Search results

  1. noel2512

    Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Hatuna helikopta tunataka Jet.. wabongo bhana.. tunaanza kutambaa kabla ya kutembea..asante mkuu.. nashukuru sasa wanafanya kazi sio kukimbiza mashoga mijini kama mabasha wa kipemba...
  2. noel2512

    Wasafirishaji wa kuku na ndege wengineo kutokea Kenya kwenda Tanzania

    Habari za leo wadau wa JF.. Kwanza niwape pongezi wadau wote kwa ushirikiano na michango yenu mnayoitoa kila siku. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mdau yeyote anawafahamu watu ambao wanashughulika au wanaweza kusafirisha kuku wazima kutoka Kenya kwenda Tanzania. Na kama kuna viable vyovyote...
  3. noel2512

    Maalim Seif Sharrif Hamad kumbe naye English yake ni shiiiiiida!

    Huh ndio utumwa wa kifikra. Nani kakuambia kwamba upeo au ufahamu wa mtu unatambaliwa kwa uwezo wa kuzungumza lugha za kigeni? Umeshawahi kusikiliza kiingereza cha Gaddafi?, Putin? Sarkozy? au Mao? Usijiwekee pingamizi lako binafsi kwa kudhani lugha ya mkoloni ndio suluhisho, kwani mahojiano...
  4. noel2512

    Ninunulie hii kitu Online nikupe cash za kitanzania. Mie sina Card ya kufanya Online Purchase

    Kamanda nicheki PM naweza kukusaidia kupata hiyo software usiumize kichwa... nipe maelezo yote nikukamatie..
  5. noel2512

    Ramani na michoro ya nyumba

    Alwatani namba yenu ni ipi mkuu au tunawasiliana humu humu JF, kiwandani kwenu mpo wapi mkuu??
  6. noel2512

    Anayehitaji office maeneo ya Mwenge!

    Daah babu ulikuwa unataka kupiga kazi ndefu nini? Hapakufai hapo colleague atasoma michongo yote.. [emoji3]
  7. noel2512

    Shindano la wajasiriamali "Mo Entrepreneurs" lazinduliwa

    Biashara ya mil 10 kwa mwaka huu wa 2016.. labda wanataka mawazo ya kufuga sungura sasa..
  8. noel2512

    Shindano la wajasiriamali "Mo Entrepreneurs" lazinduliwa

    Je, mwenye wazo la hiyo biashara ana miliki asilimia ngapi ya biashara regardless kwamba watoa mtaji na mentoring ni wao mataita? Na nani anamiliki trademark ya hiyo biashara pia? Just curious natilia mkazo kwa ung'eng'e..
  9. noel2512

    Sheria za kuingiza mifugo hai Tanzania

    Habari za leo wadau.. Kwanza poleni sana na misaada yenu mnayotoa katika kuelimisha na kutusaidia kwa namna moja au nyingine humu kwenye forum. Mimi nataka kuanza ufugaji wa bata maji aina ya pekin ila nimejaribu kuulizia maeneo mengi ya bara na visiwani na kwa watu wengi wanaouza bata kama...
  10. noel2512

    Mnaotamani kuoa mwanamke wa Kikenya mje mjionee

    Hawapigi kofi hawa ji vichwa pamoja bisu unashikiwa maana wanakata naniliuuu cku hizi.
  11. noel2512

    Natafuta bata aina ya Pekin

    Nipo Dar ila popote walipo wanaweza kufuatwa mkuu haina shaka kabisa.
  12. noel2512

    Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

    His daughter.. lugha wito mkuu embu rudi njia kuu usipotoshe ujumbe.. hahaaa
  13. noel2512

    WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

    Umbea wako ukamnunulia smart phone sasa unalalamika nini, acha ugongewe tu kwani nokia tochi hakuna..
  14. noel2512

    Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Na ww anika chupi zako dirishani kwake.. ngoma droo..
  15. noel2512

    Hivi binti akikuambia haya maneno, anakua anamaanisha kweli au fix tu?

    Unakaangwa na mafuta yako mwenyewe kaka.. filisika kidogo utaijua tabia na maneno ya demu wako..
  16. noel2512

    Ubaguzi wa rangi kwenye kubeba boksi Ulaya

    Kama inauma vaa uende kaka....
  17. noel2512

    Nina wasiwasi na huyu mwanamke

    Daah.. labda kajitumbukiza kwenye bongo fleva na huyo ni meneja wake na wametoka kupiga shoo ya kwanza kona baa...
  18. noel2512

    Where do I get my item after shipment (e-bay)?

    Mkuu wakisema free int'l economy wanamaanisha ni economy kweli... in another words ni cheapest shipping means available in the market. Wape up to 6 wks kiongozi ila mzigo utafika tuu..
  19. noel2512

    Natafuta bata aina ya Pekin

    Habari za leo wadau wa JF, Poleni sana na uchovu wa wikiendi. Natafuta mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata bata wa aina ya pekin na nina maanisha pure white pekin duck. Nahitaji wasiopungua 50 kwa ajili ya kuanza kuwafuga kwa hiyo wale ambao ni wadogo kidogo kama miezi miwili ndio watakuwa...
Back
Top Bottom