Search results

  1. Tunkamanin

    Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
  2. Tunkamanin

    Ushauri: Online class masomo ya sayansi katika kipindi cha corona wapewe walimu wazoefu

    Ushauri: Online class masomo ya sayansi katika kipindi cha corona wapewe walimu wazoefu;- Muddy physics, Mgote, Mbuga, Mkandawire na makumaku Kutokana na mchango mkubwa wa hawa manguli wa lecture za mitaani hasa maeneo ya mchikichini. Kwa wale waliosoma miaka hiyo, nadhani wanakumbuka mchango...
  3. Tunkamanin

    Faraja na matarajio ya watanzania kwa Rais wao mpya "Kazi na Bata"

    Kwa uchache roho za wengi zinaanza kupoa, usiku unaanza kupambazuka, asubuhi yenye upepo mwanana, inasindikizwa kwa mbali na milio ya ndege wazuri. Baada ya taarifa za BM kuonesha nia ya kugombea urais 2020 watu wengi wameanza kuona faraja mbele yao, mbadala wa maisha magumu yaliyopo, mbadala...
  4. Tunkamanin

    PROF LIPUMBA: Hazina pekee yenye nguvu kubwa ya ushawishi iliyobaki upinzani 2020

    Kwanza kabisa jamaa hana siasa za propaganda ni mpambanaji kweli tangu ameanza siasa zake utamuona front line. Pili sio mwanasiasa wa kupinga kila kitu,ukiangalia comment zake nyingi kwa serikali ni kupinga panapostahiki na kupngeza au kuunga mkono panapostahiki. Tatu jamaa ni msomi aliyebobea...
  5. Tunkamanin

    Maputo yaipiga bao Da r es salaam

    Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC New bridge spans Mozambique capital
  6. Tunkamanin

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Quran leo Taifa

    Leo kiongozi wetu wa kitaifa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amealikwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi kitabu kitukufu cha Quran yaliyopangwa kufanyika katika uwanja wa taifa wa Daressalaam. Mashindano yameandaliwa na Alhikma foundation chini ya usimamizi wa shaikh Nuur...
  7. Tunkamanin

    Mji wa Ruangwa anapotokea Waziri Mkuu kiza totoro, maji hamna wiki ya 3 sasa

    Nikiwa kama mwekezaji mdogo katika mji huu wa Ruangwa ambao dhamana ipo kwa Mh. Majaliwa imenibidi nifunge biashara zangu na kurejea mkoani kwetu baada ya mji huu kukosa umeme wa uhakika kwa muda mrefu. Inafikia kipindi takriban siku mbili mflulizo bila ya umeme, vyakula vinaharibika kwenye...
  8. Tunkamanin

    Rais wa manispaa ya Nampula nchini Msumbiji auawa kwa Risasi na watu wasiojulikana

    Tarehe 04-oct ni siku ya kusainiwa mkataba wa amani nchini msumbiji kutkana na kusimamishwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Renamo na Frelimo chama kinachotawala nchi hiyo. Ndani ya siku hiyo ambayo ilikua mapumziko mji wa Nampula uligubikwa na simanzi baada ya meya au rais wa manispaa ya...
  9. Tunkamanin

    Kuhusu Fake News mkuu Maxence Melo atoa maoni BBC

    Namuona mkuu akifunguka kuhusu uzushi katika mitandao ya kijamii, akichangia kuhusu utafiti uliofanywa na BBC. Hongera kwa JF Zaidi soma=>Maxence Melo: Watanzania wengi waoga pia kuna taasisi zinaogopwa hazipewi changamoto mtandaoni
  10. Tunkamanin

    Magdalena Sakaya asema mgogoro wa CUF umekwisha; atoa maagizo kwa viongozi wote kujielekeza katika kujenga chama

    Mbunge wa jimbo la Kaliua mkoani Tabora Magdalena Sakaya amesema mgogoro wa chama cha CUF sasa hivi umeisha na akaunti za chama zilizokuwa zimefungwa sasa zimefunguliwa na wanapokea ruzuku tangia wiki iliyopita na kuwaasa wananchama wa chama hicho kukiimarisha chama kwa ajili ya uchaguzi wa...
  11. Tunkamanin

    Maneno ya JK Nyerere yalidumu lakini haya ya Mbowe na Lissu hayajamaliza miaka 6 wanatafuta namna ya kuyakana

