Karibu sana mkuu hapa songea.nauli ni 45000/=. basi zuri la wewe kupanda ni Superfeo na hotel au lodge nzuri ni Heritage cottage.Hii ipo njiani kabisa eneo la msamala unashuka gari kituo cha Mauki.Hapo nyuma tu ni hotel wala huhitaji taxi.
anaweza akakwepa ukimwi lakini atajuta maisha yake yote.wanaume ni watu wabaya wanapenda wafanye wao ukifanya mwanamke shida.kama hujafanya nakushauri uache.
i am new to php scripting.I have created a login page. but all other registered users are accessing only one member access page. I want to make a script that will allow members to login to their different members home page with their names. Please i need step by step guide.
mungu akulaaaaaaaani,wakati unapokea vitu vyake hukujua kama sio msomi.maskini wa mawazo wewe,maisha ya ndoa cio usomi ni hekima.umeniboa mpaka nasikia kutapika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.