Search results

  1. Muwindaji

    Mwenye mashine ya kutotolesha mayai ya Bata

    Habari wanajamvi... Natafuta mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai ya bata.. Nipo Dar-es-salaam Namba ya simu 0712138156 Anicheki humu au ani-pm
  2. Muwindaji

    Tractor linauzwa bei nafuu

    Wanabodi na wajasiriamali husika na kichwa hapo juu. Hii ni tractor aina ya MASSEY FERGUSON. inauzwa na jembe lake kabisa. Lipo Dsm, ila biashara inafanyika ukiwa popote. Bei ni Milioni 23(negotiable). Kwa maelezo zaidi na ukitaka kuliona au kutumiwa picha zaidi nicheki kwenye namba hii...
  3. Muwindaji

    Tractor used linauzwa

    Habari wadau. Hili ni tractor aina ya Massey Ferguson Horsepower 255. Tunakupatia na jembe lake bure ukinunua tractor. Lipo maeneo ya Bunju. Japo biashara itamuhusisha mtu aliyepo popote. Kwa mawasiliano zaidi Piga namba hizi: +255712138156
  4. Muwindaji

    Kuisifia serikali ya awamu ya nne, ni sawa na kusifia kuzikwa kwa mchakato wa KATIBA MPYA.

    Habari zenu wanabodi, Natumai weekend inakwenda vizuri popote pale mlipo. Binafsi nikikumbuka swala la katiba mpya moyo wangu unafadhaika sana. Nakumbuka jinsi tume ya kukusanya maoni ilivyoendesha mchakato ule kwa usahihi na uamimifu mkubwa na wananchi wa kawaida tulipata nafasi ya kutoa...
  5. Muwindaji

    Wafuatiliaji wa siasa, bado tunasubiri TAMKO rasmi la CHADEMA juu ya kufutwa kwa uchaguzi wa Kenya

    Salaam wakuu. Mpaka sasa tumekaa very attentive kusikiliza tamko rasmi la chama cha demokrasia na maendeleo kuhusu kufutwa kwa uchaguzi wa Kenya. Chama hiki kilitoa pongezi za dhati, tena mara mbilimbili huku wakisisitiza kua uchaguzi huo ulikua safi na wa uhuru na haki. Muda mwingi...
  6. Muwindaji

    Je wajua? Bank kuu ya marekani haimilikiwi Na serikali ya marekani?

    Mambo usiyoyajua kuhusu bank kuu ya marekani(federal reserve bank). 1. Federal reserve sio sehemu ya serikali ya marekani. Au kwa kifupi serikali ya marekani haimiliki benki kuu yake. 2. Mabenki binafsi ambao ni wanachama wa Federal reserve ndio wamiliki wa benki kuu hiyo. Na uuzwaji wa hisa...
  7. Muwindaji

    Ukweli Mchungu Kuhusu Matangazo Ya Bunge Live

    Kimsingi, Dola inakua na mihimili mitatu, yaani Bunge, Serikali na Mahakama.. Kwa vile Ibara ya 8 ya katiba ya Jamhuri ya Tanzania 1977(Kama ilivyorekebishwa mara kwa mara) inasema mamlaka ya nchi yapo chini ya wananchi, Bunge ni mhimili muhimu sana kwasababu unawakilisha Sauti ya mamlaka...
  8. Muwindaji

    Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    Habarini wanajamvi! Waswahili wana kamsemo kao wanasema, Ukiwa Muongo, usiwe msahaulifu! Edward Ngoyai Lowassa ni mmoja kati ya wanasiasa wazoefu, na wenye kipawa kikubwa cha ushawishi na ukongwe wa kujua kila baya linalotokea ndani ya siasa za nchi hii. Watu wa karibu wa bwana Edward Lowassa...
  9. Muwindaji

    CHADEMA msiwaongopee wafuasi na wanachama wenu kuhusu Zitto Zuberi Kabwe

    Hebu turudi nyuma tuweke jambo hili sawa, kabla ya kuibeba historia ikiwa na takataka za uongo na propaganda. Jambo hili lilifanyika na likavalishwa koti ya propaganda na kuufanya ukweli usipate nafasi ya kujipenyeza. Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu(kama sikosei), barua ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe...
  10. Muwindaji

    Wana-JamiiForums hebu tuje tujibu hili swali, ili tuondoe ukakasi...

