Search results

  1. D

    Ninatafuta kazi

    Njoo kagera sugar limited kazi ni nyingi hadi utazikimbia!
  2. D

    Msanii utamjua tu

    Anahisi watanzania tuko mazuzu kivile. Afadhali aendelee kuuchapa usingizi ikulu.:lol:
  3. D

    kongamano juu ya katiba mpya kikao cha 2 nchini zanzibar...sauti : 05-march-2011

    Ni vizuri tujadili hiyo katiba mpya ila tusifanye makosa tukarudisha kasoro zilizopo kwa sasa.Ni muhimu kila upande ukubaliane na katiba mpya kwa kutoa maoni.Bila shaka kupitia katiba mpya tutajenga Tanzania mpya na yenye matumaini.:A S 13:
  4. D

    Hati mpya ya mashtaka mapya ya viongozi wa chadema

    Kuishitaki chadema ni sawa na kuwashitaki wananchi na hasa sisi wanyonge, kwa maana nyingine ni kukiongezea umaharufu chama.Wakumbuke Chadema ni chama chenye mtaji wa wasomi lukuki na kwa sasa na wasio wasomi wakiunga mkono kupitia sisi wasomi.Kuna siku nchi itaandamana kama Tunisia na Jk...
  5. D

    Elections 2010 Picha inapo leta maswali badala ya jibu

    Wasamee bure hawajui watendalo maana ni njaa kwelikweli na hela za field (industrial practice) hawakupewa mwaka huu baadhi yao.
  6. D

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Angalia ahadi za Jakaya Mrisho Kikwete alizozitoa kwa watanzania mpaka sasa na kasema chanzo cha mapato kuwa ni misaada toka UK,Marekan, Japan, China na Urusi msikilize vizuri kila ahadi anasema ameongea na hao mabwana zetu! 1.Viwanja vya ndege vya kimataifa. -Misenye Omukajunguti...
  7. D

    Elections 2010 Hongera ITV kujiondoa CCM

    Tupo pamoja ndugu maana Dr. Slaa tulimuomba agombee ili atuokoe watanzania.
  8. D

    Elections 2010 CCM Zanzibar...

    CCM hawajui walitendalo,wanasema ni mtetezi wa wazee wakati wazee wa Africa mashariki wanaodai haki yao iliyolipwa na waingereza kwenye serikali yetu hawajalipwa na juzi mmoja wamemuua akidai hiyo haki yake walipoziba njia pale mahakama kuu.Inashangaza saaana.
  9. D

    Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

    Bunazi pamoja na Bukoba mjini nilikuwepo na umati uliokuwepo haijawai tokea tangu bukoba iwepo maana na helkopta ilikosa nafasi ya kutua mpaka ikatua nje kidogo na mji wa bukoba.Lwakatare bado yupo juu ndugu yangu na kwa sasa Kagasheki jasho linamtoka.Mpaka hapo bukoba tumeisha muhapisha...
  10. D

    Kenya's Vice President says: 'East Africa still needs Kikwete'. ?!?*

    Kalonzo Musokya kwanza ni msaliti wa orange democratic movement (ODM) lakini pia amekuwa masaliti wa chama chake pale aliposimama kama mgombea uraisi na alipoona hana uwezo wa kushinda alijipendekeza kwa siri kwa Mwai Kibaki ili ampe umakamu. Nadhani huyu ni zuzu na ana tamaa kwelikweli...
  11. D

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Ni Dr, Willibroad Peter Slaa anayeweza tu kututoa hapa tulipo maana yupo tayari kula mhogo ikulu kwa kuwatanguliza watanzania.Jk hana tofauti na Rostam Azizi, Luwasa na Basil Mramba.Tumia busara tusonge mbele.
  12. D

    Elections 2010 Niwaonavyo wagombea watatu wa urais

    Anayesema Kikwete anafaa nadhani anaumaskini wa kufikiria na hajijui wala hajui watanzania tuna matatizo gani mpaka sasa! Mikataba ya madini imekuwa siri ya mafisadi na madini yakiisha tutakuwa maskini wasio na milango ya kutokea.Kama hujui elimu ya tunu yetu kutoka kwa mungu yaani Dr.Slaa...
  13. D

    Elections 2010 Kama sio dr. Willbroad slaa kutukomboa ni nani?

    TAFAKARI CHUKUA HATUA. Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania (kwa sasa 1$=1500). Tukitathimini hiyo ,sijui kelele za kuwa...
  14. D

    Elections 2010 Why - dr.wilibroad slaa ?

    Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na...
Back
Top Bottom