Search results

  1. wakikosi

    Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

    Sijasikiliza radio miaka mingi sana,inafika miaka 10
  2. wakikosi

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Kuna TV za Mo Dewj zinaitwa Maisha,hizo ziko poa sana zina picha nzuri lakini pia zina vipoozeo vya umeme kwa ndani. Ninayo ndani kwangu wala sijutii
  3. wakikosi

    Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Karibu Dar nzima,maana asubuhi nilikuwa Mbagala na mchana na jioni nipo Ununio,Kawe huku hali ni hiyohiyo
  4. wakikosi

    Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Leo 20 January mtandao wa airtel umekuwa down kabisa, sms haziendi, Internet imegoma na huduma za airtel money zimekuwa chini sana ku process. Yaani nimepata hasara sana leo pia nimeshindwa kuwasiliana nipo pande za Dar hapa. Airtel mtufidie wateja wenu kwa usumbufu huu
  5. wakikosi

    Watanzania tujifunzeni kiarabu

    Ukitaka kutambika au kuongea na mizimu ya kichagga sharti uongee kichagga ndipo inakuelewa vilevile kwa mizimu ya kigogo,kihehe etc Napata mashaka na hiki kiumbe kinaitwa Allah kwa nini lazima uongee kiarabu tu ndipo unawasiliana nae??
  6. wakikosi

    Walimu kumbukeni hakuna mshahara mwingine mpaka tar 22 ijayo

    Mimi ni mwalimu lakini sijawahi kukopa mahitaji dukani kwa mangi au muha tangu nianze kazi mwaka wa 9 huu. Na maisha nayapeleka fresh tu watoto wanasoma shule za watakatifu
  7. wakikosi

    Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Wewe ni tapeli tu. Na wala sio mwanamke
  8. wakikosi

    Reli ya TAZARA taabani

    Kazi ipo
  9. wakikosi

    Reli ya TAZARA taabani

    Nafikiri tunapoteza mihela tu hata reli ya mwendokasi haitakuwa na tija wala faida kwa mienendo ya watanzania
  10. wakikosi

    Reli ya TAZARA taabani

    Usafirishaji wa mizigo, abiria pamoja na utoaji wa huduma kwenye reli ya TAZARA ni kama umekufa au upo kwa kiwango cha chini sana. Lengo la Mwl Nyerere kujenga reli ya TAZARA ilikuwa kurahisisha utoaji wa huduma za Usafiri wa binadamu na mizigo baina ya Tanzania na nchi ya Zambia lakini hadi...
  11. wakikosi

    DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

    Mimi kama mzazi nina mtoto anasoma primary hapo St Matthews changamoto ni kuwa wale walimu wa zamani wazoefu kwa ngazi ya primary wameondolewa wengi na kwa sasa kuna walimu wapya ambao wana struggle ku copy na hali ya wanafunzi
  12. wakikosi

    Pwani: Kisiju watu wanaswali kuliko kazi

    Watu wa mkoa wa Pwani ni wa ajabu Nilipeleka TV kwa fundi aitengeneze,muda wa masikini ukafika fundi akaacha TV yangu akaenda masikini kuswali. Huku nyuma watoto wakaja ofisi haina mtu wakavunja TV yangu kioo kwa jiwe. Da nafika kwa fundi baadae nichukue TV yangu ananiambia alienda masikini...
  13. wakikosi

    Safari yangu ya Botswana na Niliyoyaona huko

    Mimi ndio nimezaliwa hapa hapa bongo na hadi leo Mwanza tu sijawahi kufika,napaona kwenye TV tu. Life is not fair
  14. wakikosi

    Uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni uamuzi mbovu sana

    Tatizo serikali inafanya recycling [emoji748] ya mawaziri ni kama nchi hii haina vijana au watu wengine wenye uwezo wa kuongoza. Yaani mtu alikuwa Wizara ya nishat amefeli ,alafu huyohuyo unampeleka wizara nyingine. Mtu mmoja anakuwa waziri wa ulinzi,michezo,afya,kilimo huyo huyo sasa sijui...
  15. wakikosi

    Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Kituo kipo kigamboni,eneo la mji mwema
  16. wakikosi

    Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

    Mzee Mengi alioa akiwa na miaka 70 na akapata watoto wawili mapacha. Wewe miaka 36 bado mtoto mdogo sana
  17. wakikosi

    Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

    Sisi mambo ya kusilimu mtu yana umuhimu gani kwetu?? Mtu akiwa mkristo,muislamu,Hindu au asie na dini wote ni binadamu. Na hakuna mtu aliekufa alafu akarudi kusimulia kuwa kule mbinguni kuna waislamu tu,au ni mbingu ya wakristo tu. Tuwe na misimamo kiasi ya dini utaishi vizuri na watu popote...
Back
Top Bottom