Search results

  1. MKITO

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    "haya sema maneno haya wajinga ndio waliwaoo*2" dawa ya kweli ya vidonda vya tumbo ni kula kwa wakati kama tumbo limeshaanza kuuma kula sana mboga za majani na matunda ila epuka matunda yenye acid..punguza futa sana kwenye mboga zako mabo ya nyanya nya inabidi upunguze au uyasahau kwa muda..na...
  2. MKITO

    Msaada Ibara ya 45 isije ikawa ni ruksa kwa u*s*h*o*g*a

    Haki za makundi madogo katika jamii 45.-(1) Mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria utakaowezesha makundi madogo katika jamii: (a) kushiriki katika uongozi wa mamlaka za nchi; (b) yanapewa fursa maalum za elimu na fursa za kujiendeleza kiuchumi na fursa za ajira;na (c) kutengewa...
  3. MKITO

    Mitambo ya gas Ubungo yavuja

    du ndo maana leo nimepita mida ya saa 10 alfajiri hakuna umeme sehemu kubwa ya viwanda maeneo ya pugu road na taa za katikati barabarani ya nyerere haziwaki
  4. MKITO

    Ubaguzi regency hospital nimeona sijasimuliwa-ukiwa na bima hapafai

    mie nimekaa nikaona bora hospitali kubwa zishinikizwe kutumia mfumo kama wa crdb ya makumbusho....ukifika unachukua namba ya digiti na kuingia kwa daktari iwe ni mashine ya umeme isome namba YAKO, hapo tutakomesha ubaguzi
  5. MKITO

    Ubaguzi regency hospital nimeona sijasimuliwa-ukiwa na bima hapafai

    asante mkuu kwa maelezo mazuri ila yule nes na mgonjwa aliyekuja nyuma yangu kwa mazungumzo tu wanafahamiana ..maana daktari alisema anaona mgonjwa wa mwisho kabla ya kuenda raundi arejee badae lakini mhhh !! doctor akamwambia nes naona mmmoja wa mwisho nesi akamwambia bado mmoja ndio mimi sasa...
  6. MKITO

    Ubaguzi regency hospital nimeona sijasimuliwa-ukiwa na bima hapafai

    Ukiwa na bima hapa ni shida nimeitwa kuingia kwa daktari akaja mgonjwa nyuma yangu na fail mhudumu kamruhusu mie kaniacha pale aliponiita awali
  7. MKITO

    Star times hawataki usome taarifa hii.

    quality ya Tv nyingi itadhurika maana TV NYINGI HAZIJAjiICONVERT to digital we angalia quality ya CITIZEN TV.hapa kwetu kwa kiasi kikubwa camera nyingi zinazotumika field ni home use vile vidogo vya kupigia harusi..nenda mikoani ndo utaona..lazima pia media zikubali kuoutsource vipind kwa watu...
  8. MKITO

    Mshindi wa bongo star search anusurika kufa

    mshindi wa mwaka 2009
  9. MKITO

    jaman hii tanzania loans society ni ya nan hasa

    HATA MIE SIJAISOMA LABDA WANAOJUWA WATUSAIDIE LINK YAO NI HII MKIIJUWA MTATUPASHA TANZANIA LOANS SOCIETY: MIKOPO YA FEDHA KWA KILA MTANZANIA
  10. MKITO

    Mshindi wa bongo star search anusurika kufa

    UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE "Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka na gari natoka Mbeya kwa huduma nimeumia mguu mmoja kavunjika yote miguu hapa Kitonga namchungaji nilie kua nae imepInduka mara3 lakini na aihimidiwe Mungu tena bado...
  11. MKITO

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Polisi wamepita kamata wako kasi nadhani wanaelekea yombo
  12. MKITO

    Jerry Muro: Kwa mwenye media aliyetayari tufumue uozo wa nchi hii aje tufanye kazi !

    watanzania kwa kutumia macho tumieni bongo kidogo ndo muongee
  13. MKITO

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    :tape:Inashangaza sana mikoa mingine ni lazima uwe na dish ndo uone tv zingine lakini kura za wasanii Mnaomba nchi nzima ila kuonesha mashindano mnachaguatv inayoonekana kwene madish na mikoa 6 kwa WATU antena michache mnaacha kupeleka katika tv zenye kuonekana nchi nzima jamani tbl someni ripot...
  14. MKITO

    Fungu la mchicha limefikia ShT. 1000/=

    Acheni akili za kwene chupa fungu la mchicha hadi 100 mbona huko oyesterbay 1000 ni kidogo tena wanampuja muuzaji walipaswa kulipa 5000 mua wote watu mawazo ya kinyonyaji tu unaendesha gari la milioni 60 hutaki kugharamia msosi unalipa kodi milion kwa mwezi sasa mchicha buku unalalamika kha?
  15. MKITO

    Akili kumkichwa

    Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. ... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua...
  16. MKITO

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    Hapa nionavyo mimi gondwe sio tatizo tatizo ni programming za media zetu hawana specialization so jambo hili ndilo tatizo la kushindwa kujua mtu kama gondwe anafiti kipi zaidi.......so gondwe sio tatzizo zinginezo zilizosemwa ni changamoto tu katika kazi yake
  17. MKITO

    Business opportunity

    Omba omba huyo hana lolote anataka kuchungulia mifuko mulika mwizi men
  18. MKITO

    Je huu ni utapeli?

    mulika mwizi huyooooooooooooooo aGHRRRRRRRRRRRRRRRRRJMK,
Back
Top Bottom