    Hebu tuulizane kidogo: Ulipokua unasema Lowassa ni msafi kwasababu hakuna mahakama iliyotoa maamuzi juu ya tuhuma zake za kifisadi, utasemaje Prof Muhongo mtu ambaye alijiuzulu kwa shinikizo la bunge akahojiwa na kamati ya maadili na hakukutwa na kosa la kimaadili kua hafai kupewa uwaziri?
  11. Muwindaji

    Wana-JF hebu tuje tujibu hili swali, ili tuondoe ukakasi...

    Hebu tuulizane kidogo: Ulipokua unasema Lowassa ni msafi kwasababu hakuna mahakama iliyotoa maamuzi juu ya tuhuma zake za kifisadi, utasemaje Prof Muhongo mtu ambaye alijiuzulu kwa shinikizo la bunge akahojiwa na kamati ya maadili na hakukutwa na kosa la kimaadili kua hafai kupewa uwaziri?
  12. Muwindaji

    Magufuli anawa-prove wrong waliodai tatizo ni mfumo na sio mtu

    Mfumo ni muunganiko wa muundo, njia zilizowekwa na watu(au sheria) katika kutatua shughuli flani, kufanya kazi fulani na kuhakikisha jambo fulani linafanyika kama linavyotakiwa lifanyike. Mfumo unabeba watendaji, wasimamizi na viongozi ambao kazi yao inakua ni kuhakikisha mambo yanakwenda sawa...
  13. Muwindaji

    UTAMADUNI WA KUHOJI UNAVYOYEYUSHWA NA DHANA YA "KUNUNULIWA" (Opinion)

    Kwanza, kabla sijaanza kuzungumzia swala hili naomba niweke msimamo wangu wazi bila kuficha, mimi ni kijana mzalendo ambaye sio muumini wa chama chochote cha siasa nchini Tanzania, na ambaye nakerwa kupita kiasi na swala zima la ufisadi lilifanywa na serikali ya CCM katika kipindi cha...
  14. Muwindaji

    Tangazo kwa UMMA wa Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Bendera hapo chini ni alama inayowakilisha au kutambulisha jamii ya watu wa jinsia moja. Yaani mashoga(watenda na watendewa), wasagaji, na kiujumla waumini wa mapenzi ya jinsia moja. Bendera hii ilitengenezwa kwa mara ya kwanza huko Marekani, Mjini San Fransisco mwaka 1978. Kwa watumiaji...
  15. Muwindaji

    Wanasiasa wetu msilikenulie meno zimwi hili; tutajikuta pabaya...

    Kilio changu kili[...], kina[...] na kitaendelea kuhusu madhara ya sera za kibeberu za Marekani na washirika wake wa Magharibi ndio chanzo cha umwagaji damu wote unaotokea hapa Duniani, na tutaendelea kuteseka kwenye hili mpaka Kila upande, nchi au watu watakapokua tayari kuupinga kwa...
  16. Muwindaji

    Al shabaab; ugaidi wa Dunia kwenye kiganja cha Marekani

    Kilio changu kili[...], kina[...] na kitaendelea kuhusu madhara ya sera za kibeberu za Marekani na washirika wake wa Magharibi ndio chanzo cha umwagaji damu wote unaotokea hapa Duniani, na tutaendelea kuteseka kwenye hili mpaka Kila upande, nchi au watu watakapokua tayari kuupinga kwa lengo...
  17. Muwindaji

    Funzo kwa Tanzania: Siasa za kutaka kujisafisha; Uhuru Kenyatta anavyowaponza wakenya...

    SOMO KUBWA tunalolipata kuhusu matukio ya kigaidi yanayoikumba Kenya ni kwamba; TUSIWE VIMBELEMBELE na kujifanya tunaweza wakati usalama wetu wenyewe wa ndani unatushinda kuulinda! Nikianza na tukio lililokua kama kitovu cha ugomvi mkubwa kati ya Al Shabab na serikali ya Kenya, ni lile...
Back
Top Bottom