioufanya. sio siri kinachozuia kunyofolewa Zitto ni court order kwani makosa yake ni mazito kuliko hata akina Mkumbo ukizingatia dhamana aliyokuwa amepewa na WanaChadema. VIVA CHADEMA
  17. C

    CHADEMA wakunjana mahakamani Dar es Salaam kwenye kesi ya Zitto Kabwe

    Wewe unafuatilia hii issue kwa kutumia ma------ nini? CHADEMA hawajakimbilia mahakamani, aliyekimbilia huko ni M-ccm Zitto, ameagizwa na ma-boss wake jinsi ya kuzuga apate upendeleo wa ku-hang around ili awape mkono kwenye bunge la Katiba. Zitto ni Mnafiki, na anajua hata NCCR hawamtamani kwani...
  18. C

    Sheikh Ponda asomewa mashtaka akiwa amelazwa Muhimbili!

    "PIGA UA-PINDA PROJECT" Unaetegemea waliompiga risasi Ponda washtakiwe utasubiri mpaka ufe. Kamati iliyoundwa haina cha kufanya kwani maafande walikuwa wanatekeleza amri ya boss Pinda "PIGA". Ukweli Ponda simpendi kabiiiisa ILA walichomfanyia ni UNYAMA. Ikitokea siku hata mimi Ba Riz and...
  19. C

    Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    pole mkuu, wawil!!!!? Labda ar pekee, welcome to dsm and witness those wheels around i got more than 5 around
  20. C

    Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

    wewe kama huna comment weka mikono kwenye ma------ yako, sio kundika pumba, usione sifa kuitaja CHADEMa kwenye issue kama hii wakati unaju sio siasa. Kimtazamo tu inaelekea una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Back
Top Bottom