    Unafiki ni wa kiwango cha juu. Udhabidhabina, uchumia tumbo, kupenda kupinga kila kitu, kupenda umaarufu yaani kusema ili uonekane umesema, ukigeugeu, usaliti, wale waliokufa kwa kuhamasika nao enzi za ukombozi kama kule Arusha basi leo wangefufuka wangejuta kwanini waliamua kuwapa maisha yao...
  12. Tunkamanin

    Hata kama dunia inazunguka lakini sio kwa kasi hii. CHADEMA HEBU ONENI AIBU

    Yaani kila kauli inayofukunyuliwa ya chadema na viongozi wao juu ya ajenda zao za kisiasa za Mwaka 2010-2013 ni kinyume nyume kana kwamba wao sasa wamekua Ccm na ccm ndio imekua chadema. Kauli za Y. Nyerere na washadadivu wengine wa chadema mpaka viongozi wao zinatia aibu kwa sisi ambao tumeanza...
  13. Tunkamanin

    Prof. Lipumba ataendelea kuwa mwanasiasa bora wa upinzani Tanzania

    Nikirejea kwenye bunge la katiba, nadhani ndiye alikuwa mwanasiasa mahili kwa kujenga hoja za kutetea katiba pendekezwa ya wananchi, Umoja wa katiba ya wananchi ukawa umezaliwa kwa hoja zake, japo baada ya wateule kutengana wabakiaji wanautumia umoja huo kama mtaji wa kisiasa, hoja zote za...
  14. Tunkamanin

    Hapa ndio nimekubali maneno ya babu yetu wa taifa hayati JK Nyerere kwa CHADEMA

    Msikilize Nyerere anavyowapasha Chadema alijuaje kama hiki ni chama cha hovyo? vilevile yanayotokea CUF na ushauri wake kwenu ni vema ukasikilizwa.
  15. Tunkamanin

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Je unakumbuka nini katika maisha yako ya kitaaluma ukitajiwa hawa watu? Kama wewe umesoma sekondari miaka ya 1998 kwenda juu utakua unanielewa sana hapa. Mwenye update za hawa mageneus Wa hapo dar watupe update. Mungu awalipe their nyingi sana kwa kufufua vipaji vingi hapo Tz.
  16. Tunkamanin

    ushauri unahitajika fani gani inalipa katika specialization za medicine kwa bongo

    Kuna jamaa yangu ni general clinician ameniomba ushauri kuhusu specialization nikashindwa kumshauri. Awali alifikiria kuwa orthopedic lakini akahisi kama hailipi sana kwa tz au urologist vipi kwa mliopo vitengo MNA ushauri gani kwenye hili.
  17. Tunkamanin

    Tulimsikitikia mkombozi Amina Chifupa Mungu akatuletea RC wa Dar

    Hii ndio Tanzania nchi ya maziwa na asali yenye watu wanaoitwa watanzania.....watu hawa in wagumu sana kuwaelewa labda nikupe tu utambulisho wao hawa jamaa ni vigeugeu vinyonga na hawaeleweki wanataka nini, pengine nao hawajui wanataka nini, ni watu wa kulalamika sana. Wakipigwa na jua jasho...
  18. Tunkamanin

    Wakulima wa ufuta 2016/2017 mikoa ya kusini Lindi na Mtwara

    Kama kuna watu waliojilipua kwenye zao hili naomba kupata mrejesho maana nasikia watu wanafungasha virago upande wa nachingwea kuna wadudu wanaitwa vibaruti hawasikii dawa wanatafuna majani ile mbaya. Tumejaribu Ninja ... Duduall zote zimeogelea. mweny ujuzi wa hii kitu aokoe jahazi hali ni...
  19. Tunkamanin

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    Ameshushwa kwenye Gari anatoka Mueda to Pemba ana hati ya kusafiri na kadi ya chanjo. Nimeshindwa kupiga picha kuhofia usalama wangu. Tanzania must act, inaonekana polisi hawataki kuona mtu ambaye ni mtanzania huku Msumbiji. Nafuatilia kwa ukaribu matukio, nimepenya ndani. Nanyapia nyapia.
  20. Tunkamanin

    Rais Magufuli anatamani Tanzania ya neema kama libya ya hayati Gadafi

    Amesikaka mara kadhaa raisi wetu katika baadhi ya Hotuba zake, akielezea neema walizowahi kuonja raia wa Libya kabla ya muamar Gadafi kuuwawa, kwa ile ongea yake ni dhahir kabisa anatamani. Matibabu bure, Umeme bure, matibabu bure, mishahara kwa wazee, ruzuku kwa anaeoa na mengineyo mengi...
Back
Top Bottom