Search results

  1. E

    Elections 2010 Mgombea Ubunge wa Chadema Arusha mjini afunguliwa Mashtaka kwa kutishia kuua

    hizi ni hujuma za maza wa kizenji ''batilda'' hana jipya hio phd yake sijui ni ya ktu gani, hawezi kueleza kitu gani hasa atakifanya mara atapoingia madarakani. kweli elimu ya bongo ni ya makaratasi zaidi.. hajui kitu huyu maza. Lema lazima aipeperusha bendera ya CHADEMA AR 2010. God bless...
  2. E

    Elections 2010 Dr. Slaa usiache kwenda kwetu

    jk anahudhuria kama mgeni rasmi ktk mpambano kati ya stars na moroco, lazima 2pigwe bao/mabao maana huyu jamaa hata kuwa mshindi kwa chochote mwaka huu labda udiwani kule kwao chalinze, kadeclare failure kwa timu yote. pls jk dont come, stay away...
  3. E

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    asante kunisahihisha mkuu, bila shaka nilimpandisha chart sana jamaa huyu.
  4. E

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Kwa watu makini hawawezi kuamini au kusadiki matokeo yaliotolewa na REDET hapo jana kuwa baba Riz1 anaongoza kwa 76%. Huo ni uwongo na ni ndoto za mchana kweupe, dr. lazima afunike mwaka huu.[/B][/B][/B]
Back
Top Bottom