Search results

  1. K

    Sophia Simba anaogopa mahakama??

    Nop, hana Mastrers ya Sheria. Ana Masters ya Open University- CED (Community Economic Development), hiyo Masters haina mitihani....
  2. K

    Manunuzi ya LUKU; Wizi mtupu !

    Jana nilimtuma kijana akanunue LUKU ya Tsh. 12,000/= hapo maeneo ya Science. Cha ajabu kaja na Unit 45 tu. Nilipochunguza, nikagundua units hizo chache zimesababishwa na mlundikano wa kodi nilizobebeshwa bila hatia. Angalia mlolongo wa kodi hizo; 1. VAT 18% 2. EWURA 1% 3. REA (Rural...
  3. K

    Sauti za Milipuko!

    Ni maziko ya Major General Somebody aliye kuwa anazikwa makaburi ya Kiislamu Kisutu mchana/ jioni hii. Hupigiwa mizinga 21- controlled. Nimeongozana na malori matatu ya jeshi jioni hii yakiwavuta Mizinga hiyo along Alli Hassan Road.
  4. K

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    Acha ubishi binti, hukuwepo wakati huo. Tuliokuwepo tunafahamu kulikuwa na "PHOTOSTAT COPY" MACHINE
  5. K

    Bei hii pale muhimbili ( moi )yamkatisha tamaa mgonjwa

    Ndibalema umelonga. Kama wiki mbili zilizopita nilimsindikiza jamaa yangu anayesumbuliwa na kisukari kwa muda mrefu. Dr. Ndodi amekuwa akijinadi katika vipindi vyake vinavyorushwa na Star TV kuwa anatibu kisukari; wiki kumi na tano kwa wagonjwa ambao hawajaanza kutumia Insulin. Kwa wale ambao...
  6. K

    Kwa mtindo huu Wananchi Jimbo la Mbinga Magharibi Wamefulia

    Komba ndiyo zake hizo. Nakumbuka mwaka 2009, Oct kulikuwa na Public Hearing ya Law of the Child Act 2009 kwa siku mbili pale Karimjee Hall. Yeye, kwa capacity yake kama Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii aliidhuria. Alikuwa na sifa mbili; anakuja amechelewa, alafu akisha kaa...
  7. K

    MSAADA; Information on HIV and indigenous communities in Africa/ Tanzania

    Note; Najua hii forum haiendani na topic yangu, but kwa kuwa Wataaluma wengi hupitia hapa naomba hii post ikae hapa kwa muda....tafadhali Wakuu Dear JF Members, a favour please; Am working on a brief information sheet (4-6 pages) on HIV and indigenous communities in Africa/ Tanzania. I...
  8. K

    MSAADA TUTANI; HIV and indigenous communities in Africa

    Dear JF Members, a favour please; Am working on a brief information sheet (4-6 pages) on HIV and indigenous communities in Africa. I have made some contacts regarding the research but it has not been Successfull. I wonder if you know of any organizations or individuals who are or have done...
  9. K

    Kwa nini Wanawake wapoedesha Magari wapo "tense" sana ?

    Nimefanya uchunguzi kitambo sasa kuhusu style ya uendeshaji wa madereva wa Kike hapa Dar. Nimegundua yafuatayo; 1) Hawako relaxed wanapoendesha magari, wapo tense; 2) Huvuta kiti cha dereva hadi matiti yanapokugusa usukani (steering); 3) Hawana uwezo wa kupepesa macho kulia na kushoto...
  10. K

    Muandaaji wa Mashindano ya Miss Utalii 2011 ataweza kutoa zawadi alizohaidi ?

    Muandaaji wa Miss. Utalii 2011 ni Ndugu Chipungahelo. Huyu jamaa hana historia nzuri katika uandaaji wa mashindano na concert mbali mbali. Mnaokumbuka, ameshawatapeli wasanii chungu nzima. Kwa mfano muulize Nyota Ndogo wa Kenya "ni Promoter gani wa Ki TZ unayemkumbuka sana ?"- atakujibu...
  11. K

    Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Acha kulialia mtoto, wewe si "Muzee Zaidi" ?, sasa kama wewe ni mzee mwenzentu si ulitakiwa ujue walau basic ya haya mambo ? unataka nini ? Shanga ?
  12. K

    Mengi anatarajiwa kufahamu watendaji wake wote kwa majina?

    Last Thursday, kulikuwa na kipindi maalumu kilichorushwa na ITV majira ya saa 3- 4.30 usiku. Walikuwa wanaonyesha "dhifa" ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Bwana Mengi kwa walemavu pale Diamond Jubilee. Kituko ni pale Mengi alipokuwa anawa introduce staff wa IPP ambao wange serve chakula...
  13. K

    Ni halali kulala na housegirl?

    Kaka, hiyo Avatar yako- yaani kwenye bukta hapo- you are sending clear message....
  14. K

    Zitto Mahakamani Kigoma

    Zito amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa katika kituo cha Polisi wakati wa kampeni. Amesomewa mashitaka, amekanusha na amedhaminiwa na mtu mmoja hadi kesi itakapotajwa tena January 2011. Source: Breaking News ya Radio One kama ilivyoripotiwa na Reporter...
  15. K

    Mussa Hussein (East African Radio/ TV)

    Nope, Radio Presenter. Pia uendesha kipindi cha "USWAZI" pale East African TV.
  16. K

    Mussa Hussein (East African Radio/ TV)

    Originally Posted by Kudadadeki Wakuu, mbona hamchangii hii thread ??? Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so..... It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc. Du, PJ acha vitisho.... Wayajua matusi...
  17. K

    Mussa Hussein (East African Radio/ TV)

    Wakuu, mbona hamchangii hii thread ??? Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so..... It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.
  18. K

    Mussa Hussein (East African Radio/ TV)

    Wakuu, sijamsikia kwa muda sasa mtangazaji wa East African Radio Mussa Hussein. Binafsi, nakifuatilia kwa ukaribu kipindi cha "Super Mix" (9am- 1pm weekdays). Siku za karibuni kipindi hicho kinaendeshwa na Comedian Zebwela na somebody Baruti (Shalobalo), je wana jamvi, kuna yeyote out there...
  19. K

    Kiwanja cha AVALON cinema: TIBAIJUKA acha unafiki

    Mbona ukisoma "between lines" wanafahamika kirahisi kabisa- tafakari.
Back
Top Bottom